Home
Unlabelled
marco polo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michu hiyo ni mitaa ya lunch time au?
ReplyDeleteSheria za trafiki ziko wapi jamani???...mbona mgongano tu yaani 'head to head'no wonder takwimu za ajali ambazo zinazozipoteshea taifa letu na uhai wa binadamu ni kubwa!!!
ReplyDeleteMungu tu aisaidie taifa letu!
Braza Michu,
ReplyDeleteYaani hawa jamaa wamekupa tiketi ya bure ya kwenda A-town ukaona ulipe fadhila kwa kuwapa advertisement ya bure mblele ya mamilioni wa TZ.Kweli wewe huna hiana.
Ila mimi nakuja kugombea Ubunge 2010 hapo Dar itabidi nikutafute manake najua ukiwa beneti ni lazima tizoe kula za wananchi. Ndio kula za wananchi!
yako kwenye chati...ngoja yakila mzinga
ReplyDeletewatu wengine sijui akili zao ziko wapi. Kwenye maegesho mpaka traffic wawepo kuzuia magari yasipark head to head? fikiria kabla hujaongea
ReplyDeletekaka michuzi naona naona hunatangazia bwawa la maini kwani hukizivuta hizo picha hutaona kwa kando kibo cha bwawa la maini halafu hizo basi zenyewe hao masimba du kweli mkali wengi hawajagundua
ReplyDelete