Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Rehani Pinda (shoto) akiongea na mbunge wa Viti Maalum Martha Mlata katika sherehe za kumwapisha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda zilizofanyika ikulu ndogo ya Chamwino Dodoma leo
(

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. kweli ule usemi wa mke na mume wakikaa nyumba moja wanafanana nilifikiri dada yake wamelandana sanaaa kwa kweli tutakuwa na kazi sana ya kuwatofautisha

    ReplyDelete
  2. JINA LIMEMFANANIA MWENYE DADA TUNU UNAJUA NAKUWA NA NIDHAMU SANA YA KUTUMA COMMENT ZANGU MAANA MICHUZI BWANA ANAMISIFA ATAZIPIGA CHINI LAKINI INGEKUWA RAHA SANA HAPA WATU TUNGEKUFA MBAVU NA VIJICOMMENT VYA KIBONGO BONGO MAISHA YANA RAHA SANA ASWA KUKIWA NA VICHEKESHO

    ReplyDelete
  3. hongera sana mama nakukumbuka pale cbe ulikua mstaarabu wala hakuna aliejua kama ulikua mke wa mtu mkubwa hapa nchini,wala majivuno yoyote huna,pia uko simple na unaongea na kila mtu

    tukakutana driving school tena pale kinondoni makaburini perfect driving school kwa binamu yangu akikufundisha driving hongera mama

    wewe ni mtu simple Mungu akusidie na mumeo ili umshauri atuongoze vizuri
    naomba uendelee kua natural na natural colour yako maana wengine wakipanda chati huanza mikorogo

    ReplyDelete
  4. Ahhhh!! Safi sanaaa Bw.Michu,yaani inatia raha sana unavyofanya VITU VYAKO!!!.
    Nashukuru kwa 'instant response' yako.Na nnasema hivi:'Ndiyo maana upo katika FANI hii kwa Muda Mrefu'.
    Keep up the good work Michu.

    ReplyDelete
  5. kweli watu wakioana wanafanana, waziri na mke wake wanalandana kama Kurwa na Dotto. hihiii! kam ahuo msemo ni kweli, mie pia nasubiria kufanana na mume wangu sijui itatokea lini. God forbid

    ReplyDelete
  6. Aunt Tunu leo kaulamba kweli.

    ReplyDelete
  7. damn mrs Pm is as bold as an ostrich

    ReplyDelete
  8. huyu mama wa viti maalumu huyu, ndo wale tunaita "wanawake wa shoka", kwamba she can stand up and say kwamba, siwezi kukubali kubaki nyuma,,siwezi kuishi kama kivuli cha mtu mwingine..huyu mwanamama, alikuwa mke wa mtu na watoto, akaona jamaa anamzingua tu,,yeye kutwa, kupika na kupakua,,akafikiria sana mbele, akamuacha jamaa kweye mataa, sasahivi amekuwa mbunge wa viti maalumu na pia anajisomea London...BIG UP MAMA.

    ReplyDelete
  9. Uchaguzi waharaka haraka ...mama hata alikua hajajianda kwa haya. wigi linasema yote. ijui saloon ya wapi hiyo. Juatatu wala alikua hajui mmumewe atakua waziri mkuu mara wualaaaaaaa

    ReplyDelete
  10. COMMENTS ZINAZOTOLEWA NA MTANZANIA UTAZIJUA TU. KUNA ANONYMOUS HAPO JUU KAMPA HONGERA MKE WA PM, ETI HUWA NI MTU SIMPLE NA ANAONGEA NA KILA MTU. NI UTAFITI WA KIASI GANI UNEFANYA? KUONGEA NA WANACHUO WENZAKE SIYO KUWA SIMPLE, KUONGEA NA WEWE, SIYO KUWA SIMPLE. YEYE NI BINADAMU LAZIMA AONGEE NA WATU. LAKINI LAZIMA WAPO WANAOMCHUKIA VILEVILE. NA PIA WAPO MAMILIONI WASIOMJUA VILEVILE KAMA MIMI. KWA HIVO NAFIKIRI TUJIFUNZE NAMNA YA KUJUMUISHA MAWAZO (GENERALIZATION). HUWEZI KUSEMA ANAONGEA NA KILA MTU WAKATI TZ INA WATU MAMILIONI. KUNA MIKOA MINGAPI WANAMKUBALI KAMA MCHESHI? KWANZA WANAMFAHAMU?

    INATOSHA TU KUSEMA HONGERA MAMA, NA MWAMBIE MLISOMA WOTE AU MLIFAHAIANA, NA WALA SI MISIFA YA JUMLA HIVO.

