hawa ni kinadada wa pwani ya pembe ambao kwa mujibu wa mchapo wa BBC shughuli huko ni pevu. endelea kwa wakati wako hapa http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/7233565.stm

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Duh braza Michu!Hizo treatment zikifika hapo bongo mbona itakuwa ndio balaa!kwa maana kwa sasa hivi tu wanawake waliojaaliwa makalio ndio wana market katika yale mambo yetu yale ya mwaka 72!!!

    ReplyDelete
  2. Bro michuzi sasa unawachokoza wabeba miboksi manake haya mambo adimu sana kwao wanahangaika sana wanazungukwa na wazungu.

    ReplyDelete
  3. Baada ya kusoma story nassume hizi bum zote ni feki sio kama unazoona hapa London from different backgrounds and...Yaani hakuna medical prescription damn jamaa wamepania kuangamiza kizazi cha afrika naona. Na hivi gals wanarukiaka mambo ya urembo sipati picha ikija Bongo itakuwa vipi la am nah impressed maana ni feki nataka kitu natural yaani hata kama si that big a** ila hamna dawa wala nini. Haya sijui kama mambo ya usafi... maana sub saharan maji ni issue na tabia nazo...
    Alafu we Sunche tembea uone UK usipime kabisaa kama mbaya unarudishwa pale Ublz au hapo Hearthrow
    Wapenda...mpo?
    Londoner!!!!!

    ReplyDelete
  4. weweeee! nani kakwambia mambo haya hakuna kwa wabeba boksi... yapo kwa saaana hapa chaguo lako..kama unataka ya Kizaire, kirundi, kinaijeria, ki latino ndo eh eh eh babu yangu acha mchezo haafu Ngoma free.

    ReplyDelete
  5. Unajua hawa watu waliokatalliwa visa za kutoka nje ya nchi wana uchungu sana na wabeba maboksi. Inabidi utoke hata hapo Kenya ukajionee! Mizigo hiyo ipo kila mahali nenda states ukaone wanawake walioshiba! Hata hawa hawana kitu. Please watu msitoe hoja zisizo za maana! Kama hujajaaliwa kutoka nje ya nchi bado tunakuombea mungu akuletee bahati hiyo ili uelimike kimawazo! Wether ni mbeba boksi au mkokoteni yakuhusu nini? Mradi baada ya kubeba box anaingia kwenye gari yake mswano na kuendesha kwenda nyumbani ambako kuna maji, umeme. TV, simu na roho yake imetulia, hivyo mbeba boksi anapata mahitaji yote muhimu bila shida na mwisho wa mwezi uongo anatuma kadola 200 kwa wazee wale kuku na ndafu, wewe je? ukadandie basi, ukirudi unaingia chumbani kwako kwenye nyumba iliyojaa wapangaji, na inabidi usubiri giza liingie ili uoge maana hilo bafu liko uani, limejengwa kwa bati limetoboka kila mahala. Please wabongo tulioamua kuishi huku si wajinga tusubiri J.K. afanye vitu vyake labda tutafikiria kurudi.

    ReplyDelete
  6. kakwambia nani wabeba ma-box wamezungukwa na wazungu! ulishafika houston wewe, how about hyatsville, MD, huoni mzungu hata mmoja....wichita je! muwe mnakuwa na habari sahihi, siyo mnarukia tu. haya ndo matatizo ya kula vumbi kila siku.....tembeeni mfumbue macho!

    ReplyDelete
  7. Msiwasikilize wanuka vikwapa...hawajui mambo ya APPLE BOTTOM.

    ReplyDelete
  8. Tatizo la watoa maoni hapa bloguni ni kwamba kiiiiila mtu anajidai yuko Marekani, mwingine anajidai yuko uingereza...Mara ooh hapa Texas...mara houston!! OOOH Readings!!! kila mtu anasema yuko nje ya Tz....Nadhani mmeshaliona hilo wadau!! Hata mwenye blogu naye mwongo sana..akienda safari ya kikazi anavaa kaflana kake halafu anaanza.... nipo Vakasheni arusha...kumbe yuko kazini ...KUWENI WA KWELI JAMANI!! Sisi tulio huku ughaibuni hatufagilii uongo

    ReplyDelete
  9. Na wewe Anony wa 8:01 kuwa MKWELI.Sio READINGS bali READING.Uongo hauchagua makazi ya mtu kwani hata wewe hapo ulipo unaweza kuwa unatuzuga tu.Could be uko Liwale then unadai uko ughaibuni.Ni silika na dhamira,na sio makazi, kinachomfanya mtu aongee ukweli.Ughaibuni hawafagilii Uongo wakati Bush na Blair waliongopea kuwa Saddama ana WMD!?Acha zako

    ReplyDelete
  10. "kiiiila mtu." wa wapi? na wewe umo kwenye hao waongo kaone huna unalojua ila mambo ya APPLE BOTTOM.umeliona pekeyo mpuuzi, kama huna jipya shutup.

