wadau kunradhi,
habari za aliyekuwa gavana wa benki kuu mh. balali nimezipata toka jana, ila bado sijazithibitisha, ingawa vyombo kadhaa vimerusha. tutapashana mara mambo yatapokuwa tayari.
habari za aliyekuwa gavana wa benki kuu mh. balali nimezipata toka jana, ila bado sijazithibitisha, ingawa vyombo kadhaa vimerusha. tutapashana mara mambo yatapokuwa tayari.
vipi keshafleti?
ReplyDeleteMichuzi ni zakweli, mimi nakusibitishia kwani nimeongea na watu wake wa karibu jana mchana.
ReplyDeleteSasa kama unataka kupata confirmation kutoka kwa Rweymamu au JK mwenye then sahau sababu Balali hakuwa muajiriwa wa Serikali, so serikali hana say ya lolote lilotokea.
Wasilina na mimi nitakupa simu ya muwakilishi wa familia
Mdau wa DC
Mjomba ukisema kuwa ameondoka nitafikiria vitu vitatu:
ReplyDelete1. Kuna mtu anatuyeyusha na anataka kutuacha ktk mataa.
2. Ktk serikari yetu kuna special force ya kufuta watu wanaoiharibia heshima. May be they use Polonium 210 too.
3. Tusipoona mwili nitaamini kuwa jamaa kafanya plastic surgery na kuingia mitini na sie tutalilia ndondocha...
Kama ni kweli RIP ila umeondoka na siri nyingi mno
Blackmpingo
vipi tena mtu wangu? huyu jamaa mnataka kufanya nini tena mbona kama mambo yake yalishakwisha? Sijui
ReplyDeleteHakuna lolote,
ReplyDeleteHilo watoto wa mjini tunaita ni "CHEZO" limechezeka,
Hapo inatafutwa maiti ya mtu mwingine na kusingiziwa ni ya Balali kisha watu wanazika,
Kwa kua ni Muislamu hakuna mambo ya kuacha sura wazi
Then Jamaa anahamia kwengine na hakuna atakaemjua na ndio wa mwisho wa skendo wa EPA,
Wajanja tumeshtuka,
Plse michuzi, kapuni NO
MUNGU MKUBWA...KAMA KWELI JAMAA KADONDOKA...itakuwa kadondoshwa na Waheshimiwa ili kuficha skandali zima la waliotafuna hela ya EPA...ILA jasho la wanyonge halipotei na halitakauka bure. Hata kama WAMEMMALIZA wakidhani wamenusurika, siku zinakuwa watarudisha haki zote wamekula. Jiulizeni..inakuwaje hela inarudishwa halafu hakuna anayejua ni nani anairudisha Benki? Linawezekana hilo? ..WAJINGA NDIO WALIWAO...Wamemmaliza nani atakuwa na ushahidi kuliko aliyewakabidhi ambaye hayupo tena??..NDIO WALILOKUWA WANALITAFUTA HILO ndio maana walichelesha kumleta nchini..HABARI NDIO HIYO!!!
ReplyDelete----------
By Mangi-08
Na mimi nilitaka kushangaa....iweje MZEE WA BREAKING NEWS umekauka mpaka sasa. Nikadhani labda unawaogopa waosha vinywa watakavyolia kwa uchungu wa kuondokewa.
ReplyDeleteKatika toleo lake la leo, gazeti la "Tanzania Daima" limetoa makala marefu ya Front Page (na kuendelea page 2) kuhusu kufariki kwa Daudi Ballali tangu Ijumaa iliyopita, na kwamba atazikwa Ijumaa ijayo hukohuko Washington DC.
ReplyDeleteTaarifa hiyo sasa ipo pia kwenye tovuti yao katika anwani ifuatayo:
http://www.freemedia.co.tz/daima/2008/5/21/habari8.php
Poleni sana kwa wote wale wanaohusika nae kama ndugu, marafiki au majirani.
Michuzi ee, wewe mtu mzima na unaakili pevu, kwa issue iliyotokea kuambiwa huyu mtu kafa haiingii akilini, anyway publish tu ili watanzania tutoe hasira zetu kwa maandishi.ila wote tunajua jamaa hajafa, serikali inaficha ukweli, jamaa anahimia state nyingine ya marekani yenye watu weusi wachache,pesa alizoiba zinamtosha kukaa residents za matajiri. Kisha watanzania tulivyo wapumbavu tutaendelea kuwa wapumbavu. MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WAPUMBAVU WAKE
ReplyDeleteUZURI WA BONGO HUITAJI KUWA SHEIKH YAHAYA HUSSEIN KUTABIRI MAMBO,TULIYASEMA HAYA JAMANI KUHUSU KIMYA CHA BALALI KITU KITAFANYIKA JAMANI.HAYA SINA MENGI .
ReplyDeleteHili chenga la macho! Ni vigumu kuamini sasa tutasikia hooo vijisenti vyote balali ndo alichukua! Wajanja sana
ReplyDeleteHabari za kusikitisha kama ni kweli. Ila inabidi kuwa cautious hapa.. isije kuwa jamaa ama ndugu zake waka-fake death news ili ndugu yao aweze kuibuka na identity ingine kukwepa mkondo wa sheria. Cases kama hizo zipo nyingi tu.. proof is needed here kama ni yeye kweli na sio tell-tale.
ReplyDeleteKUMBUKA ZITTO ALIKUJA USA AKAWEKA MAMBO SAWA.
ReplyDelete