

HABARI HIZO KUPITIA BBC NA PICHA ZA AFP BOFYA HAPA
From ASSAH MWAMBENE, Anjouan
The African Union backed Forces have retaken the Island of Anjouan in the Comoros controlling 60 per cent of the Island, Major Ahmed Sede, a spokesman for the Comorian Army said here yesterday.
He said the AU forces in collaboration with the Comorian army now control the Wani Airport, the Anjouan Port and Anjouan Capital town of Mutsamudou.
â€Å“the operation to retake the Island has been conducted without any casuality or minmum colateral damageor We are now hunting for Mohamed Bacar who is reportedly missing for the lqst three days" Major: Sede told the Press in the joint press conference with the spokesman for the AU Forces of Tanzania and Sudan
Before the leberation Forces advanced into Anjouan Island, The Comoros President, Ahmed Abdqllah Mohamed Sambi Adressed the nation, calling for the self proclaimed leader of Anjoun surrender or risk massive militqry strike.
The President Sambi also called for the people of Anjouan Island to co-operate with the AU backed forces to restore peace and order in the operation dubbed " Operation Democracy in Anjouan"
Meeanwhile, the Union of the Comoros government has issued a list of 14 most wanted top leaders in the Colonel Mohamed Bacar's government in Anjouan.
The Press Adviser to the Union of the Comoro President, Mr Alaladine Daroumi said on the top of the list include rebel leader Col. Bacar, his brother Abdou Bacar who is the Chief of the army.
Also being hunted is Abdou Madi, who served as a Prime Minister of the Comoros before being the Ambassador of the Comoros to Madagascar. He now works as a Minister for Transport and Telecommunications in Col Bacar government.
Jaffar Salim, number four in the list of the most wanted people and Col. Bacar allies, works as the Minister for Home Affairs followed by Kambi El- Yashourti who is a top adviser to self-proclaimed President of Anjouan. El-Yashourti served in the Comoros as the Prime Minister and Vice President.
Others are Ibrahim Halid, who earlier served as PM of the Comoros and for several years served as a Cabinet Minister in several portfolios. He lost in the presidential general elections to the current president of Comoro Ahmed Abdallah Mohamed Sambi.
Rehema Boima, the former Minister for Energy in the Union government during former President Azaly Assoumani is also mostly wanted by the Union government. She is the chancellor at the State University in Anjouan.
Other close allies to the Colonel Mohamed Bacar, Mr Duklin Mahmoud who defected from the Comoro union government is probably serving current rebel leader government as a Finance Minister.
Others are Mhamoud Salim Hafidh, a former Minister for Youth and sports in the Union government who now serves as the Chief Adviser in the Col. Bacar government in charge of co-operation Affairs.
Dhoi Hirou , the former President of the Anjouan local Assembly, Mr Hazi, a Soldier, Said Ali Fadhula, the former Minister for Health and Mr Berlin, the Mutsamudu Municipal Council in Anjouan are also being hunted by the Comorian government.
Waa Waa!!! Wanaumeee!!! Bravo !!!
ReplyDeleteAngalau yele handsome boy kwenye ile picha ya awali anaweza kuja kwa Manka Mushi.
God is Great!!!
Kweli Manka mushi anataabu kweli dada yangu huyo.yaani mbongo ni mbongo tu sasa hivyo vifurushi furushi vya nini mikononi jamani je wakiwazidi nguvu mungu hawanusuru mrudi salama nyumbani
ReplyDeleteIF WE CANNOT KEEP THE MONEY IN OUR BANK-BOT, EPA, MINES SCANDALS and so and so forth, CAN WE MANAGE WORLD CRISIS??
ReplyDeleteBaada ya ushinid huu, Sasa safari nyengine wapi Zimbabwe, Somalia, Kenya au ??, ingekua kheir na effort hii, kuua hawa MBU hapa BONGO , ikatupunguzia maradhi ya Malaria, na maswala ya kuwashitaki hawa matapeli wa BOT, EPA
Wananchi inabidi tukae tufikiri, na kutafakari, wapi tunataka taifa liende, tushakua kwenye kiza Muda mrefu, hivi sasa imefikia wakati kuwachambua haya mambo, nini malengo, usiri na ujaji. Kama tunakua tunacrave vita, uvamizi, kwa standard ya kiafrika it has never been a good history, CIVIL WARS, UHASAMA na vyenginevyo...
HII NDIO FACTS, kama ilivyoelezwa na mwanablog mmoja hapo chini..
Anjouan is the world's primary exporter of ylang-ylang oil, an ingredient in almost all perfumes.
France probably one of the top consumer and perfume industry in the world
Sasa endelea kusoma...
