Home
Unlabelled
kariakoo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hasira hasira babu...usipinge maendeleo kwetu Kariakoo,tuacheni sie wana Kariakoo tutatue maslahi yetu wenyewe bila ya kila 'tomu,diki na harii'kutuingilia ingilia...kama hukipendi kitongoji chetu basi rudi kwenu popote ulipojitokea na nauli tutakusaidia!!!walahi yakhe...
ReplyDeletesasa nani wa kulaumiwa si kuna watu wa mipango miji na wanlipwa mishahara minono kwa kukaa chini tuu
ReplyDeletewanakula pesa za bure kabisa kwa infrastructure ni zile zile za mwaka 47
halafu kwanini bado wanajenga maghorofa kwa teknoloji ya mwaka 1920...yaani mitofali tuu,kwanza halipendezi na ni gharama kubwa,its time waanze kutumia steel & glass sasa maana ndio mambo,na hao watu city miundo mbinu inabidi mtu awashtaki mahakamani ili wasimamishe ujenzi kama huu mpaka wajenge miundo mbinu,hatari sana hapo kama kuna moto na wala hakuna parking,disaster in the making
ReplyDeleteweee mzungu mweusi...hizo teknologia unazozisimulia hapo,ziweke kwako kule ukimbizini,
ReplyDeletehapo Kariakoo hatuzitaki nasaha zako...
hilo bango lililoandikwa" TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA" Kwa kweli lanikwaza,bro michuzi hebu naomba uipost hii wadau waione na watoe comment,mimi naona kama vile linachochea unyanyapaa vile,je wale waliotayali na virus vya ukimwi na wenye ukimwi watafeel aje,ni kama wao hawatakiwi ktk jamii na they are bound to die!,sijui lakini ila kwa mtazamo wangu nadhani lingeandikwa "TANZANIA BILA MAAMBUKIZI MAPYA YA VIRUSI VYA UKIMWI INAWEZEKANA",kwanini?,sababu wale wenye virusi na wagonjwa wa ukimwi wangeweza kutazamwa kwa umakini,kupewa ushauri,kujitokeza kwa jamii na kutoa ushuhuda juu ya kufanya ngono zembe na aina zote za maambukizi,then, serikali au taasisi binafsi au whatever wangeweza kuwatake care,kivyovyote ili hao waathirika wasiendelee kusambaza virus,kwa hilo bila shaka TANZANIA BILA MAAMBUKIZI MAPYA YA VIRUS VYA UKIMWI ITAWEZEKANA,.VP IMEKAAJE HIYO!!
ReplyDelete