TAHADHARI!

Kuna phishing malware ina-spread ambayo ina p-oup window katika screen yako na kukupa message;


"Find it out now
You're Blocked, gives you the chance to find out who has blocked or deleted you. You just have to write your MSN account and your password, the system will process the information and within a few seconds you'll get the list of users who are lying to you."

USIKUBALI kujaza messanger address yako na kutoa password yako. Ukijaza maana yake unawapa password yako na hutoweza tena kuitumia Messanger yako. Pia watahack computer yako. Wala uskubali kutumia interface yao ya kuchat, tumia interface za asili kama yahoo, MSN, Skype na kadhalika. Inaanza kuwa hatari sana kutumia hizi web interface zinazosema zinaintegrate chat programs zote kwa pamoja.

Hii ni sawa na zile message zinazokuja na kusema zimetoka katika benki yako na wanarekibisha network hivyo ulogin kwa password yako. Ukiwapa password tu wanaingia katika bank account yako na kufanya chochote wanachotaka.

Ikiwa inapop yenyewe mara kwa mara ina maana computer yako imeshaambukizwa Malware hiyo na ni muhimu u-install program za kusafisha malware kama vile PCTools Spyware Doctor unayoweza kudownload kutoka
http://www.pctools. com/
Regards
Mbamba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. MICHUZI, KWA NINI VITU VYA MAANA UNABANIA NA VITU VYA KIPUUZI (KAMA HII HAPA) NDIYO UNATUMA. NOMA HIYO BABU, KAMA KUNA MTU ASIYEJUA KUHUSU EMAILS SPAMS, BASI ANA MATATIZO - POST VITU VYA MAANA MJOMBA.

    ReplyDelete
  2. Sio zote zinazosema hivyo ni phising... nyingine ni ukweli kabisa.. kwasababu kunasoftware or even websites ambazo zinaweza kukuonesha nani kakudelete... na sio kwamba zitachukua account yako au kuichezea apana.. ni kama zile website ambazo unaweza ukaingia na ukawa unachat kutumia msn au ym account yako. Ni rahisi ukitaka kujua nani kakudelete sana sana kwenye msn.... just go to http://www.blockyell.com/en/ and angalia. it is safe.

    ReplyDelete
  3. sasa kwa nini na wewe ulie pop up na hii message tukuaminije ?? labda wewe ndio virus !!

    ReplyDelete
  4. jamani huu sio upuuzi, never ever give your password to any anonymous person, Watu wamelizwa sana......it can be a spyware or spamers, they have different and many tactics which are close to the truth, you can easily be hooked. Nasikia some academic member of staff pale UDSM nusura wauvae mkenge.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...