waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu dk batilda buriani akiwa na wanafunzi bora wa taasisi ya teknolojia ya dar es salaam wakati wa mahafali ya kwanza ya taasisi hiyo leo viwanja vya bustani ya mnazi mmoja gaden, mh. buriani alimwakilisja waziri mkuu edward lowassa aliyepata udhuru dakika za mwisho

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...