
Just as the home fans were ruing their side's wastefulness, Liverpool drew blood.
The goal prompted comparisons with Fernando Torres' strike against Fulham earlier in the season, when Pepe Reina turned provider with a precision kick upfield.
With El Nino on the bench, it was Crouch who took advantage, latching onto a Benayoun touch before turning William Gallas and smashing a low drive right into the bottom corner.
Even by Emirates standards, it was a beautiful goal. more....
Hahahaha....
ka michuzi yani ndio tuseme unashangilia kudrooo?
ReplyDeletearsenal kweli wamekwisha yaani liverpol B na bado wamechezewa mpira na kwao duuu ubingwa ndio basi tena na bado wana man utd. liver ilikua na first team wawili tuuu carr and raina ila wote second team na yoso
ReplyDeleteAaah Braza Michizi nawe yani unashangilia draw na kapoint kamoja haya,nafasi ya nne yenu,ila kazi kwenu jumatano hii jamaa wa Emirate wanawafuata mercyside-anfiled kazi kwenu,sisi Man.U tunawasubiri hao jamaa kwa hamu sana jpili ijayo hapo Old trafford ili tuwape dose kama tuliyowapa kwny FA Cup ya 4-0 kama sio 3-0 kama mliyopewa nyie Bwawa la maini.
ReplyDeleteFlamini missed a clear chance, we should have won the game.
ReplyDeleteLiverpool are so happy with the draw, that says a lot of Arsenal.
By Mchangiaji
Gunaz bwana mbwembwe nyingi ila sijaona hata mmoja akisema Voronin amefanyaje golini kwao...Wish angekuwa Crouch/Torres/Babel/GErrard pale ungeona shughuli....
ReplyDeleteKama sio 3 basi mtu mzima angepigwa 4 kwao.....
Againnnnnn.....Wenger anadai penati ukiuliza wapi anasema Cesc alichezewa rafu....watu wameshaosha penati inatoka wapi tena?????
Hehehe kama sikumbuki vizuri bahati mbaya alisema "Its true liverpool have the 12th man in anfield,but we'll.............."hii ilikuwa kabla ya game ya kwanza sasa sijui hawa MDEBWEDO watasemaje come Tue...
Com'on U reds YNWA............
Hivi kumbe crouch na kina riise siku hizi wanachezea liverpool b?any way hongerini kwa draw liverpool mie nataka mtume na picha za jumanne pia.
ReplyDeleteHAHAHAHAHAHAHA NAFURAHI SANA.
ReplyDeleteKUMBE HAWA WAHANGA WA SUPER SUNDAY WOTE WACHOVU,
SASA WATOTO WADOGO MUNASUBIRIWA JUMAPILI IJAYO INGAWA SINGEPENDA NANI ACHEZE COZ BADALA YA KUTAFUTA BAO LA TANO YEYE ANACHEZA SHOW GAME.
NATAMANI TUWAFUNGE ZAIDI YA 3-0 BUT NAMUHURUMIA WENGA NA WATOTO WAKE.
SO 3-0 ZINATOSHA.
REMEMBER MAN IS MAN.
G7