Home
Unlabelled
miaka 40 ya ndoa ya mh. spika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Miaka arobaini ya ndoa si mchezo sijui yeye ana miaka mingapi
ReplyDeletehaya spika hongera sana ujaaliwe maisha mema ktk ndoa yako
Na jk nae aseme basi akitiniza miaka kadhaa ya ndoa
Hongera mzee sitta na familia yako Agnes huko wapi wewe siku nyingi sana ,john weee poa najua huko amerikanaaa.....
ReplyDeletekwa mbali namwona makassy jr katika picha ya kwanza wanayokata keki...namkubali katika kuendesha shughuli,huwa zinapendeza sana akizisimamia....pia nawapongeza wanandoa kwa jubilee hiyo ya 40yrs!
ReplyDeleteaisee kumbe jamaa vikongwe!hongera zao! jk kazana na wewe utafika tu mashalaa..
ReplyDeletekama ni miaka 40 ya ndoa ina maana walioana 1968 duuh! si mchezo ina maana walioana na miaka mingapi? na wana miaka mingapi?
ReplyDeletehongereni sana duuh!!
Jamani, mbona sherehe kama hizo hatukuziona wakati wa awamu ya kwanza? Huo ni upotevu wa pesa zetu walipa kodi. Nasema hivyo kwa sababu hiyo sherehe imeandaliwa na fedha zetu walipa kodi.
ReplyDeleteMwisho, kazi kwako michuzi maana twakufahamu weye!
couple imetulia hiyoooo..
ReplyDeleteduh hongera sana mzee mi mahusiano yangu huwa hayadumu hata miezi sita nawavulia kofia waheshimiwa
ReplyDeleteKweli anon Tuesday, March 25, 2008 8:45:00 PM EAT, kabla S6 mwanaume hajawa Spika na M6 mwanamke hajawa Waziri mbona tulikuwa hatuoni vitu hivi, au labda nimesahau. Hapo kuna walakini!
ReplyDeleteKumbe mzee alipostopishwa kwenda US kipindi cha kashfa ya richmond kumbe alikua anataka enda shopping!!!!. Ona sasa, hajaenda shopping mpaka siku ya anniversary mama ikabidi amshonee shati kutoka kwenye bakizo la kitenge chake. Edward L ana zambiiiii!!!! Bunge likianza inabidi iundwe tume kuchunguza hili..
ReplyDelete(Just Joking guys!!!. Kicheko ni afya)
Happy Anniversary wazee. Mnatupa matumaini sana sisi vijana wenye ndoa mbichi kwamba "MAMBO YANAWEZEKANA"
Michuzi... Unaweza kumtafuta mzee Sitta akueleze siri ya mafanikio ya ndoa yao ili sisi vijana wenye ndoa mbichi tusome short notes zake? na possibly tuziapply?
Acheni hoja sizizokuwa na msingi.Eti oooh wanatumia pesa za walipa kodi!,oooh mara walikuwa wapi kabla hawajapa vyeo!.Sasa ndio Mh.Spika na mkewe hawana uwezo binafsi wa kuandaa sherehe ya namna hiyo mpaka watumie pesa za walipa kodi?Kwa nini tunakuwa na roho za kimasikini namna hiyo.Kasherehe kenyewe bila shaka ni ka kawaida sasa,sisi kinachowapa jabu wenye roho za kimasikini ni kuwepo kwa Mh.Rais katika shughuli hiyo.Acheni ufinyu wa mawazo.Nalo suala la kuhusianisha vyeo vyao na sherehe hiyo ni hoja ya kipuuzi kabisa.Hoja ya msingi hapa ni kwamba waheshimiwa hawa wanatimiza miaka 40 ya ndoa yao.Sasa,sasa unapohoji walikuwa wapi huko nyumba ni kwamba hiyo miaka 40 ilikuwa haijafika na wao walipanga wafanye sherehe yao baada ya hiyo miaka kutimia.Mbona ni jambo rahisi kueleweka hata kwa mtoto wa darasa la 6?.Pia kumbukeni Mh.Sita amekuwa katika vyeo kwa muda mrefu kama waziri nk.Kwa hiyo kuwa spika sioni kama ni jambo la ajabu sana kwake kiasi cha kusubiri awe na wadhifa huo ndio aandaye hafla kumhusu.Hongereni sana waheshimiwa!
