jk na mgeni wake rais george w. bush leo ikulu wameweka saini mkataba wa akaunti ya milenia ambapo marekani itaipatia bongo dola kiasi cha milioni 700 kwa ajili ya miradi ya maendeleo na mapambano dhidi ya ukimwi na malaria.
kunradhi wadau; mwanzo niliandika 700 chukuchuku. sasa nimerekebisha. samahani kwa usumbufu uliotokea.
Aaaaaaaaaaaaah! Michuzi eh! Figa gani hiyo mtu wangu?? Una uhakika ni dola mia saba!!! Hebu review
ReplyDeleteHalafu uchumi wa jamaa wenyewe unasheki kinyama, ameshaenda ovadraft sasa anakopa China!! There must be something!! Si unajua katika mfumo wa capitalism hakuna kinachoenda bure?? Sasa hebu tuwatch out!!!
ReplyDeletesafari yote hiyo dola 700 tu?
ReplyDeletehizi hata asumani atawapa...rekebisha hiyo michu
Ni Dola 700 au dola Milioni 700?
ReplyDeleteMohammedulBaqir Kalimi
yaani safari yote anatoa $700.00 what a shame au macho yangu mabaya..bwana misupu..
ReplyDeletekamanda Dili Mchanamchana kila mtu kaliona hilo!!hivyo kuwa makini!! lazivyo leo wachekelea,kesho lawama hiyo!!
ReplyDeletewadau mnaona acheni mambo ya kuandamana, mshukuruni kwa kujitolea.
ReplyDeleteAkhsante Bush kwa msaada.lakini swali kubwa ambalo linahitaji jibu ni KWA KIASI GANI RAIS AMEJIANDAA KUDHIBITI HIZO PESA ZISI ANGUKIE MIKONONI MWA MAFISADI TENA???
ReplyDeletehebu ngoja kwanza, inatoa dola $700?????!!!! safari yote hiyo
ReplyDeleteSasa Bill Gate wa Tanzania wako wapi? Tuwaone nao wakitia saini kwenye mikataba? Nakumbuka walikuja NY city kwa nguvu sana...Wajasirima mali wa kitanzania....wakiandamana na JK kutafuta masoko....sasa soko hilo hapo limewafuata kazi kwenu...Msimuachie aondoke bila saini. Au biashara zenu za maneno tu?
ReplyDeleteSasa tuone tena watu wanaandamana wakishinikiza hizo hela zilizoletwa na Bush zisitumike na waumini wao, hahahahahha, watu wengine bwana, uvivu wa kazi tu, lakini kwenye misaada kimyaaaaaaa, au Jk akienda Us hawaandamani. Shame on you.
ReplyDeleteWaandamanji vip mbona hawasikiki? au michu unawabania? watoe wakiandamana kupinga hizo dola 700.00***!!!! lol
ReplyDeleteHEBU ACHENI KUWASIMANGA WALIONDAMANA. MBONA ULAYA KIBAO WALIANDAMANA ALIVYOKUJA BUSH KUANDAMANA TANZANIA IMEKUWA NONGWA. SHAME ON YOU ALL WHO ARE MAKING BIG DEALS OUT OF NOTHING.
ReplyDeleteHEBU ACHENI KUWASIMANGA WALIONDAMANA. MBONA ULAYA KIBAO WALIANDAMANA ALIVYOKUJA BUSH KUANDAMANA TANZANIA IMEKUWAWA NONGWA. SHAME ON YOU ALL WHO ARE MAKING BIG DEALS OUT OF NOTHING. IKOWAPI FREEDOM OF SPEECH!!! LET PEOPLE EXPRESS THEIR FEELINGS AFTER ALL NI MAANDAMANO YA AMANI
ReplyDeleteBUSH ANAJUA KUWA HAPA BONGO VIGOGO WAMEAHIRISHA LIKIZO NA SAFARI BAADA YA KUSIKIA ANALETA HUO MSAADA? KUNA VIGOGO SASA WATAMALIZIA NYUMBA ZAO ZILIZOKWAMA KWA MUDA.
ReplyDeleteKikwete Yuko very slow kusaini hivi alikuwa anaandika nini? majina yote ya ukoo wake au sahihi?
ReplyDeleteMaana unakuta Bush Kamaliza kusaini Raisi Kikwete bado anaandika hivi hawezi kuwa fast zaidi?
Bush hadi nilimwonea huruma wakati akimsubiria.
Mtoa msaada wa hela anasaini kidogo na spidi lakini mpokea hela anaandika notisi kibao kama sahihi na yuko slow.
