Home
Unlabelled
mwisho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mashujaa huenziwa- ni kweli kabisa lakini mbona yeye kaamua kujienzi? Haka kakibanda ni kake, nasikia kajikita kwenye biashara ya chipsi kuku huko mji kasoro bahari, anakula vichwa kwa kutumia jina lake.
ReplyDeleteNi vizuri watu wakawa wakweli wanakotoa picha na kutoa credit kwa waliozipiga inapostahili
ReplyDeletehuyo mdau picha kaitoa hapa
http://mjengwa.blogspot.com/2008/01/al-maarufu.html#comments
Wabongo acheni uongo Mwish anafanya kazi Ero Link ambayo ni Recruitment Agency ni PR wao
ReplyDeletekaka michuzi, asante sana huyu jamaa alijinyakulia umaarfu. sasa kwa watanzania na yeye mwenyewe mpe ujumbe, aendelee kuelimisha jamii kwa mambo mablimbali kama shows na nini, atajiendeleza na kupata support sana, wenzenu ndio wanavyoendelea ivyo.
ReplyDeleteAnon wa kwanza hapo juu naona umemiksi kidogo.
ReplyDeleteHicho kibanda sio cha Mwisho Mwampamba, ni cha mfanyabiashara mwingine tu ambaye naona anamfagilia Mwisho.
Hicho kibanda kiko Sumbawanga mjini. Bofya hapa wakati Mwisho anapiga deal zake Morogoro na sometimes Dar.
By the way Mwisho ni Mmalila mwenyeji wa Mbeya Vijijini, kwa hiyo inawezekana kuna mtu wa toka kwao yuko hapo S'wanga anapiga deal.
Mdau kadanganya na picha si yake angesema ukweli kuwa kaitoa kwa Majid....!
ReplyDeleteMambo haya mfanyie huko huko mlimba huku Mtafungwa!!
Hata jamvi laonyesha kwamba ni la Kifipa.Angalia hiyo chata wewe.Tembea uone.Hiyo picha ni ya Mjengwa
ReplyDeleteKWANI HATARI MTU KUUZA CHIPS?
ReplyDeletemsemakweli