Nimeiona hii toka Wikipedia:
France's military had already transported about 300 Tanzanian troops and 30 tons of freight to Grand Comoros Island between March 14 and March 16. According to reports a French diplomat said that France was ready to transport Senegalese troops as well, but had not yet done so. The diplomatic source said France remains "favorable" to dialogue but on condition that Bacar accepts the presence of African troops at the port and airport of Anjouan [10]. France's clandestine role was brought into the spotlight when an unauthorised French military flight carrying three people from Mayotte crashed on March 19 in the sea close to Sima on Anjouan. Reports stated that the crew survived.
Put the pieces together now. Is France part of AU? ..Ndio nilivyokuwa namaanisha kwenye comment yangu hapo juu
#
Tarehe Tuesday, March 25, 2008 2:18:00 PM EAT, Mtoa Maoni: Anonymous Anonymous
Hii imenichekesha kusema ukweli(Wikipedia):
Sasa, naona uwepo wa France kwenye 'kuipa' tafu AU makes sense, if you know what I was talking about.
We are being fooled time and time again..
Sasa tufikiri na kujiuliza Swali hili nini manufaa kwa TAIFA LETU ??
Tutafurahi sana kupata majibu yake..
Nimeona Sudan nao wametuma majeshi yao.Huu so called Umoja wa Afrika nadhani hauna akili.Kwa nini watume wasudan kuleta amani nchini comoro wakati wenyewe kwa wenyewe(sudanese) hawana amani?Naomba ufafanuzi.
ReplyDeleteWabongo tunavyopenda sifa za uwongo. Huyo waloenda kumpindua huko commoro ni afadhali hata wafuasi wa CUF zanzibar wananguvu kuliko huyo Bacar, hata wangepeleka askari wa bara barani (trafik) au wale mgambo wa jiji wangetosha kuwaondoa hao wanamgambo wa huyo Bacar, lakini mkapeleka JESHI kuuubwa na masilaha mazito mazito aah wakati hata gobore za kuulia nyani zingetosha! yote yanini? Au ndo hamu ya vita! Hao wanajeshi nikama wameenda "piknik" tu huko commoro, aah ovyooooo!Nakama angekufa mmoja tu basi ingekuwa aibu kwa taifa hili. Afadhali vurugu za wamachinga pale k/koo zinatisha kuliko vita hivyo vya wangazija wachovu!
ReplyDeleteWanajeshi waasi wamewaua? wamewakamata? Wamejisalimisha? Isije ikawa wameingia mitini na ukawa ni ushindi kama wa US kule Iraq au Ethiopia kule Somalia. Wakiibuka kutoka mafichoni ni balaa kubwa!
ReplyDeletewe anon wa kwanza usijitoe kimasomaso kutomeza wenzio huyo manka mush umem-mind kikwelikiweliii sasa unasakizia wenzio tuma andishi CV be a man usituzingue hapa manka mushi kila agenda we manka umempagawisha jamaa huyo keshanasa muhurumie punguza vigezo angalau umuokoe roho yake walau we get sick kutwa kumtaja mwana mwenzenu KISEBUSEBU NA KIROHO KIPAPO NYOOO!!!!
ReplyDeleteWana mafut nini tufanye mpango wa kuhamia !
ReplyDeletesielewi kwanini tumeenda kupigana na kwasababu zipi, je ni biashara twalipwa mahela au ni sababu za kidini kama wengine wasemavyo nchi zoote zilizopeleka wanajeshi maraisi wao ni waislamu...kwa mtaji huu hakuna sababu za kupinga vita vya iraq na afghanistan...na hasa maandalizi yaliyopo ya kuvamia iran...sababu ni kama hizo za Tanzania kuvamia comoro...
ReplyDeletesasa mkimaliza huko nendeni na somalia na kenya pia kama hamtarudi vipande vipande viwili
ReplyDeleteVYANZO VINGINE VINASEMA MAJESHI YA UMOJA WA AFRIKA YANAONGOZWA NA JESHI LA VISIWA VYA COMORO. HAPA MICHUZI UNASEMA MAJESHI YA AFRIKA YAKIONGOZWA NA "YETU". JE, NI KUJUCHUKULIA UJIKO ZAIDI SISI WATANZANIA, AU UKWELI TUNAONGOZWA NA WENYEJI? HATA KIFARANSA HATUZUNGUMZI, TUNAONGOZAJE WENYEJI NA MAJESHI MENGI YANAYOZUNGUMZA KIFARANSA?
ReplyDeleteMIE NAJUA MWENYEJI WETU NDIO KIKOSI KINATUONGOZA SIE WAGENI TUNAOWASAIDIA. AU HII IMEKAAJE. NIMEKOSEA?
bravo mwambene watu kama nyie mnahitajika sana, bravo brother mwambene, keep on doing a good work.
ReplyDeletebravo mwambene watu kama nyie mnahitajika sana, bravo brother mwambene, keep on doing a good work.
