asante mdau mzalendo kwa kutuonesha jinsi gani dar ilivyonoga leo baada ya mvua ya kutwa nzima

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Ni jambo la aibu kuwa tuna wahandisi lakini sijui wanafanya nini kuhakikisha kwenye barabara mpya na majengo mapya kuna "adequate sewer system to sustain the floods"!!!! Shame on you all planners and those responsible with the designs. Loh! watu wanahitaji ngalawa na mitumbwi mji huo. I things lots of those engineers need to be fired for not doing their jobs, millions are spent in these projects but in the end its just wastage of tax payers money na misaada ya nje kwani those costly and time consuming infrastructures end up being damages by this kind of floods. I hope next CENTURY the big bosses of responsible infrastructure organisations (TanRoads or Roads agency, works Dept...whatever you call yourselves nowadays)there, will impliment a sustainable plan on sewerage and water system na kuwaondolea watu hii kero ya kuishi kama samaki. Important issues here to my fellow engineers are: Drainage system for storm water and sewer system should be as per worst case scenerio and separated. Sewer and water lines be in place before those roads and other new structures are constructed, these should be in your Master Plan in the first place. Please utilise the goooooood and hard earned degrees you have, this is pathetic. JK - T.O.

    ReplyDelete
  2. Tatizo wanasiasa ndio wamekuwa wataalam wa kila kitu wanapitisha tu miradi ya kujenga maghorofa bila hata kuzingatia miundombinu kama ya maji ya mvua na maji taka,ila wao wanaishi masaki,mbezi hakuna shida hii.

    ReplyDelete
  3. WAHANDISI TENGENEZENI MITARO NA PIA JIJI LIWEKE POLISI WA KUKAMATA WALE WANAO TUPA TAKA HOVYO!!!!

    ReplyDelete
  4. ..HAYO MAJI TULITAKIWA "..TUYAVUNE.." KAMA SIJAKOSEA BADO TUNASHIDA YA MAJI...NASIKIA TUNAWASOMI WENGI.."..WAHANDISI..".."..POLENI NA MAGONJWA YA MILIPUKO.."..HIZI NI OPPORTUNITY LAKINI M..M..M HIVI TUNAJUA NI HASARA KIASI GANI WALIPAKODI WAMEPATA KWA HAYA MADIMBWI....

    ReplyDelete
  5. Wataplan nini wakati jiji ni la wakazi 250,000 na mitaro ni ile ya tangu mwaka 47 na sasa hivi linakaliwa na watu milioni 4. Halafu jiji halina hata bajeti ya kushughulikia mambo mbali mbali ya jiji.

    ReplyDelete
  6. Bro Michu na kihehe kimo Mnogage? ngoma inogile. hahahahahaaaaaa. Tumia neno la kiswahili tuelewe vizuri kiswahili, unajua sisi kizazi kipya,(wakatamaji) kiswahili kizuri kinatupa shida sasa ukisema ngoma inogile nakumbuka watani wetu wala Mb... wanavyosalimiana.Hihihihihiiiii.

    ReplyDelete
  7. tatizo mnang´ang´ania sana dar wacha yawapate. ukweli ni mava yamejaa. hamieni singida, kigoma tabora, lindi, rukwa hadi ruvuma.KWELI MTAJIJU

    ReplyDelete
  8. TOBAAAAA,SASA BARABARA YA SAM MUJOMA ITAPITIKA KWELI?NA YA SINZA JEE PALE SHEKILANGO?DUUUHHH,BONGO NOMA SANA

    ReplyDelete
  9. hapa nawaonea huruma wale jamaa wanaovaa suruali kifuani,sijui wanapitaje mitaani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...