
Hello Kaka michuzi,
CHRISTIANO RONALDO Jamani naombeni tumpongezi kwa kijana wetu najuwa we mdau wa bwawa la maini lakini winger huyu wa kwetu kiboko 30 goals in 30 games hamna winger aliyewai kufanya hivyo makofi tafadhali!
Bila wasi wasi mchezajo bora wa dunia 2007/2008 William Uk Manchester united for life
kutomsifia RONALDO ni sawa na kuacha kopo ukanawia upawa, huyu dogo anatisha, MAN UTD. nikiboko aisee- Robert Mujuni, Dar-TBT
ReplyDeleteasante sana mdau wa red devils ayo ndio mammbo tunajua kama watani wetu jana wamefanya vizuri lakini wote tujipe pongezi.
ReplyDeletey.bantu(no.7)
Humo humo, Dogo tingatinga maaana panaposhindikana yeye ndio anasawazisha. Bwawa la maini wenyewe wanaogopa maana wanajua watapangiwa na Man Utd. Licha ya kwamba mimi ni shabiki wa Man Utd ila kazi waliyoifanya Arsenal Jana ni ya Kiutu uzima wanastahili pongezi, Najua wadau wa London na Bradford wakina Verus na wengine watakuwa wamechekelea ila mjua mmeisaidia Man Utd maana huyo ndio alikuwa Pingamizi kwenu.
ReplyDeleteNa ni kweli mdau katika timu zilizobakia sasa hivi ni Barcelona tu ndio mgumu japo ningefurahi kukutana nao final sio quarter final! Arsenal nawapa hongera ina bidi tuwaite wanaume sio watoto tena! Mi mwenzenu naomba tukutane na waturuki next round fernabache haaha haya bwana chelsea kazi kwenu leo
ReplyDeleteWilliam
Uk
acheni kupenda kihivyo kwani vifaa vya imarati hamvioni tall man ADEBAYO nyie vipi?
ReplyDeleteAmeweza kufunga goli 30 wakati strikers wote wawili hawafikishi magoli 30 inamaanisha forward line ya Man ni mbovu sana
ReplyDeleteNAMKUMBUSHA MDAU KUWA HENRICK LARSON AMEWAHI KUCHUKUA GOLDEN BOOT SIKUMBUKI MWAKA GANI KWA KUFUNGA 50+ GOALS KATIKA MSIMU MMOJA AKIWA NA CELTIC.LAKINI PIA WHAT RONALDO IS DOING IS FANTASTIC
ReplyDeletekwani huko kwenu Afrika hakuna timu za mpira, mara reds, mara bwawa la maini, pumbaf, Glory seekers wakubwa. Mkishaona vitu vya watu vizuri basi mnataka kujipendekeza.
ReplyDeleteNATAKA KUMKUMBUSHA MDAU ALIYESEMA 30 GOALS IN 30 MATCHES HAIJAWAHI KUTOKEA KUWA HENRICK LARSON ALICHUKUA GOLDEN BOOT KWA KUFUNGA 50+ GOALS IN SEASON AKIWA CELTIC. LAKINI BADO ANACHOFANYA RONALDO KINA STAHILI PONGEZI
ReplyDeleteWEWE ANON NAMBA6 USISEME FOWARD LINI YA MAN MBOVU KWA SABABU RONALDO KAFUNGA GOLI NYINGI SASA EBU NITAJIE FOWARD WA TIMU YEYOTE PALE ENGLAND MSIMU HUU AMBAYE ANA MAGOLI MENGI KAMA YA RONALDO.
ReplyDeleteWewe mdau hapo juu unayejifanya kusema eti kwani huku kwetu afrika hamna timu,kwanza wewe unaonyesha kabisa ni m-bongo na tumi yako ni Mtibwa shuga,kwani kuna ubaya gani kwa washabiki wa soka kupenda timu za ulaya kama bwawa la maini au mashetani wekundu?kwani soka lina mipaka wakati vituo vya televisheni vinaonyesha na tunalipia ving'amuzi kila mwezi kuona hiyo mitanange ya magwiji wa kubumbu huku ulaya.
