Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ndio manake, cha mwisho soo ispeshale kama mwenzako anadhania sio cha mwisho... sipendi mpira na wala sifatiliii ila nadhani mnajua kipenga cha mwisho waliofungwa huwa hawaamini ni cha mwisho lawama tu mbele! 'Refa unapendelea!!'
    Kuhusu kubip ofkoz unachek km jamaa amepokea usijeshindwa kubip tena
    Active X

    ReplyDelete
  2. Ofcoz cha mwisho kina lawama ila kitamu pia usisahu!Si unajuwa tonge la mwisho ndo hukomba mboga...






    Bablii

    ReplyDelete
  3. WE BABII VIPI, JE KAMA MBOGA IMEISHA KABLA YA TONGE LA MWISHO?...

    ReplyDelete
  4. We anon wa tatu mwenyemacho haambiwi tazama, huoni kama sentensi imejitosheleza hiyo? Hata ukibip unaangalia salio kwanza.

    malenga wako.

    ReplyDelete
  5. ETI WE BABLII UNACHEMKA..ITAKUWAJE KAMA ULIKUWA UNAKULA NA SAMAKI WA KUKAANGA...UTAWEZA KUKOMBA KWELI..HATA KAMA TONGE LA MWISHO..??

    MADAU
    MIMI..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...