Hello bwana Michu,naomba uwadondoshee wadau wa blogu yako wanaotaka kusikiliza bongo flava za tanzania latest hii link. wataweza kuzisikiliza online bila matatizo yeyote 24/7 kupitia http://www.jambonetwork.com/jn/bongo-flava/ na juu ni mojawapo ya picha zilizomo humo


Ina-DOWNLOAD-ika hiyo web??
ReplyDeleteTunataka nyimbo za dansi si za kitalii (zile zinazopigwa katika mahoteli kuburudisha watu ili vyakula walivyokula vitulie tumboni). People, grow up...we NEED BONGO MUSIC DANCE NOT FLAVA!
ReplyDelete