ReplyDeleteNa wewe unayeleta suala na Henrik Larsson huna hoja ya msingi kwa sababu ligi ya uskochi aliyokuwa akicheza Msweden Larsson haina hadhi sawa na Uk Premiership ndio maana C.Ronaldo anasifiwa,na kwa taarifa yako hata Mateja Kezman akiwa PSV alishawahi kufunga mabao mengi na hakupewa Golden Boot kutokana na hadhi ya ligi ya uholanzi.Acha kukurupukia mambo usiyoyafanyaia utafiti?sema lingine tukufundishe...
Big Up mashetani wekundu na jamaa wa Emirate kwa ushindi wa jana,sasa kazi kwenu wazee wa Bwawa la Maini hapo trh 11 mjini Milano ndani ya Stadio Giusseppe Meazza dhidi ya International Milan sisi wadau wa Man.U tunawatakia kila la kheri watani wetu wa jadi wa Anfield labda tunaweza kukutana kwny nusu fainali ili tuwakandamize tena.
ReplyDeletePole sana braza Michu sipati picha hizo kelele za wadau wa Emireti leo jinsi wanavyochonga hapo katikati ya jiji letu Dsm
Kwanza, Natoa pongezi kwa Wadau wa Emirates na The Blues kwa kuingia robo fainali Bado kwako kaka Michuzi na jamaa zako wa Anfield for sure natumaini utasonga timu za England nazipa Big Up, Pili Christiano Ronaldo huu ni mwaka wake Piga ua galagaza chonga domo lako HABARI NDIO HIYO. Tatu Nafunga mjala "Naunga Mkono hoja ya Bw.William wa UK asilimia mia moja" Asanteni.
ReplyDeleteMdau wa Man U
Joe # 21
Ninasoma blog hii na ninafurahi sana kuona kunawezangu kama mimi wanafuatilia soccer.
ReplyDeleteRonaldo ndiye the best,anachohitaji kwa sasa ni kushinda UEFA na kusimikwa mchezaji bora.Rekodi yake ya 30 goals in a season na hata haija isha,ujue hiyo ni sign ya mtu aliyoko kwenye best form.
Orasa
I LOVE THIS BLOG
ReplyDeleteLOL!!!!
MAN UTD FAN.
Mwaikimba wa Kireno huyo
ReplyDeletemimi william uk
ReplyDeletenadhani kuna wadau hawaelewi kitu mimi nilichosema kwa winger kufikisha magoli 30 kwenye mechi 30na bado mechi 18 kabla msimu kuisha
kwenye league ,uefa na fa cup. alafu fikiria kama alfonso alves anafunga magoli 40 uholanzi amekuja england hata moja ameshindwa ,alafu larson ni striker anatakiwa kufanya hivyo alafu sasa mpeleke ronaldo scotland atafanya nini?
MANU FOR LYF>!!!
ReplyDeleteWEWE MDAU ULIEANZISHA HUU MJADALA NILIKUFAGILIA KUMBE MWEHUU'' SASA KUTOLEA MFANO WA ALFONSO ALVES APO NDIO NIMEUONA WEHU WAKO.KWANI WEWE UNAFIKILI RONALDO ANGECHEZA WIGAN ANGEFUNGA GOLI 30? WAKATI MWINGINE INATEGEMEA TIMU NA AINA YA WACHEZAJI UNAOCHEZA NAO,NDIO MAANA THE SAME RONALDO ANAPORUDI URENO IMPACT YAKE SI KUBWA KAMA ANAPOKUWEPO MAN U
ReplyDeleteMimi William
ReplyDeleteaisee huyo jamaa aliyeniambia sina mpango amenifurahisha sana!maana kama anajua record ya ronaldo kwenye euro qualifiers ni nzuri kiasi gani angenyamaza maana kwanza ronaldo 54 appearance 20 goals na last games amefunga 5 goals in 7 games , kumbuka huyu jaama ni winger haya bwana nashukuru any way kwani tukana maana umefadika we mjanja au sio