Home
Unlabelled
bitebozzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
vaa kanzu, si bola kufananisha juu na chini?
ReplyDeleteUkitaka utoke mchicha zaidi waambie wakufanyie scrubbing halafu wanja na lipstick,mpaka Bush aipatepate,manake lazima watu waewe sopusopu
ReplyDeleteSuti ya nini na wewe ni mpiga picha!
ReplyDeleteoya utawahi kwali kupiga picha wakati bush ameshatua we ndio unanyoa hapo kwa bitebo.halahala kaka tusikose picha
ReplyDeletekaka sipati picha wala benefit na wabeba box wakija kutoka kwenye mihangaiko hasira zote watamalizia hapa,kwani wanatabia ya kujifanya wasafi wakati wao ni wachafu kichizi kwenye hizo council flat zao.
ReplyDeletemichu "umi'nifurahisha" sana,kukosa suti ni soo sio zali hahahaaaa,zali maana yake bahati aiseee kumbe hata ukikaa mjini waweza kuwa mshamba hahaaaa teh
ReplyDeleteSawa kaka kupunguza muhimu ila hiyo chini hiyo suti ni bora ungekula kanzu. Najua ina ile business suti yako ambayo ni nyeusi na ndani unakula sharti jeupe na tai nyekundu au blue kaka. Hako kakaunda kameanza kukubana kufanya mazoezi ni bora ili hicho kitambi kipungue. Haya kaka fumbo Nyumba yangu haina mlango ......
ReplyDeleteMichizi wacha uhindi. Hiyo PUA si ununue mwenyewe mashine ijichokonoage? Kwanza unahitaji kujifeel mwenyewe pale unapojinyoa pua sio mtu mwingine.
ReplyDeleteBora hata mavu.. weza yapelekwa sallon. Sio PUA men!
Piga hata kaunda suit... km huna basi hata msuli... ila msuli utafukuzwa,watajua kuna bomu...
ReplyDeleteMichuzi acha ushamba.
ReplyDeleteSi ungevaa ile Ze Fulanazzzzzzz ya ngazingazi tu?
Tosha kabisa ile mwanangu
Michuzi, Hii ya Bitebo sasa TUPUMZISHE kidogo. Kila baada ya wiki Bitebooo, Bitebooo! una hisa nini hapo kwa Bitebo?? Give us a break, Maan!
ReplyDeleteKweli Michu lazima atakuwa na Hisa Hapo Richmond ...aaaaah sorry Bitebo!! Haishi kuitangaza Bloguni! au labda ananyolewa bureeeee...akitangaza mara moja ananyolewa bure mara moja!!!akifika hapo anawauliza..oyaa si mmeona nilivyowarusha??? sasa mnashangaa nini???
ReplyDelete