Bro michuzzz!
Heshima mbele!! Naomba kuwasirisha Picture hii,ya mfanyakazi mpya wa Amref Bwana Said A Chande,akishangilia ushindi wa mbio za kukumbiza kuku,kwenye sherehe za Team Building za office!keep it up Bro mwanzo mzuri!!!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. sawa mwanzo mzuri hatukatai...ila nna swali hizo sherehe walizifanyia bar nini?manake kasehemu kenyewe kamechoka..

    Ila poa tu kwani nini mheshimiwa kama bado hujamchinja nishirikishe basi nitafute au sio

    ReplyDelete
  2. woow hongera kwa kulamba jogoo tena wakienyeji walivyowatamu balaa,safi sana mambo yote kuku wa kienyeji sio ya kidhungu haina ladha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...