Home
Unlabelled
tbl wachangia timu za dar za taifa cup
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka, Michuzi hapa ndio tatizo langu linapoanzia, Je kweli kama makampuni yote yalipo Dar yanatoa misaada kwa Shule, Vikundi, Club na taasisi zingine nyingi za Dar, mnyonge wangu wa Kasulu au Tunduru, Ikolo, Nkansi au Nyambulikano, atakaa kweli kuendelea kufikiria kuwa maendeleo yatamfikia kweli???? Kwa kweli Hali ni Mbaya sana acha sote tukimbilie hapo jijini[SIDHANI KAMA KWELI TUNAWEZA KUKABILIANA NA TATIZO LA RURAL-URBAN MIGRATION KATIKA NCHI ZETU] Inanisikitisha sana kwa hayo makampuni pamoja na kuwa yanafanya biashara lakini si kwa hivyo!
ReplyDeleteMkuu wa Wilaya ya Tegeta vipi?? twambie wilaya yako haishiriki??
ReplyDelete