Kweli umaskini mbaya.
Na za Balali nazo ziletwe tuchanganye na hizi. JK asidhani kuzipigia debe hizi tutasahau za Balali. Mbona hazirejeshwi kunani? mbona wezi wa nazi ngoma hailali?
ReplyDeleteWaandamanji vip mbona hawasikiki? au michu unawabania? watoe wakiandamana kupinga hizo dola 700.00***!!!! lol
ReplyDelete*****************************
Walioandamana walikuwa na sababu nyingine za kimsingi, ambazo pia zimewafanya hata huko Ulaya kila anapoenda wanaandamane.
Wewe mtoa hoja, unayewapinga Waislamu kuandamana, ungejaribu kujiuliza kwanini hata ndani ya nchi yake mwenyewe wanaandamana kupinga baadhi ya sera zake.
Ni kweli anatoa misaada, lakini yapo mambo anayoyafanya ambayo yanawaumiza wengine, je hawo wanaoumia sio binadamu??
Tusiangalie maslahi tu, pia tuangalie na ubinaadamu.
hela haziendi bure hizo.. Huyu Bush kuna kitu anataka tu hapa bongo. Na kwa jinsi nilivyokosa imani na viongozi wetu hawa, nchi inaweza kuuzwa hivi hivi tukaachiwa tabasamu tu.
ReplyDeleteMichu nasikia bongo kuna uranium na mafuta! Eeeh mola tunusuru..
KHARTOUM (Reuters) - When Ali started blogging that he was Sudanese and gay, he did not realize he was joining a band of African and Middle Eastern gays and lesbians who, in the face of hostility and repression, have come out online.But within days the messages started coming in to black-gay-arab.blogspot.com."Keep up the good work," wrote Dubai-based Weblogger 'Gay by nature'. "Be proud and blog the way you like," wrote Kuwait's gayboyweekly. Close behind came comments, posts and links purporting to be from almost half the countries in the Arab League, including Egypt, Algeria, Bahrain and Morocco.Ali, who lists his home town as Khartoum but lives in Qatar, had plugged into a small, self-supporting network of people who have launched Web sites about their sexuality, while keeping their full identity secret. Caution is crucial - homosexual acts are illegal in most countries in Africa and the Middle East, with penalties ranging from long-term imprisonment to execution."The whole idea started as a diary. I wanted to write what's on my mind and mainly about homosexuality," he told Reuters in an e-mail. "To tell you the truth, I didn't expect this much response."In the current climate, bloggers say they are achieving a lot just by stating their nationality and sexual orientation."If you haven't heard or seen any gays in Sudan then allow me to tell you 'You Don't live In The Real World then,"' Ali wrote in a message to other Sudanese bloggers. "I'm Sudanese and Proud Gay Also."His feelings were echoed in a mini-manifesto at the start of the blog "Rants and raves of a Kenyan gay man" that stated: "The Kenyan gay man is a myth and you may never meet one in your lifetime. However, I and many others like me do exist; just not openly. This blog was created to allow access to the pysche of me, who represents the thousands of us who are unrepresented."
ReplyDeletehakyani mafisadi hapa msitie mkono manake tutauuana. tehe tehe tehe denda linawatoka $700million hapo wangechota kama $250m ila tumewanyang'anya tonge mdomoni bushi wamemuona kwenye TV kama sisi ama kweli cheo ni dhamana!!!!
