Ben TV star reporter Ayoub mzee with the Masai runners in London today. The Six Maasai warriors from northern Tanzania , who will be running in the London Marathon, have attracted a wide media attention . For the first time the english seem to wake up to the fact that the Masai and Kilimanjaro are not in a neighbouring country , but are found in Tanzania. I hope the Tanzania Tourism Promotiom Board siezes on this opportunity to creat more awareness of Tanzania being an ultimate tourist Destination


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. lazma tushinde,masaaai wamezoea kutimua na simba mwituni

    ReplyDelete
  2. gazeti la udaku the sun toleo la ujuzi limetusaidia lakini kwamshangao!wamasai kutoka tz maunt kilimanjaro tatizo lao wanakunywa chai sio kawaida mbaya zaidi sukari vijiko kumi,sikuzote uongo unakuja kwa lift,ukweli kwa ngazi taartibu!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. KUDADEKI KIWANJA NI KIWANJA HATA WIKI HAIJAPITA MAASAI WAMEISHA ANZA KUTAKATA!!!!!

    ReplyDelete
  4. Anon wa pili unaongelea mmenyeo ama mdomo sijakuelewa unachoongea.

    ReplyDelete
  5. KIPA WA WEST HAM UNITED NA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND, ROBERT GREEN NI MIONGONI MWA WAINGEREZA WATAKAOENDA TANZANIA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA AJILI YA KUCHANGIA MOJA YA TAASISI ZISIZO ZA SERIKALI ZA HUKO UK.
    KWA MUJIBU WA GEZETI LA THE SUN LA UK, KIPA HUYO NA WENZAKE WATAPANDA MLIMA HUO MWEZI JUNI AU JULAI MWAKA HUU. PIA LILIRIPOTI KWAMBA MLIMA HUO UPO TANZANIA.
    SUALA LA KENYA KUDAI NI MALI YA YAO LIMEANZA KUTOKA AKILINI MWA WAZUNGU HIVI SASA NA KUAMUA KWENDA KUONA KWA MACHO YAO HUKO ARUSHA. MAMBO YA MTANDAO, GOOGLE, ASK NA WIKIPEDIA YANASAIDIA SANA SIKU HIZI KUPATA UKWELI HALISI WA JAMBO LOLOTE LILE.

    ReplyDelete
  6. Naomba kuuliza jamani huyo Reporter
    AYUB MZEE..sio yule mchezaji wa
    Klabu ya Nyota Nyekundu .enzi hizo
    au majina tu yamefanana ..PINTO UPO
    nisaidie..!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...