ReplyDeleteKumbe muasi mwenyewe ndebweeedo! Nguu pande njuu rejesha!
ReplyDeleteHuko commoro hamna mafuta nini? kwa vile habari hizi sijaziona kwenye chombo chochcote cha habari hapa USA...I guess sio muhimu sana kwao...
ReplyDeleteHapo ndipo mnaponichanganyaga. Sasa sisi ndo Amerika ya Afrika au vipi. Sijaelewa. Tafadhaali naomba msaada kwenye tutazzz...
ReplyDeleteUnknown wa tuesday march 25, 11:29pm EAT. Habari ilikuwa kwenye CNN katika American morning news na John Roberts and Kiran Chetry. Ilikuwa covered kwa minute.
ReplyDeleteI still get a little bit devastated kuhusu nani ataandikia check kulipa bill ya hiyo vita. Will Tanzania pay for the expenses? or will AU pay for it? Inatisha sana kuona tunaanza kujiingiza kwenye migongano ya kiasa ya nchi nyingine ambazo hatuna interest nazo.
I support our man and woman in uniform sababu wametimiza wito wa kamanda mkuu. However, i have couple of question kwenda kwa muheshimiwa JK. Moja, why did we involve in that war? Does we have any interest in Commoro?
Tanzania ina suffer kwenye Current defecity account at this moment, na serikali yetu inazidi kuspend more money, there is no measures taken to increase tax collection, our saving is all the time low. Sasa jee waheshimiwa mnafahamu implication za hayo yote kwenye our economy?
Jee kuna mtu ashawaza kuhusu vizazi vingine vijavyo? Mimi na waheshimiwa tumerithi Tanzania yenye madini na mali asili ya kutosha. Jee vizazi vyetu vitarithi nini?
I salute wanajeshi wote walioshiriki kwenye hiyo operation. Lakini JK anamengi ya kutuambia wananchi jee ni faida gani tumepata kupitia kujiingiza kwenye huo mgogoro.
Thanks
Mdau wa Houston-Texas
kwa wale msoelewa whats going on,JK ni kiongozi wa umoja wa afica now,yeye ndo anatoa maadhimio ya umoja huo kwa huu mwaka,so lazima awape tenda wanajeshi wetu,AU ndo inayolipa hizo pesa,why not wanajeshi wetu wasiende huko,wakati wanalipwa na AU,i think after this tutafute kwenda kwengine hadi mwaka mmoja ukiisha tuwe tumepata faida kwa kuwa mwenyekiti wa AU,kwa kusaidia nchi zinazochangia uchumi wetu,na kuwapa enda wanajeshi wetu,kwa wale msiojua comoro ndo inaongoza kwa kununua mifugo ya tanzania,biashara pia,wanaingia serikali pesa tu mbona,hata ndege zao wanazotumia zote ni za kibongo,ATC inaenda times 3 per week,precision i think mara moja au mbili,third hospital zetu kubwa a jijini zinaongoza kupokea wagonja wa comoro,kama huamini nenda agha khan leo pale,bongo kwao ndo kama sisi na india.na cha mwisho wanajshi wetu nyege zimewazidi hadi wanapiga piga watu ovyo,just imaging waakatiwa maji wanaingia hadi dawasco kupiga wafanyakazi wa serikali,je walalahoi watawafanya nini,mayb wakijichanganya kidogo watapata upeo kujua kuwa mwanajeshi is not mean ndo ukofiti kuliko any one,now atlist hata watajivunia kwa kuweza kushinda vita visivyokuwa na mpinzani,lakini hongera vijana kwa kufanya kweli comoro.WARNING msijidanganye mkajaribu kwenda somalia,jamaa vichaa wale.hatorudi mtu.
ReplyDeleteKatiba ya nchi inasema wazi kuwa JWTZ ni jeshi la kulinda mipaka ya nchi. Tukirudi nyuma wakati wa vita vya Kagera Wazanzibari waligoma kuvuka Kagera na kuingia Uganda na kuhoji uhalali wa jeshi letu kuvuka mpaka. Yote ilikuwa ni Mwalimu kumrudisha madarakani swahiba wake Obote ambaye aliharibu vilevile.
ReplyDeleteSwali ni kwamba Rais ana nguvu za kisheria kutumia jeshi kulipeleka nje ya nchi bila ridhaa ya bunge.
wakati umefika kujiuliza mambo ya kiduwanzi yanayofanywa na viongozi wa Africa bila kufuta katiba wala ridhaa ya bunge na hata walalahoi wake
Could have been a great celebration if the same took place in the Ndebele Land in Zimbabwe... Who Knows labda the same army will be sent to Zim .... (Day Dreams huh).. dRU
ReplyDeleteOnea buzi, gombe ogopa enh! mbona hamwendi Darful kama kweli nyie wanaume?
ReplyDelete