ReplyDeleteAnon Wednesday, March 26, 2008 12:55:00 AM EAT comment picha sio ku comment comments. Wewe ndio unaonekana mfinyu sana na kabisa wa mawazo kama unashindwa kuitafasri picha unaanza ugomvi na comments. Pole sana. Michuzi una kazi kweli kweli kuchanganua watu kama huyu!
ReplyDeleteAnon. wa Wednesday, March 26, 2008 12:50:00 AM EAT, love your sense of humour;-)
ReplyDeletemimi binafsi nafkiri niwape hongera kwa kukubali kuwa pamoja tena km mke na mume, wasitupige changa lamacho. Nani ambae hajui km walikuwa na bifu lamuda mrefu na kila mtu alikuwa kivyake, uteuzi wa spika ndio umewafanya wawe tena pamoja ni jambo lamsingi kurudi kundini ni wanakondoo walipotea njia sasa wamerudi HONGERENI SANA WAHESHIMIWA. Na si wao tu wapo mheshimiwa mmoja mtaafu ctaki kumtaja kwa jina namkewe nae ilikuwa hivihivi baada ya kuteuliwa kuwa kiongozi mkuu akaamuwa kumrudia mkewe kuficha aibu, ni mfano wakuigwa! hasa kwasisi wakristu! michuzi tafadhali ucnibanie huu ndio ukweli halisi, kwanini tu sisi tuandikwe mambo yetu ya jikoni yao wafiche. Big Up sana . Mdau jirani na mheshimiwa na John ni Best yangu.
ReplyDeleteMiaka 40 si mchezo ndugu zangu. Tuwapeni Hongera zao hawa WAZAZI!!!! Kila jambo lina wakati wake. Yawezekana walikubaliana wakifikisha maika 40 ya ndoa ndio wafanye Jubilei. Nimeshaona hata wenye maisha ya kawaida kabisa wakifanya sherehe kama hii.Ni kumshukuru Mungu kwa kuwafikisha hapo kwani walifunga ndoa enzi hizo na couples ngapi na hawapo kabisa wameshafariki au wengine ni wajane? Hata mume alofiwa na mkewe nae ni Mjane!!!!! Ni wengi walopoteza maisha. Hiyo ni SHUKRANI tu sio mambo ya uwaziri wala Uspika!!!!! HONGERENI SANA Mr.&Mrs.SITA.@Naishiye.
ReplyDeletewanavyojidai kumbe walikua na matatizo, afadhali yao waliyatuliza wengine wanaleta vurugu hadharani, kama mmeachana si mseme wazi sio kuchanganya watu, asante michuzi, wapunguze na ufisadi. wanawake wa kichanga ndo wenyewe kwa pesa, na kuacha waume zao, wachanga ni lini mtaendelea.
ReplyDeleteafadhali huyo mama sita hajakutana na mchaga, hivi sita ni kwa nini anafuja pesa za bunge, afadhali ya lowassa anaesaidia wananchi na hivyo richmond iemtokea tu ila sita, anafuja pesa za watanzania, michuzi usibane hii, nawakilisha.
ReplyDeleteWabongo kweli tumekwisha! Hamuoni kama kuna tatizo serikali ikimfanyia mtu sherehe ya mambo binafsi?
ReplyDeleteHalafu, rais anatakiwa kuwa bize, sio kuzunguka zunguka kutoa zawadi za ndoa. Kweli Bongo tuko finyu kimawazo.
Pia, Rais hatakiwi kuonyesha ukaribu karibu wa kibinasfi na viongozi wengine kwa sababu atashindwa kuwawajibisha. Hapa naona tuige utamaduni wa kigeni wa kuchukia 'political patronage.'
Mwisho, yule aliyesema tu comment picha sio ku comment kuhusu comment anakosea. Watoto ndio wata comment rangi ya keki Sitta anayokata na ina ngazi ngapi. Wengine tutachambua na kuchambuana kuhusu mawazo yanayo zunguka hiyo picha!