    SIZIPENDI STYLE ZA CCM HIZO ZA KUSEMA HUYU NI MWENZETU, MPENDA WATU, MCHAPAKAZI, ANA UPENDO NK..... (HOW).

    YOU GUY ARE KIDDING ME!

    ReplyDelete
  11. mwenye wigi sio mrs PM, alie na wigi ni mbunge wa viti maalum, mke wa mbunge ni huyu wa kushoto.
    Huyu Pinda itabidi ainamie kazi tu maana hata ku cheat hataweza alivo mzito sura vidosho watacharuuuu~

    ReplyDelete
  12. ANON WA 3:25AM NAFIKIRI NA WEWE NI MTANZANIA AU NI MWAFRIKA,MAONI YAKO YANATOSHA KUKUJULISHA MTU WA WAPI,MAONI YAMEJAA CHUKI.KUNA UBAYA GANI KUMSIFU MTU,MAONI YA ANON WA 8:07PM YANA UBAYA GANI HATA UANZE KUCHONGA NAMNA HIYO.KAMA UNA HASIRA NA CCM PELEKA HASIRA ZAKO CCM,SIFA ZILIZO TOLEWA HAPO NI ZA MRS PINDA KAMA ANAVYO MJUA YEYE,KAMA KUNA ANAE MJUA KWA VIBAYA NAFIRIKI HII NI NAFASI YAKE KUTUJULISHA HUO UBAYA WAKE,SIO WEWE UNAKUJA JUU HATA KUMJUA HUMJUI.

    ReplyDelete
  13. Hongera mama Pinda, kwani panapo maendeleo ya mwanaume pana mwanamke wa shoka nyuma yake. Nawe ni mwanamke wa shoka uliyeweza kumsapoti mumeo mpaka akafikia hapo alipo kwani ungeweza hata kunfrustrate akashindwa kufanya kazi. Hongera Mrs Pinda, hongera kina mama wote wa Tanzania popote pale mlipo nyie ndio nguzo ya nyumba zenu. Mungu awabiriki!

    ReplyDelete
  14. KAKA MICHUZI PLSSSSSSSSSSS ME PERSONAL NAOMBA PICHA ZA WATOTO WA MIZENGO & BIBIE TUNU NIONE OUTCOME YAKE PLSSSSSSSSSS ABEGEEEE MY BLAZAAA AND AM VERE SIROZ NA UKININYIMA NITA MIND SANA MAANA KUNA MTU ALIOMBA PICHA YA MKE WAKE UKATUNDIKA HARAKA SANA SASA KAMA SISI NI WADOGO ZAKO WOTE TUONE

    ReplyDelete
  15. Jamani fanyeni uchunguzi. Huyu mama ni mke wa pili wa mweshimiwa Pinda. Mama wa watoto wake alifariki dunia kitambo kidogo. Huyu mama hajawahi kubahatika kuzaa na Pinda. Mpo hapo!!!!!

    ReplyDelete
  16. wewe anon monday 9:40.

    Huyo ndio mke wa Pinda.Sasa kama wa ni wa kumi au wa ishirini haituhusu.Muulize kwanza baba yako mama yako ni mke wa ngapi.

    Ndoa utenganishwa na kifo.Sasa sijui ujumbe wako una manufaa gani kwetu.

    Watoto wa Pinda wapo simple kama baba yao mnavyomuona.Wawili wameolewa,kabaki mmoja pia wa kike.

    ReplyDelete
  17. Nanihiii..nilishakwambia na Wenyewe nao wanaperuzz humu ebo!!
    haya sasa angalia hizo hasira hapo juu...shauri yako!!

    ReplyDelete
  18. Swadataaa! basi huyo alo-baki huyo mie ndo halali yangu,hebu punguza jazba basi bibiye upate kutupa detailzz za huyo ambye hajaolewa manake nipo tiari hata Kuslimu mie!!

    ReplyDelete
  19. unajua saa ingine unakuta mtu umefanikiwa na familia yako, lakini unakuta tu watu wivu, wivu kuonea wenzao wivu, jamani maisha ya wenzenu yaacheni kama yalivyo watanzania, tuwe na moyo wa kuapreciate vya wenzetu.

    ReplyDelete
  20. afadhali maana watoto wa kikwete nao, wengine matata.

    ReplyDelete
  21. michu kuna baadhi ya watoto wa viongozi nawajua, wanamind mambo yao, wanajichanganya ila utakuta watu wenye wivu kuwafwatafwata.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...