    ReplyDelete
  11. jamani kunradhi hivi kikwapa kinakuja saa ngapi? wakati wa kula vumbi au kubeba boksi? ni mara yangu ya kwanza kuyatumia haya maneno humu, maana naona kizungumkuti na haya maneno mawili nayasikia sana humu hivi ni vita auuuu?

    ReplyDelete
  12. Halafu uongo na majisifu vimezidi humu kwenye globu, eti mtu anadia natuma dola 200 kwa wazee kila mwezi Bongo. Hivi kama ni kweli mgekuwa mnatuma remmittances za kiasi hicho kila mwezi nyie wote mnaoishi huko Ughaibuni sidhani kama tungesikia kelele za Bongo maisha magumu. Kwa sababu hizo dola 200 kwa familia ya kitanzania zinawatosha kununua chakula cha mwezi mzima, na kulipa bili ya maji na umeme ukizingatia umeme ni wa kuwasha taa usiku na kuangalia TV. Hebu pigeni hesabu ingekuwa mnatuma hizo kadola 200 tungekuwa mbali. Inawezekana unatuma kadola 200 lakini kwa mwaka sio kwa mwezi!

    Nchi nyingine zimepiga hatua kwa kutegemea remmitances za vijana wao walioko nje! Na wanawapeleka kweli nje kufanya kazi, nyie mmekalia majisifu tu kwenye blogu badala ya kubadilisha maisha ya wazee wenu. Kwa kuwa nao ni sehemu ya masikini na wala vumbi walioko Bongo mkibadilisha maisha yao mtakuwa mmepunguza wala vumbi na washinda njaa na wasio na umeme, na mtaongea idadi ya watanzania wenye maisha bora. Na ndio maendeleo hayo, sio kujisifia ujinga mie napata hookers kutoka wapi na wapi!

    ReplyDelete
  13. Anon wa 8:01am umenifurahisha sana,kila mtu anajidai yuko marekani au uingereza wawe wa kweli,halafu mwenyewe umemalizia "sisi tulio huku ughaibuni hatufagilii uongo"isn't that ironic

    ReplyDelete
  14. Naweza kusema kwa kujiamini hii dawa ni feki,wanasema dawa imetengenezwa CHINA,come on!Hivi ingekuwa kweli situngeona mademu wa kichina wana ma-wowowo ya uhakika?Karne hii uzuri wa mwanamke yeyote ni kuwa na kalio zuri sio mbao kama za kichina.
    Hata ukifuatilia mavituz ya Hollywood unaona wanavyosifia mademu wenye makalio ya uhakika,achilia mbali kuwa na makalio mazuri halisi mademu wanatumia madola kibao kununua makalio ya kawaida.mbona hatuoni wananunua hizi dawa za kichina?Mademu wa kiafrika jichungeni muda si mrefu mtakuwa mnakalia mifupa kama wachina.

    ReplyDelete
  15. **correction**
    Nilimaanisha mademu wanatumia madola kibao kununua makalio ya bandia sio ya kawaida.

    ReplyDelete
  16. Oyaa isiwe ishu sana nyie wa mavumbini hata huku sisis mabox boys tunao kibao sampuli hizo .
    Kama mimi hapa nilipo LUTON wapo wazimbabwe kibao wenye mkia kama wamekalia hamira vile
    Acheni kuchonga!!!! maana mnakera

    ReplyDelete
  17. Hebu achaneni na haya ya kununua. Njooni humu muone
    matakomakubwa.blogspot.com

    ReplyDelete
  18. we Sunche inaelekea kweni mukihama munatumia mifuko ya plastiki ndio maana una wivu na maboksi,Fagia kwako halafu kwa mwenzio sio unafanya kama cheko la nyani......

    ReplyDelete
  19. jamani nawashangaa sana kujibizana!kumbuka wote tuliumbwa kwa mfano wa MUNGU na sisi ni mavumbi tu hivyo uwe ulaya,marekani au africa wote ni sawa tu,mimi naona hapa hakuna upendo maana kujisifia wewe u zaidi ya mwingine haifai!

    ReplyDelete
  20. mmmh! mwenzenu huyu makalio sina raha aaaaaaaaaaaaaaaiiiiiiiih

    ReplyDelete
  21. mh..badonk-a-donk donk ipo ..ila sura kidogo mh!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...