matangazo yanayoashiria ujio wa bush yapo kila kona. hapa ni ilala kwa kandoro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Baniani mbaya kiatu chake dawa! Msemo wetu huu tumeupitisha wenyewe na tunaukubali. Huyu mheshimiwa sawa tunajua ubaya wake,lakini kwetu sie ujio wake unafaida kubwa sana kuliko hata ubaya wake kwa dunia. Hii ni nafasi nzuri tena ya ngama tukiitumia vizuri tutafaidi mijihela ya utalii.Bongo hatuna ubavu wa kupaisha tangazo pale CNN us dola 1.8mil kwa tangazo ni pesa nyingi. Tuache kuiga mambo ambayo hayana faida ya moja kwa moja kwetu sisi. Ujio wake unaleta mijihela jamani. Sie wafipa tunafusahia sana ujio wake huyu baba mijihela yake inatujengea barabara ya lami kutoka tunduma hadi sumbawanga acheni utani kabisa nyie msiopenda ujio wake. Kama vipi kausheni kwana akiondoka ndio muendelee na vijirakati vyenu ambavyo faida yake ni ndogo kwetu. Nguvu yenu ipelekeni kwenye mikataba mibovu ili bongo iwe tambarare. Welcome Mr. Bush to Tanzania,the land of Kilimanjaro and Zanzibar! A place where you can see the Serengeti,the seven wonders of the world.

    ReplyDelete
  2. Mbona kwenye bango wameweka picha ya Bush ya zamani! AMEZEEKA sasa!

    ReplyDelete
  3. mdau wa kwanza unajidanganya kuwa marrekani watatowa misaada.Wamarekani hawatowagi misaada wanatowa mikopo na kuibia nchi nyingine mali.

    ReplyDelete
  4. BUSH ni mtu mwenye huruma sana kwa wanyonge,vilevile ni mbabe kwa waonevu au Madikteta. ndio maana aliamua kuvamia iraki ili kumtoa sadam hussen.walijua kabisa kwamba hana WMD lakini kwa vile alikuwa aki nyanyasa mpaka kuuwa WAKURDISH ndo maana akatangaza vita dhidi yake.mbona hakuipiga Libya na ilikuwa ikitengeneza WMD kwa vile libya hainyanyasi watu wake.YOUR WELCOME MR & MRS BUSH IN THE PEACEFULL COUNTRY IN THE FACE OF THE PLANET.

    ReplyDelete
  5. We mtoa maoni wa kwanza ,..Si lazima Bush awe mtu mzuri kwa mtazamao wako .
    LAKINI UKWELI NI KWAMBA , Wamarekani wanatoa misaada, Miaka nenda rudi tunapokea misaada .
    ...Tatizo ni wajomba zako ambao ni mafisadi wakubwa Tanzania .

    ReplyDelete
  6. Tunashukuru sana Kupata ugeni wa Bwana joji kichaka na misaada yake kama alivyoahidi kusaidia sekta za Afya,ila Huu msaada wa kutengeneza Barabara ya Kutoka Songea mpaka Namtumbo nafkiri sio msaada ila ni mtego kwenye hayo machimbo ya urenium yanayotarajiwa kuanza hivi karibuni

    ReplyDelete
  7. Duuuh Kikwete nimemkubali,watu wamepiga sana kelele na safari zake but now matunda tunayaona,Bush ndani ya Bongo for 4 days.Big up Kikwete kwa kuiweka TZ kwenye ramani ya dunia.
    AND NOW I'M PROUD TO BE TANZANIAN.Keep it up JK.

    ReplyDelete
  8. WE 8:14:00 KIINGEREZA CHAKO KIGUMU..,JIFUNZE TOFAUTI YA NENO YOUR NA YOU ARE, YOUR NI YAKO NA YOU ARE NI UNA,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...