ReplyDeleteTukiweka utani wote pembeni nimpongeze Rais Kikwete kawa dhati kabisa kwa kuweza kufanikiwa kumwalika Rais Bush wa Marekani akakubali mwaliko na cha msingi zaidi yeye mwenyewe binafsi kuweza kuja nchi Tanzania katika ziara hii ya kihistoria.Ni ushindi mkubwa sana wa kidiplomasia kwake yeye mwenyewe binafsi na kwa Watanzania wote kwa ujumla.Rais Bush angeweza kuchagua kwenda nchi yoyote nyingine ya Afrika miongoni mwa nchi zipatazo 53.Lakini kwa utashi wake mwenyewe akakubali kuja Tanzania kati ya nchi zisizozidi nne kati ya nchi 53 za bara la Afrika kabla haja achia ngazi mwishoni mwa mwaka huu kama Rais wa Marekani.Tanzania imenufaika sana na ujio huo wa Bush kwa kupata msaada unaokaribia Dola za Kimarekani milioni 700.Ni bahati iliyoje kwamba Rais Bush kaja Tanzania Rais Kikwete akiwa ndiye Mwenyekiti wa sasa wa AU nCHI ZA UMOJA WA AFRIKA.Kwa hali yoyote ile mbali na kuzungumzia masuala ya Tanzania Rais Bush bila shaka alizungumza na Rais Kikwete kuhusu masuala mbalimbali ya Bara la Afrika ikiwa na pamoja na machafuko ya kisisasa nchini Kenya,Chad,Darfur,Somalia ,Equatorial Guinea,Central African Republic,Comoro,pamoja na masuala ya Utawala Bora na Demokrasia yakiwemo mambo ya Uchaguzi ulio huru na wa kidemokrasia nchini Zimbabwe pamoja na mwelekeo wa Bara la Afrika kisiasa na kiuchumi katika dunia ya utandawazi.Bila ya kusahau uhusiano wa kiuchumi,kidiplomasia na biashara baina ya Afrika na Marekani kwa manufaa ya pande zote mbili.Katika hotuba yake Rais Bush alisisitiza mambo makuu matatu:Demokrasia na Utawala Bora na mafanikio ya serikali yakapimwa na matokeo ya vitendo;serikali zilizo safi na wazi katika utendaji wake kwa kutokithiri kwa rushwa na ufisadi uliopindukia;serikali zitakazo endesha mageuzi ya kiuchumi kwa misingi ya uchumi wa soko na sekta binafsi kupewa nafasi yake katika uwekezaji na uzalishaji.Kwa jinsi nilivyo mfuatilia kwa karibu sana Rais Bush kupitia Televisheni katika hatua zote za ziara yake kwa hakika taswira ya Rais Bush siyo ile ambayo wengi wetu ilikuwa imejengeka akilini mwetu kwamba ni Kiongozi Katili,Jeuri,Mwenye Mabavu katika zungumza yake,Mwenye Dharau kwa watu duni na masikini na Kiongozi ambaye haambiliki wala hajirahisi katika mawasiliano.Picha niliyoipata ambayo naamini na Watanzania wenzangu wengi watakuwa waliipata ni kwamba Bush tuliye kuwa tuna muona mbele yetu alikuwe ni tofauti kabisa na yule aliyekuwa amechorwa na vyombo vya habari vya kimataifa pamoja na siasa za Marekani.Kwangu mimi Rais Bush alionekana kuwa ni mtu mnyenyekevu na mkarimu sana,mwenye hisia za kibinadamu,mcha Mungu,mpenda watu,siyo mbaguzi wa rangi,aliyekerwa na umaskini na maradhi sugu,mpenda demokrasia na utawal bora ,anayechukia serikali zilizokithiri kwa rushwa na ufisadi,anayependa ushindani na anaye chukia utawala wa Ki Imla na Kikomunisti,nk.nk.TASWIRA HIYO IKANIKUMBUSHA KITU KIMOJA MUHIMU.Kwamba,Rais wa Marekani anapoingia tu madarakani anakuwa siyo yeye tena.Anaendeshwa na siasa za 'CONGLOMERATES' makampuni makubwa yenye himaya ulimwenguni kote.Maslahi ya Makampuni hayo Makubwa ndiyo yanayo lazimisha siasa za Marekani zichukue mkondo gani na Rais wa nchi hana uchaguzi isipokuwa kutekeleza siasa hizo.Asipotekeleza basi makubwa yatamkuta ikiwa ni pamoja na kifo kisich tarajiwa na mahasimi wake.Kwa ujumla kinachotendeka kwa mtu asiyejua ataweza kufikiria kwamba ni maamuzi ya Kiongozi mmoja tu kwa mfano Rais Bush.Kumbe ni maamuzi ya Taasisi mbalimbali zenye nguvu za Kisiasa na Rais wa nchi hujikuta akishurutishwa tu atumbukie katika utekelezaji wake.Kama Rais Bush angekuwa jitu katili na lililokosa chembe ya ustaarabu na ubinadamu kama wengi tulivyokuwa tukimdhania baada ya matukio ya Iraq na kwengineko,alipokuja