mama salma kikwete akikabidhi kitabu kinachoainisha mpango wa miaka mitano wa taasisi ya wanawake na maendeleo (wama) anayoongoza kwa naibu mkurugenzi mtendaji wa UNICEF mama hilde johnson leo huko makao makuu ya UNICEF New York. ma a johnson analonga kiswahili fasaha alichojifunza wakati anaishi moshi, mkoani kilimanjaro, na wazazi wake




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. mama amependeza full utanzania katoka chicha.na kwa kuvaa dhahabu ndo mwenyewe

    ReplyDelete
  2. mama ndani ya tenge la urafiki si mchezo,huyu mama anapenda sana kuwaungisha watz wenzake mara nyingi anavaa matenge ya KTM na URAFIKI TEXTILE,yeye hapendelei sana vya kizaire,safi sana mama penda wa kwenu

    ReplyDelete
  3. Hivi Michuzi unajua we mchokozi sana!Kwanini unatuambia kuwa huyo Mdhungu anajua Kiswahili?Kwani mama yetu mambo fulani noti richabo?

    ReplyDelete
  4. Siyo tu anaongea kiswahili, pia alizaliwa Tanzania, Moshi.

    ReplyDelete
  5. QUIZ CHEMSHABONGO
    Kaka Michuzi,
    Nafuatilia sana mada zako na Blogu yako na mzee mzima nakoment sana, ila Michuzi huwa unamwita Mama Kikwete Mama wa Kwanza. MI NATOA ZAWADI kwa atakayeniambia 'First Lady' anaitwaje kwa Kiswahili Fasaha, Hiyo ni Moja, Pili Je kama Rais angekuwa Mwanamke je Mume wake angekuwa anaitwaje kwa Kiswahili (najua Misupu ungemwita Baba Wa Kwanza) Natoa AirTime Dola Kumi kumi kwa washindi Watatu, nitumie jibu Nitumie email email ndio hiyo: apakati_ya_chembe_au_kidevu@yahoo.com.
    Aminia Wadau wa michuzi... tuliendeleze Libeneke..
    P.S kwa wazee wa Boxi itabidi ukiwa mshindi unipe namba ya aliye Bongo akupokelee airtime au ntakuSMS we umpe umpendae Bongo!
    *Sharti: Mshindi wa nne hana chake, na mshindi atajitaja hapa mwenyewe blogini, niraRATIFY, najua hata mmoja hatapata jibu, maana kiswahili si lugha rahisi!

    ReplyDelete
  6. Kaka Michuzi pia kuna hii habari ilinijia kwenye email...lakini naona sio wengi watakua nayo...sio vibaya ukiipost ili wenye nafasi ya kwenda waende wakasikilize...mimi naishi mbani na DC......labda kuna watu wako hapo wataweza kuhuzuria ....


    BROWN EVENT

    "The Next Generation of Leadership: Investing in Education and Health for Economic Empowerment." (Thursday, April 10, 2008, 6:00-9:00 PM at the Henry J. Kaiser Family Foundation's The Barbara Jordan Conference Center, 1330 G St NW, Washington, DC)

    The Brown Club of Washington, DC and the Network for the Improvement of World Health (Network), in conjunction with the Tanzania Embassy to the US, present an evening of education and entertainment. The First Lady of the United Republic of Tanzania, Her Excellency Salma Kikwete, and founder of the WAMA FOUNDATION will speak about creating more opportunities to improve women and children's social and economic status through education and health initiatives in Tanzania. The Founder of Network, Kaakpema Yelpaala (Brown '02), will unveil a trailer of a documentary film they co-produced with WAMA Foundation on their work in Tanzania. In addition, Grammy-winning recording artist, Will Calhoun will perform.

    Please join development, education and health experts, friends of Tanzania, and the Brown Community of Washington, DC for an evening of education, networking and fun. The event is free, but RSVP is required. To RSVP send an e-mail with your name, the name(s) of guest(s) and contact information to Brown Club Co-President, Reggie Williams at rwilliams@alumni.brown.edu. Questions? Contact Kaakpema Yelpaala at kyelpaala@niworldhealth.org.

    Network, a U.S. based partner organization of the WAMA Foundation, is hosting the First Lady of Tanzania and the WAMA Foundation in the US in conjunction with the Tanzania Embassy from April 2nd through the 10th for a series of private meetings, events and speaking engagements in New York and Washington, DC. More information on the WAMA Foundation is at www.wamafoundation.or.tz/index.htm. More information on the Network the Improvement of World Health is at www.niworldhealth.org.

    ReplyDelete
  7. hahaaaaaaaaaa, huyo mdau apo juu wa mambo flani is not reachable, kanichekesha hadi basi! thanks kunianzia weekend yangu vema, daa, umepiga mahesabu ya araka araka, una akili sana, sikuistukia hii duu. kweli watu wana vichwa humu ndani.

    ReplyDelete
  8. Siyo nia yangu kuwaziba watu midomo ila kuna mtu kila mara aonapo picha ya mama wa kwanza huwa anazungumzia uvaaji wake hasa vitenge. Mimi binafsi namsifu sana kwa kuvaa mavazi ambayo yanaitambulisha Afrika. Ukizingatia kwamba alishawahi kuwa mwalimu hivyo maadili ya ualimu yanamuongoza vizuri. Nyie mnaotaka suti vaeni ila acheni hako katabia cha kukandia asili yenu na kuwa watumwa wa tamaduni zingine. Kumbukeni utamaduni siyo lugha tu ni pamoja na mavazi, chakula, kuabudu........

    ReplyDelete
  9. FIRST LADY KWA KISWAHILI FASAHA SJUI VEMA, LAKINI NI BORA AKIITWA MKE WA RAIS, INA LETA MAANA INAYOKARIBIA NA 'FIRST LADY'. MLIOSOMA 'TRANSLATION' NADHANI MNAJUA ISSUE YA PRAGMATICS. KUNA WAKATI HUTAKIWI KUTAFSIRI NENO KWA NEO. VINGINEVYO UTAHARIBU, KAMA:-

    1.BWAWA LA MAINI - LIVERPOOL
    2.FIRST LADY-MAMA WA KWANZA (Rais ana wake zaidi?), Mama wa kwanza kuolewa na rais?
    LADY - Siyo sawa na 'mama' wakati wote, bahati mbaya.
    3.MY WIFE WAKE- MKE WANGU AMBAYE PIA NI WAKE?

    ReplyDelete
  10. First lady kiswahili ni Muegamo, sasa michuzi itabidi Mama wa kwanza umuite Muegamo (kama mto vile) Raisi akiwa mwanamke mume wake ataitwa (Muegama) Kazi kweli kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...