Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hakyanani na ujanja wangu wote hapa kp kaniacha...wadau naomba ufafanuzi please!
ReplyDeletembona kijipanya amesahaulika kutoa maelezo?
ReplyDeleteSAWA SAWA KP! MAANA HUYO MR "MHANDI"
ReplyDeleteMWENYEWE UMEELEWA SAKATA TOKA LIANZE HAJATAJWA TAJWA KWA UWAZI NA WANANCHI TULIKUA TUASUBIRI TU KIPENGA CHA DKK 90 KIKIISHA BILA KUSIKIA TUNGEANDAMANA HADI KWA BRAZA KICHAKA MAANA ALISHAURI MAFSD KAMA HAO WAKANYAGWE CHINI CHALIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!
Yaani anon wa March 4, 2008 9:58:00 wewe kama mimi.. Nimeiangalia weee lakini tafasiri sijaipata bado.. Nasubiri wenye maujanja na maujuzi wanisaidie..
ReplyDeleteMguuu
ReplyDeleteyule mheshimiwa toka nchi ya waanchari na walenchoka!
Mbona simpo? mwenye kikofia hicho si braza M-hand wa ze Mkono's advocates ndo alikuwa lawyer wa hao jamaa, sasa kumbe alikwa anawapeleka chaka ile mbaya na wanamkatia kichizi, juzi si ndio wameshtuka jamaa kawafikisha pabaya hakuna kesi wanazoshinda, wamemtimua... ipo kwenye news hiyo
ReplyDeletemimi nfikiri KP ana wananga CCM kwamba walifumbia macho mambo mengi hatimae wanakuja kushtuka karibia wanadumbukia kwenye kasheshe na wananchi SIJUI NIMEPATIA??? any way
ReplyDeletemzee wa bunju
Hapo Kipanya anamkoela Wakili Mkono kwa uhusika kwake na ulaji wa mapesa ya BOT kwa kisingizio cha huduma za Uwakili.
ReplyDeleteHUYO NI MHESHIMIWA NIMROD MKONO! ULAJI WAKE WA KUJIFANYA WAKILI AGHALI TANZANIA NA KUJICHOTEA MAMILIONI KWA KESI ZA BOT SASA MKATABA UMESITISHWA GHAFLA. SIJUI ATAMPATA NANI TENA WA DOLA 500.00 KWA SAA. TEHE TEHE TEHE!! KP ANAONA MBALI!!!!!!!!!KUDADADEKI!!!
ReplyDeleteHALAFU ALISEMA ANAMSHITAKI DR. SLAA MBONA KIMYA? FSDI MKUBWA HUYU!!!!
Something to do with the role of advocate Nimrod Mkono?
ReplyDeletenyuma,mbele;
ReplyDeletendani,nje;
mguu,..... malizia plz?
Kuna mtu kanyang'anywa ulaji ndo anafumbuka macho alikokuwa anaelekea....shimoni....mnaofahamu fitna ya BOT mtaelewa maana yake....
ReplyDeleteKwa navyojuwa mimi...Hivi karibuni BoT imetangaza kutoendelea kupokea huduma za ushahuri wa kisheria kutoka kwa kampuni ya Mkono. Nadhani KP anajalibu kuelezea jinsi kampuni hii ilivyoipeleka pabaya BoT mpaka kutaka kutumbukia shimoni...angalia catoorn yake!
ReplyDeleteKwa navyojuwa mimi...Hivi karibuni BoT imetangaza kutoendelea kupokea huduma za ushahuri wa kisheria kutoka kwa kampuni ya Mkono. Nadhani KP anajalibu kuelezea jinsi kampuni hii ilivyoipeleka pabaya BoT mpaka kutaka kutumbukia shimoni...angalia catoorn yake!
ReplyDeleteWadau,
ReplyDeleteDogo BOT kapewa kofia ya baraghashia si saizi yake, bila ya kiongozi anaenda peke yake anafanya anvyoataka!
Mtumzima Dawa
NA WEWE ANATUANGUSHA SASA UNATAKA UELEZWE VIPI WAKATI HIYO IKO WAZI KABISA! KAMA NI MKEREKETWA WA MAFISADI BASI PICHA YA KP LEO UNGEILEWA KWA KUMTAMBUA TU HUYO JAMAA WA KIBARAGASHIA.KWANI HUMJUI? HUYO SI NANIII, NANIHIII KWANI MHAND KWA KISWAHILI NINI? AU BASI BWANA KAMULIZE MASANJA WA ZE COMED WANAPANDA TRENI MOJA ANAANZA MASANJA YEYE ANASHUKA MBELE KWA MBELE KWA WANAUMEE!
ReplyDeleteNa ushukuru Mungu kwamba Kakofia kalipeperushwa na upepo kwa bahati mbaya/nzuri? manake kama ungetumbukia kwenye hilo bonde sijui nani angesalimika miongoni mwetu walalahoi.
ReplyDeletehiyo kofia ni mh. mkono baada ya kutoswa na BOT kuvunja mkataba wao wa mambo ya kisheria sasa hapo wanaonyesha BOT wamestuka na kuvunja mkataba ambao ulikuwa unawapeleka shimoni km muonavyo.kwa upeo wangu nyie msieelewa.
