wadau wakiwa kwenye foleni ya atm ya mtaa wa samora leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Dooh! Basi wengine ili mradi wachukue pesa kwenye ATM. Anapanga foleni masaa, anadraw 2,000 tu.

    ReplyDelete
  2. Hii haina tofauti na kupanga foleni dirishani (KAUNTA)

    Mdau frm "NCHUMBIJI"

    ReplyDelete
  3. Hiyo lazima itakuwa ATM ya NMB tu!

    ReplyDelete
  4. Nyie mnaowalaumu waliopanga foleni ni sawa na kuwaonea..sasa kama mshahara unalipwa bank yeye afanye nini?hata kama ana draw 2000 ni hela yake..kama nyie maisha mmeyapatia hakuna haja ya kuponda hao ndugu zetu,na nyie mmetoka huko huko...na si ajabu aliyekaa hapo chini ni binamu yako..kwahiyo jamani sioni haja ya kuwaponda hao tuwaonee huruma tuu..mdau kyekue

    ReplyDelete
  5. This is crazy!!!!! Hapo atm card umeilipia na hela ni yako unayoichukua na bado foleni hivi...bongooooo....

    I am sure mambo yangekua hivi huku hiyo bank ingeshafile chapter 11
    .....huo umda wakusimama dakika 10 kwanza uko wapi....?????? Manake hiyo foleni hapo mwingine anaangalia balance...angoje receipt.....yaani na hilo joto mbona ni karaha....

    ReplyDelete
  6. Kwa staili hii sirudi tena Bongo...

    ReplyDelete
  7. that line is just for ATM?

    ReplyDelete
  8. Jamani we mummy wa 1/4/08 ushangaza ! Eti wengine wanaenda kuchukua 2,000/= ! Hujui kuwa Benki hasa NMB huwezi chukua hela kauta mpaka kuanzia 500,000/= kwenda juu. Ukienda unataka 100,000/= wanakwambia nenda kwenye ATM ambazo ndo hizo, sasa tufanyeje na mshahara wako unapitia benki.

    Nipe jibu mdau mummy.

    ReplyDelete
  9. Hapo hakuna cha kuangalia balance iko kamili kamili!!balance inajulikana tangia akitoka home..kyekue

    ReplyDelete
  10. JAMANI KAZI IPO!!!!WAWEKEZAJI VIPI MPOOO?MSAADA UNAHITAJIKA WA HIZI ATM HIVI NI KUCHEMSHA HUKO!!

    ReplyDelete
  11. inaonekana kwa sasa watu wengi wanatumia atm ni vizuri sana,ingawa ziko chake kutoka ndio mwanzo mwanzo lkn kila siku zikienda na hizo zitazidi kuwa nyingi.

    ReplyDelete
  12. Kwa kweli wasingechukua jukumu la kupokea mishahara ya watu na amri
    ya lazma ukachukue atm, kama mashine zenyewe haba hivi.
    Pia wanahatarisha usalama wa mteja
    na fedha zake maana foleni yote hiyo inawapa nafasi vibaka kuchagua mnyonge wakumhujumu.
    Mwisho mdau unaewasema wanaodraw 2000/= kumbuka "ALIYEKUPA WEWE NDIYO ALIYEWANYIMA WAO". Acheni dharau za kirejareja wengine mmetoka kubovu kuliko huko.

    ReplyDelete
  13. KWA WALE WASOMI THATS WHEN WE NEED TO APPLY THE SUPPLY AND DEMAND THEORY....HIZO BANK HAZINA WACHUMI? MTAJI HUO MMEUKALIA....TATIZO BONGO NAPO UKIWEKA ATM MACHINE MITAA MINGINE YA USWAZI UNAWEZA USIIKUTE THE NEXT DAY!

    ReplyDelete
  14. Karaha yote ya nini?. Heri yangu mimi ninayeweka pesa zangu chini ya kichago cha kitanda.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...