
mshiriki wa big brother II tatiana akiwa na wenyeji wake irene kiwia (kati) na nancy sumary wa beautiful tanzanie agency kwenye studio za clouds 88.4 fm kwa mahojiano maalum. bibie yuko nchini kwa ziara ya kuhiriki kwenye maonesho ya mavazi na pia kuwa mmoja wa majaji katika fainali za face of tanzania zitazofanyika jumamosi hii hoteli ya moevinpik, dar. Ijumaa atakuwa a-taun kwenye onesho la mavazi. picha na habari zaidi bofya hapa


upaja!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletebody language...mbona huyo msichana mwenye brown dress kampa kimgongo.....hamkubali nini???
ReplyDeleteNancy ushauri wa bure...Nywele fupi hazikupendezi si wewe wala Kylinn. Mwanamke nywele. Irene is always bold...bt that nt for U. Thanx
ReplyDeleteanon wa 10.46 hapo unajua umepatia kabisa maana naye Sumari anafikiria atachukuliwa jaamaa yake na huyo ndingo mbovu wa Angola
ReplyDeletekama wamekaa kwenye bench vile!
ReplyDeletemichuzi hebu mwambie huyo kuti..SORRY Titiana asogeze hiyo hand bag imekaa pabaya..
ReplyDeleteJamani huyo malay bado mnae tu, anajidai kaja kwenye fashion show alafu anasema yupo single. Kwa maana hiyo atakaetokea tu yeye anae alafu inaonyesha mnambabaikia sana. Na nyie madada jamani na hivyo vipara tumevyichoka muangalie huyo mwenye nguo ya brown alivyokua uko kichwani bora hat huyo mwenzako kapendeza. Kwani mmeambiwa na nani kipara ndio asili ya mwafrika? na ninaomba kuuliza Wifi yake Tatian Yule Linda yupo wapi jamani maana alivyo na kimbelembele Tatian toka amefika sijamuona au amechoka kutukanana na wapi na nasikia amefunguzwa hi5, na matusi yake mtu mzima hovyo.
ReplyDeleteHuyu namshangaa kusikia anaonyesha mavazi, MBONA YEYE MWENYEWE HAJUI KUVAA?? KUKAA UCHI NDO KUVAA? KAMA SI KUHARIBU TAMADUNI YETU NI NINI SASA. ONA HATA HAWA WADADA KINA NANCY WAMEANZA KUMUIGA KWA KUACHA MWILI NJE. Mimi nadhani huyu dada ana lake jambo. Mungu tuepushe na hilo lililomleta
ReplyDeletejamani mapaja hayo!!!!!!!!!
ReplyDeletefull vichogo na huyu tatiana kama mzee
ReplyDelete.....then wabongo tunababaikia sana wageni.check hao wenye vipara walivyoduwaaa yaani wapo tayari kukopi kila upuuzi alio nao huyo mapepe wa angola.
ReplyDeleteNa mtalipa laki moja moja kwenda kumuona huyo.
JAMANI NAOMBA NIULIZE! HIVI KWELI TUNATAKIWA TULIPE KWENDA KUMWONA AKIFANYA NINI HASA AU KWA SABABU TU NI FULANI ALIKUWA NA FULANI WETU KULE KWA KAKA MKUBWA!!?
ReplyDeleteHuyo Tatiana jihadaharini naye. Huku kwao ana kipindi kwenye luninga kinacho husu mambo ya ngono. Hapo tarajieni mmomonyoko mkubwa wa maadili kwa hao akina Irene na wenzake.
ReplyDeleteNajuwa watz tumelelewa kwa namna ya mtu kujistahi.Huku kwa Tatiana wanawake wote hawajuwi kuvaa. Wanavaa vikaptura vya watoto. Zile nguo ambazo wanavaa akina dada wanaojiuza usiku tz huku zinavaliwa mchana mahali popote hadi inatia kinyaa maana ni kama maiti zinazotembea! Kwa hiyo siamini kama kweli kilimchomleta huko ni mavazi.
Watanzania tusipoteze utu wetu kwa kisingizio cha utandawazi!
anony 7:7am unaekandiya vimini ni mshamba tu,mtu ana uhuru wa kuvaa vazi lolote na wala asiingiliwe mbona mkiona wazungu wamepiga vimini hamsemi?kwani kuvaa nguo ndefu ndo kupendeza?hata kama uvae nguo ndefu kama hujapangilia sawa sawa watu watakuona wa ajabu sana.mfano mama wa kwanza anapendeza sana akivaa vitenge kuliko avae suti koz anatumbo kubwa kidogo,kama mnabisha chunguzeni.mtu avae kitu anaona kinampendeza.sio kujitia ooh vazi sio la kiafrika,utakuta huyo anaekandya kichwani ana nywele za bandia,au kaweka karikiti,wewe unaoejifanya unapenda uasili basi acha nywele zako pia ziwe kipilipili,vaa makatambuga ili uonekane unapenda sana asili yako.hovyoooooooooooo
ReplyDeletenancy,klynn na wengine mlio na nywele fupi mnapendeza mwaya wala msisikilize maneno ya watu,hawajui kama siku hizi bongo kunyoa wanawake ndo fashion.
ReplyDeleteNaelewa washiriki wa B.Bro wa kwetu (mf Mwisho) wakipewa mialiko ktk radio, tv na shughuli mbalimbali nchini mwetu.Lakini huyu wa nje anapewa umuhimu wote huo KWA NINI???Ana umuhimu gani kwa jamii yetu?Mimi sijui tutaanza lini kuyapa kipaumbele mambo yanayoletea manufaa walio wengi ktk jamii yetu ya Tz?!!Ni upuuzi tuuuu kualikwa kwa dada huyu,hela zinapotezwa kwa mtu asiye na manufaa yeyote kwa jamii yetu!!!!!!
ReplyDeleteNilitaka kucomment kuwa huo ukuta vipi si upakwe rangi basi paonekane smart? then nikakumbuka clouds wanahamia sehem sehem kwenye jengo lao jipya. vp mithupu, wanahamia lini? wakumbuke kuweka viti vya wageni wa studio, si mabenchi kama hapo pichani!
ReplyDeleteFace of Tanzania,how come we have to call people from other countries to judge on who should be the face of Tanzania,what they know about Tanzania and the Beauty in it.Let Tanzanians choose who's they think is the face of TZ. Stop praising strangers we should be independent,damn it!!!
ReplyDeleteTatiana ...Observe Dress codes za Bongo....wacha hizzoo
ReplyDeletendo utajua visista du lugha haipandi, hako kademu ka katikati kanatumia nguvu nyingi sana kukomuniketi inglishi brokeni haieleweki kanajaribu kuelezea kwa mikono
ReplyDeletenoma nendeni shule
One gd thing about Tz is that we're blessed with different types of flies. Sasa Tatiana atuambie Houseflies wangapi alimeza baada ya kuaachama ovyo apo studio? kulikua kweli na salio la hewa nzuri ya oxygen kwajili ya wapambe wetu? vinywelez though Nancy fata ushauri dada!
ReplyDeleteMulox