ReplyDeleteAsanteni wadau,sasa nimeelewa.Lakini naomba nitofautiana kidogo na kp,au nipige hatua bili mbele...hapa ni kama BOT ilikua inaelekea pabaya (shimoni) blindly bila kujua,na huko kubaya ilikua inapelekwa na M-HAND...mpaka BOT iliposhtukia dili...hivi ndivyo cartoon hii inavyoeleza literally...kwa hili naona kawa kidogo kp hajafanikiwa kuikonga roho yangu kama anavyofanya kila siku vile,kwa maoni yangu wote hawa walijua wanaelekea pabaya,au to be more precise nchi wanaipeleka pabaya for the sake ya wao kuneemeka,mpaka walipogundulika...kumradhi,nita-appreciate maoni tofauti ya haya yangu.
ReplyDeleteKUDADALEKI ZE KONOS NA KA CAP HAWAACHANI.TENDA SASA WAZI.
ReplyDeletehaha, that's funny!!
ReplyDeleteTanzanian Diaspora now significantly contributes to GDP
ReplyDelete2008-03-03 08:45:25
By Guardian Reporter, IPPMedia
A latest report by the UN`s International Fund for Agricultural Development (IFAD) says Tanzanian Diasporas sent a total of USD313 million in remittance money into the country in 2006.
This amount constituted 2.4 percent of the country�s Gross Domestic Product (GDP). Kenyan Diasporas transferred to their motherland USD796 million, which was 3.8 per cent of that country�s GDP.
Ugandans living abroad managed to send to their homes USD642 million, representing 6.9 per cent of the country�s GDP.
IFAD says remittance flows to and within Africa approach USD40 billion.
Countries in Northern Africa (for example, Morocco, Algeria and Egypt) are the major receivers in the continent.
Eastern African countries depend heavily on these flows, with Somalia standing out as particularly remittance dependent.
For the entire region, annual average remittances per migrant reach almost USD1, 200 and on a country-by-country average represent 5 per cent of GDP and 27 per cent of exports.
Ethiopians in Diaspora sent a total of USD591 million in remittance money to Ethiopia in 2006, and this amount is nearly 4.4 per cent of Ethiopia`s GDP.
Sub-Saharan Africa has over 30 million people in the Diaspora.
Of all the world�s regions, however, Africa`s predominant migration is intraregional, the report said. Remittance flows to and within Africa approach USD40 billion.
North African countries such as Morocco and Egypt are the continent`s major recipients, the report stated. The annual average remittance per migrant is USD1, 358. The top five recipients of remittance money are Morocco, Nigeria, Algeria, Egypt and Tunisia.
SOURCE: Guardian
Natoa ONYO kwa Wanasheria wote nchini:Hivi sasa tumefikia hatua ambayo fani ya sheria iko hatarini kupoteza hadhi na heshima yake machoni mwa jamii kutokana na ulafi na tamaa ya wachache waliojitumbukiza katika fani hiyo ili kutetea haki na usawa mbele ya sheria lakini malengo yao haswa ni kujitarishisha haraka iwezekanavyo kwa njia zozote zile ziwe halali au haramu.Zipo Kampuni za Mawakili wa Sheria zilizo tuhumiwa kushiriki katika kufanikisha mikataba ya Uchimbaji wa Madini ambao haukuwa na maslahi kabisa kwa Taifa.Hii ni sawa na kushabikia hujuma na kushiriki katika kuharakisha zoezi hilo la hujuma lifanikiwe haraka iwezekanavyo kwa manufaa ya makampuni ya nje na kuwaacha wenyeji na wakazi wa nchi hii wakizidi kutopea katika umaskini uliokithiri huku rasilimali zao zikiporwa na wajanja mchana kweupe.Makampuni hayo ya Mawakili wa Sheria badala ya kuwa Watetezi wakubwa wa maslahi ya Taifa hili,kinyume chake wao ndiyo wamekuwa wahujumu wakubwa.Mamlaka husika zipo na zinakodolea macho kinacho endelea bila ya kuchukua hatua zozote za kinidhamu zitakazo linda hadhi na heshima ya Taaluma ya Sheria nchini.Wapo waliohusishwa na ubadhirifu wa Benki Kuu.Lakini mamlaka husika zimekaa kimya.Achilia mbali hitilafu kadha wa kadha zinazo tokea sehemu mbalimbali nchini zinazo idhalilisha Taaluma ya Sheria.Hivi hapa nchini hatuna Chama cha Wanasheria nchini(The Tanganyika Law Society)?Hakuna sheria inayomlazimisha kila mwanasheria nchini lazima awe mwanachama hai wa chama hicho?Chama hicho hakina meno ya kisheria cha kufuta leseni ya Uwakili wa Mwanasheria yoyote aliye kiuka maadili ya fani ya sheria na kuelekea kuipaka matope taaluma ya kisheria na hivyo kuifanya ipoteze hadhi na heshima yake machoni mwa jamii?Sijui kama masuala haya hayawakeri Wanasheria wetu popote pale walipo?Au pengine nazungumzia tatizo ambalo halipo katika jamii yetu!Katuni hiyo ya KP imenikumbusha Usanii wa baadhi ya Wanataaluma wetu.Njia nzima mtu kajifanya kipofu kama vile hamnazo kichwani madhali anapata ulaji wake,lakini laini ya ulaji ilipokatwa tu,kumbe yuko macho anajua kilicho kuwa kikiendelea!Jamani tusisubiri serikali kwa kila kitu!Its time to take action!Done it again,KP plusplus!
ReplyDelete