hapa nchini lazima tungemgundua tu katika matukio mbalimbali ya mahusiano ya kijamii.Mtu mwenye hulka ya kikatili asingeweza kufacha makucha yake katika nyakati zote hizo alizokutana na Watanzania katika matukio mbalimbali.Yeye ni binadamu na mwenye hisia za kibinadamu kama binadamu mwingine yoyote.Sitaki nimpambe Rais Bush kuliko anavyo stahili.Lakini ukweli ni kwamba Rais mwingine yeyote atakaye kuja baada ya Bush,iwe Barrak Obama au Hillary Clinton au McCain,yeyote yule atalazimika kucheza ngoma itakayopigwa na Makampuni Makubwa Marekani yenye nguvu na himaya kote ulimwenguni.Hawezi kutekeleza ajenda yake binafsi itakayo weza kuhatarisha usalama wa Taifa la Wamarekani.Watakao onekana ni TISHIO(threat) kwa siasa na uchumi wa Marekani kwetu sisi kwa udhaifu tulionao hatutaonekana tishio au maadui kama wao kwa Wamarekani.Katika siasa za Kimataifa wawili wakiwa ni marafiki wakubwa akitokea wa tatu awe adui wa mmoja kati yao, siyo sahihi kwa mmoja kumlazimisha mwenziwe kwamba avunje urafiki na yule wa tatu kwa sababu tu ni adui yake.Ni wajibu wa huyu wa pili kuhakikisha kwamba wale wawili waliokosana wanapatanishwa ili amani iweze kurejea tena na isihatarishe usalama wa hata yule ambaye hahusiki na mgogoro uliopo baina ya wale wawili.Mada ni ndefu.Lakini nafiri Watanzania wenzangu ujumbe umefika.Ujumbe muhimu kwa Rais Kikwete ni kwamba AHAKIKISHE HAKUNA KURUDI NYUMA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UFISADI NA UIMARISHAJI WA MISINGI YA UTAWALA WA DEMOKRASIA YA KWELI NA ILIYO WAZI.
ReplyDeleteSasa tujitayarishe na misukosuko,wakoloni mamboleo na wawekezaji njaa kutoka kila kona ya dunia!!Ilikuwa heri wakati wengi walipokuwa hawajui Tanzania iko wapi ktk ramani ya dunia.
ReplyDeleteWabongo kweli tunafanana na viongozi wetu yaani watu michapo tu na mambo ya usanii ukiangalia kwa haraka watoa maoni hapo juu duuu>>> ni tatizo .....kuna usemi unasema kwamba (nionyeshe rafiki zako basi namimi nitakujua wewe ni nani ) haya maneno sahihi kabisa.
ReplyDeleteWatu baada ya kutoa hoja ,maadili ya maana na mawazo yenye busara wanabaki kupiga michapo.... ohoo hela,hela ... ohoo nchi inauzwa wewe mtanzania wa kawaida unanufaika na nini nchi iuzwe au isiuzwe maisha yako yatabaki vile vile ya duni...
kwa walio andamana poleni sana kwa uchovu na mkumbuke demonstration is sign of democracy na Bush amefurahi sana kuona Tanzania watu wanaandamana kuonyesha uhuru wa kutoa mawazo(maandamano) lakini tukiangalia dhamira yake ni nini na inafaida gani kwa mamilioni ya watanzania ambao wanakula mlo mmoja....?? mimi hayo nayaita majungu na ufitina katika jamii.
Kwanini hamfanyi maandamano ya kupinga:-1 hali duni ya afya
2. ukosefu wa huduma muhimu kama maji ,umeme nk.
3. ubadhirivu wa mali ya uma na mikataba feki ya richmond na mingine mingi...
4.kushindwa kuwajibika kwa viongozi wetu
5.matatizo ya barabara ,ukosefu wa usafiri na mambo mengi tu..ambayo jamii yetu inatakiwa iyapate ukizingatia misada kila mwaka kutoka kwa ma-donors wetu lakini hiyo hela inakwenda wapi, inafanya nini ? hakuna mtanzania mwenye jibu ukiondoa mafisadi..hizo milioni 700 usd. zingepatwa na watu wenye dhamana na uzalendo tungeweza kutatua angalau baadhi ya matatizo yaliyo tajwa hapo juu..Lakini kwakuwa sisi ni kama vichwa vya wendawazimu tunabaki kuandamana kupinga uji wa bush badala ya kuandamana kupinga umasikini wa kujitakia unaoletwa na watu tunaowachagua wenyewe eti(viongozi)
MWANA FARISAFA MMOJA ALISEMA (.TAFUTENI INTEREST... NA JENGENI URAFIKI ILI UFAIDIKE..)
DOCTOR.
Bwana michuzi hebu cheki huko bongo, wanaharakati wangapi wataandamana kuzikataa hiso dola.
ReplyDeleteI saw this article is good for all of us!can you post so that our members can comment on behalf of Kenyans!
