Home
Unlabelled
makwangua anga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi niko vijijini mashimo kuinama sehemu ambazo hata dudu prufu (kwa wanaozikumbuka)nikiona hayo majengo roho inaleta raha. Ila niambieni mshamba mie: Vipi usalama iwapo kutatokea moto? Owners na wakazi wanajua nini cha kufanya? Je, zima moto wetu wana utaalamu na vifaa vinavyolingana na urefu wa majengo hayo?
ReplyDeleteNisahihisheni. Blackmpingo
heheh magorofa siyo maendeleo, maji yapo? umeme upo?
ReplyDeleteSahihisho michuzi. Jengo linaloonekana upande wa kushoto (ex-mafuta house now Benjamin Mkapa Towers) lina ghorofa 21. Kwa hiyo Bongo kiwango cha ghorofa 20 kimeshapitwa. Mdau
ReplyDeleteBado tuna safari ndefu!Hayo maghorofa yanatakiwa yasambae hadi mbuga zote pale mbele,ghorofa tupu na sisi tuwe angalau na jiji moja la kujivunia katika karne hii!Kidogo sasa ukiingia DAR unaipata harufu kwamba umetoka Tanganyika sasa unaingia Tanzania ya Dar es salaam!Vipi maji ya kuoga yapo jamani?Au tuje na madumu yetu toka Bara?Maana jasho la DAR paka kaoza!
ReplyDelete