Home
Unlabelled
nakaaya sumari atoa albamu ya kwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
amshukuru nancy,
ReplyDeleteSAMAHANI NJE YA MADA:
ReplyDeleteMICHUZI KAMA AMBAVYO UMEKUWA UNAWEKA HAPA PICHA YA MREMBO AISHA MADINDA NA KUONYESHA KAZI YAKE JUKWAANI NA UMAHIRI WAKE WENYE MFANO WA WACHACHE HEBU SASA PIA UWAJULISHE WADAU JUU YA UGONJWA UNAOMSIBU KWA KIPINDI SASA NA YUMKINI WENYE MOYO NA UWEZO WA KUTOA WAMCHANGIE ILI KUWEZA KUGHARIMIA MATIBABU.
Nakaaya ni mwimbaji mzuri na ana kipaji sana. nyimbo zake zinaweza kuuzika nje ya africa! Big up Nakaaya, you are a real talent!
ReplyDeleteAh! sasa weye Nyakatakule mbona unatuchangaya. Mie nadhani Aisha Madinda ni mwajiriwa wa ASET sasa kwanini wananchi wachangishwe? mwajiri wake anawajibika 100% kwa kadri walivyokubaliana, au... mwe na nani atakaye manage hiyo michango? mbona mnataka kumtwika mizigo ambayo hastahili bro.Michu!
ReplyDeleteThat single Mr. Politician is da bomb! The video, the message, the instruments, the whole production, etc, are all good.
ReplyDeleteAnd anonymous hapo juu - it so happens she is Nancy Sumari's sister na hakuna haja ya kumshukuru dada/mdogo wake. Get a life, kazi kutafuta angles ambazo hazina maana yeyote! Watu wengine bwana!
She's got talent. "Mr.Politician" is cool and very craetive.Sijaona kazi nzuri kama hii hapa Tanzania.Big up girl.
ReplyDeleteAnon 6:44 nakuunga mkono sijamuona huyu dada siku nyingi kwenye anga la sebene,sijui kaishia wapi? Michuzi tuhabarishe maana we miss her.
ReplyDeleteMdau nisome vizuri:
ReplyDeleteMosi: Mchango unaozungumziwa si wa lazima ndio maana nikataja yumkini ya uwepo wa moyo wa kujitolea na uwezo.
Pili: Kusaidiana wakati wa raha na taabu ni sehemu ya utamaduni wetu (kukomplimenti jukumu la mhusika mkuu awe mzazi au mwenza au mwajiri). Ndio maana huwa hatuangalii kama umeajiriwa au una bima ya aina gani. Hii ni sawa na ubani
Tatu: Kazi ya msingi ya Michu ni kutuhabarisha hali halisi. Mawazo ya watu yanaweza kukaribishwa kuhusu namna ya kumeneji huo mchango hakuna kitu cha ajabu sana hapo. Watu walishachanga humu ili mtu anunue Kamera, ili watu wasafirishe maiti,itakuwa sembuse kuokoa au kuboresha afya ya mwanadamu?
AMSHUKURU NANCY KWANI NDIE ALIYEMPA SAUTI? EBU ACHA USHAMBA WE ANNONY WA KWANZA APO JUU KILA MTU NA KIPAJI CHAKE BWANA
ReplyDeletemichuzi kanibania koment yangu eti sababu nimegusia chunusi usoni mwa nakaya, chuki binafsi kaka michu
ReplyDeleteNimesikiliza Mr. Politician .. duh dada ametoa pointi kinoma . Napenda message yake very positive ..kitu kimoja tu nimeniboa sauti yake imechujwa na computa .. tunahitaji sauti raw bwana ... haya mambo ya T-pain hapa haya nifurahishi..senkyu
ReplyDeleteHUYU AISHA MADINDA ANAUMWA KWAAJILI YA KUNENGUA AACHE ATAPONA HAKUNA DAWA WALA MCHANAGO MUWAJIRI WAKE ANAWAJIBIKA
ReplyDeletemichu hivi una nini lakini?kila nikiandika unanichomolea post yangu,kwani natukana?au unataka wote tuseme kitu kimoja kama nyimbo ya nasare?
ReplyDeletemi staki nakwambia!
She is the 0ne!!! lady jd,k-lynn,Ray C....etc all did ther thang but bottom line she is the real deal love it or hate it.
ReplyDelete