hawa ndio kijitonyama stars ambao ndio kiboko wa timu za mchangani za dar. hapo hata kama ni yanga ama simba akinoa stepu kwenda kucheza mchangani anarudi na kilio... na vikombe vya mbuzi vyote wamebeba
Mdau amon petro

----------------------------------------


Kaka, Mambo vipi.

Kuna picha katika blog yako ikiwa na maelezo ya kuwa Kijitonyama Stars ni kiboko katika mechi za Mchangani lakini nakuabalisha ya kuwa wiki mbili zilizopita timu hiyo ilifungwa na timu ya Mlalakuwa Academia katika faianali iliyofayika katika uwanja wa Mwenge kwa kuhudhuriwa na mbuge wa Kinondoni Idd Azzan

Kaka ilikuwa ni aibu kwao kwani walipelekwa mchaka mcahaka sana Muulize Majuto Omary ambaye ni mfadhili wa timu hiyo ya Kijitonyama Stars

Regards
Baraka Karashani


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nakuona bwana evans
    Hilda

    ReplyDelete
  2. DAAAA..NAKUONA MWALAMI UMETULIA M2 WANGU...KWANI ULIKUWA UNATISHA UKIWA GOLINI,,WAPE HI AKINA SHABANI, NA SAID MIOGO...HEHHE
    SUNDAY KASSERA

    ReplyDelete
  3. hapana bwana kwaw yeyote aliye upload hii hicha ni uongo kwani week 2 zilizopita katika uwanja wa mwenge shooting tulishuhudia kijitonyama starz chini ya hemed ngwesa wakipigwa bao katika final ya kombe la jezi na mlalakuwa.kwa hiyo hilo ni fagio tu hawa watoto mpira hawajui kabisa ...kwaslee

    ReplyDelete
  4. ANONY WA 3 KWELI UNATISHA...YAANI ULIVYO CHANGANYA LUGHA....(kwani week 2 zilizopita) HII SENTENSI YAKO NIMEIKUBALI....

    MADAU
    MIMI

    ReplyDelete
  5. mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm manyanya kijana wa ushirika Moshi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...