mdau wa mji kasoro bahari katutumia hii leo akisema kwamba mashujaa wa huko huenziwa daima

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Mashujaa huenziwa- ni kweli kabisa lakini mbona yeye kaamua kujienzi? Haka kakibanda ni kake, nasikia kajikita kwenye biashara ya chipsi kuku huko mji kasoro bahari, anakula vichwa kwa kutumia jina lake.

    ReplyDelete
  2. Ni vizuri watu wakawa wakweli wanakotoa picha na kutoa credit kwa waliozipiga inapostahili
    huyo mdau picha kaitoa hapa
    http://mjengwa.blogspot.com/2008/01/al-maarufu.html#comments

    ReplyDelete
  3. Wabongo acheni uongo Mwish anafanya kazi Ero Link ambayo ni Recruitment Agency ni PR wao

    ReplyDelete
  4. kaka michuzi, asante sana huyu jamaa alijinyakulia umaarfu. sasa kwa watanzania na yeye mwenyewe mpe ujumbe, aendelee kuelimisha jamii kwa mambo mablimbali kama shows na nini, atajiendeleza na kupata support sana, wenzenu ndio wanavyoendelea ivyo.

    ReplyDelete
  5. Anon wa kwanza hapo juu naona umemiksi kidogo.

    Hicho kibanda sio cha Mwisho Mwampamba, ni cha mfanyabiashara mwingine tu ambaye naona anamfagilia Mwisho.

    Hicho kibanda kiko Sumbawanga mjini. Bofya hapa wakati Mwisho anapiga deal zake Morogoro na sometimes Dar.

    By the way Mwisho ni Mmalila mwenyeji wa Mbeya Vijijini, kwa hiyo inawezekana kuna mtu wa toka kwao yuko hapo S'wanga anapiga deal.

    ReplyDelete
  6. Mdau kadanganya na picha si yake angesema ukweli kuwa kaitoa kwa Majid....!
    Mambo haya mfanyie huko huko mlimba huku Mtafungwa!!

    ReplyDelete
  7. Hata jamvi laonyesha kwamba ni la Kifipa.Angalia hiyo chata wewe.Tembea uone.Hiyo picha ni ya Mjengwa

    ReplyDelete
  8. KWANI HATARI MTU KUUZA CHIPS?
    msemakweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...