Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hii style inaitwa; unatoa afadhali, unaingiza ili mradi. -ROBERT MUJUNI
ReplyDeleteHawa dawa yao Kp,kila baada ya muhula wa miaka mitano kwisha Jamaa anaambiwa afungashe virago vyake hatuna mpango nae!Taaluma ya Siasa hapa nchini imechafuliwa kwelikweli.Kuwa mwanasiasa hapa nchini unalinganishwa sawa kabisa na Matapeli au watu wenye jadi ya kusema uongo saa zote!Politics is supposed to be the most noble of all Professions!Lakini siyo hapa Bongo wazee.Itabidi sasa tubanane kwelikweli.Kiongozi mmoja akisoma risala yake kwamba serikali imejenga madarasa kadhaa,zahanati kadhaa nk,itabidi aulizwe ili atoe hadi physical address ya wapi yalipo madarasa hayo,wapi zilipo zahanati hizo mtaa kwa mtaa.Ikiwekwa lami barabarani basi watanzania wakathibitishe ubora wa lami ile kwa kuifukua kidogo sehemu fulani ili waone imezama chini ya barabara kiasi gani.usije ukakuta weusi ule unaouona juu ya barabara kumbe ni Oil chafu iliyomwagwa na kusambazwa barabara yote ili kuwaghiribu akili walipa kodi.Maana sasa ishakuwa hatari ndugu zangu.Hatuna wanasiasa bali MANYANG'AU wanaokula hadi mtaji!Kisha atarudi tena kwa wapiga kura na kuwadhihaki 'Eti,mkitaka maendeleo shurti 'tushirikiane'!Jamani eeeeeeeeeeh usingizi sasa basi,tutakufa mchwa kila mahali!
ReplyDeleteKipanya umemsikiliza vizuri JK wakati akiwa anahutubia kwenye ufunguzi wa TBC?
ReplyDelete(mbarikiwa@gmail.com)