ReplyDelete++++++++++++++++++++++++
http://www.eastandard.net/news/?id=1143982068&cid=15
+++++++++++++++++++++++++
By Dr PLO – Lumumba
Several years ago, former Tanzania President Julius Nyerere described Kenya as a man-eat -man society. This was in response to Jomo Kenyatta’s remark that Tanzania was a man-eat nothing-society.
Today, our plight show that Nyerere was right. We have put premium on material things and sacrificed integrity and truth at the altar of primitive accumulation of material things.
Our country is tottering in political confusion due to ethnic hatred and pursuit of wealth by any means necessary. Conversely, Tanzania has and continues to demonstrate admirable maturity in the conduct of its social, political and —to some extent — economic affairs. A sampling of several affairs reveals the Kenya-Tanzania divide.
In the late 1980s when multi-party politics became the touchstone of democratisation, Tanzania embraced it through debate. In Kenya, we spilt blood during the ‘Saba Saba’ and ‘Nane Nane’ riots of 1991 before our political leadership surrendered to the people’s will.
When the first multi-party elections took place, Tanzania elected Ali Hassan Mwinyi without rancour. On our part, the 1992 elections, and every election since then, have been characterised by violence and cheating. Ethnicity has been the driving force.
Recently, with the advent of the East African Legislative Assembly (Eala), Tanzania democratised the election of Eala Members of Parliament through a transparent system. In Kenya, political patronage, ethnicity and even bribery, became the norm in determining nominees. Ultimately, we ended up washing our dirty political linen for all to see at the East African Court of Justice in Arusha.
On the corruption front, we have had scandal after scandal — the mega Goldenberg and Anglo-Leasing and many others that are never publicised. To cool public temperature and the donor community, we constitute commissions, where names are named, but nobody is punished. Instead, the putative culprits ask rhetorically: "Whose goats have we eaten?"
Recently, Tanzania once again showed Africa and Kenya the way. Prime Minister Edward Lowassa and two Cabinet colleagues resigned after they were mentioned in Parliament of being involved in corrupt deals. President Jakaya Kikwete accepted the resignations, dissolved the Cabinet and nominated Mr Mizengo Kayanza Pinda to take over from Lowassa, subject to parliamentary approval. Contrast this with our Anglo-Leasing scandal when President Kibaki had to ask ministers to step aside, but reinstated them due to pressure from their ‘communities’.
Mwinyi, who later became the President of Tanzania, resigned as Minister In-Charge of Prisons when a prisoner escaped. He took unprecedented moral responsibility. Contrast this with the commissioners of Kenya’s Electoral Commission, whose bungling of last years’ elections has led to civil unrest unprecedented in the country’s history. They have remained recalcitrant, with their chairman stating categorically that he will not resign.
As we rebuild our country, let us look to Tanzania for guidance on democracy, patriotism, integrity and humility, among other virtues. Let jealousy not stand in our way, yet we have a neighbour to learn from.
The writer is an advocate of the High Court and law lecturer
According to the American Ambassador, Mr. Mark Green, President Bush’s visit to Tanzania will stimulate investment because for four days the world media would focus on Tanzania. Of course, Mr. Green dismissed claims about Bush’s keen interest to station AFRICOM in Tanzania. Instead, Bush’s noble intentions include intensifying the fight against malaria and Aids. To this end, Tanzania will receive $818.4 million to fight Aids. During the visit, Bush would also highlight his country’s commitment to improving health in Africa. In summary, the iron spine of the argument justifying Bush’s trip is economic gain, both, actual and prospective.
ReplyDeleteUnless if Tanzanians wish to fall prey to racist reasoning, Mr. Green’s story is nothing but an attempt to disguise ignoble motives beneath a glittering façade of altruism. Why should Mr. Bush be so concerned about improving the health condition of Tanzanians and at the same time use the most sophisticated weapons to kill and maim, with zest and ruthlessness, the Iraqis and Afghans and now the Somalis? Why? Is it because we are black and they are Arab? In his recent State of the Union Address, Mr. Bush, amid cheers from his sycophants, vowed to heighten his hawkish policies world wide. And yet, Mr. Bush is so kind and altruistic to Tanzanians. Why? Of course we know from history that even the sordid intentions of tyrants are always dressed up in glowing principles. Hitler occupied Czechoslovakia because he wanted to promote peace and social welfare for all; Mussolini invaded Ethiopia because he wanted to liberate the savages; Japan invaded China to create an earthly paradise; the US and UK invaded Iraq because Saddam Hussein had Weapons of Mass Destruction; and so on and so forth.