Hello bwana Michu,
naomba uwadondoshee wadau wa blogu yako wanaotaka kusikiliza bongo flava za tanzania latest hii link. wataweza kuzisikiliza online bila matatizo yeyote 24/7 kupitia http://www.jambonetwork.com/jn/bongo-flava/ na juu ni mojawapo ya picha zilizomo humo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ina-DOWNLOAD-ika hiyo web??

    ReplyDelete
  2. Tunataka nyimbo za dansi si za kitalii (zile zinazopigwa katika mahoteli kuburudisha watu ili vyakula walivyokula vitulie tumboni). People, grow up...we NEED BONGO MUSIC DANCE NOT FLAVA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...