Home
Unlabelled
layan ngorongoro crater leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wee!Kaka Misupu si ulimshika yule
ReplyDeleteSimba wa ICC hapo A-Town ukusema wala hatafuni haya huyo mwingine
jaribu kumsogelea!
Wewe ndio unajua ufisadi wenzako wana JIBALALI wewe unatumia tu
ReplyDeleteNimekumbuka enzi zetu KIBOSHO tulikuwa tuna field trips za Ngorongoro na maeneo mengine ya utalii, it was fun na tulijifunza mengi, ambao hamjapata nafasi ya kutembelea maeneo kama hayo jaribuni kufika tumejaliwa TZ.THANKS
ReplyDeletehivi jamani hao simba wamezoea watu sana nini?maana watu wapo kwenye magari tena juu pako wazi lakini simba hana hata mpango.sasa alikurupuka ghafla itakuwaje,kazi kweli kweli
ReplyDeleteyaani hapo tu mi ndipo ninapoikubali tz..kudadekiiiii...asili imetulia kinoma!!!ila tukiangalia channel kama 'animal planet' hivyo vitu vyote wanasema vipo kenya...haya misupu kazi kwako.
ReplyDeleteMIMI NATAKA SIMBA ADONDOKE NDANI YA GARIKWA BAHATI MBAYA TU! KITAKACHO FATA MHU!
ReplyDeleteMULOX
SIKU HIYO KINA MICHUZI WALIPOTINGA NDANI YA NGORONGORO CRATER NA VIONGOZI WAKUU WA NCHI YETU NA PIA WATU WA ATA, MIMI NILIKUWA NDANI YA CRATER NA WATALII WANGU, KWA KWELI WATANZANIA TUNATIA AIBU SANA MANAKE KINA NANII NA VIONGOZI WETU WA NCHI NDANI WALIPINDISHA SHERIA YA HIFADHI SAAANA KUSUMBUA WANYAMA KWA KUENDESHA MAGARI OFFROAD NA KUKANYAGA MAJANI WAKATI DEREVA WA UTALII AKIKNYAGA MAJANI FAINI NI DOLA 50,JE NAULIZA HUU NI UUNGWANA?
ReplyDeleteBALTAZAR
KIPEPEO TOURS
Michuzi dont tell us that you were in one of those safari vehicles jee unataka kutuambia kuwa unamuogopa huyo NYAU
ReplyDeleteMai waifu zake hawakuwepo hapo?Wale ndo noma,waulize pundamilia,nyati,nyumbu n.k wee acha tu.Juzi nilipita mbugani safarini nikaambiwa ni low season,wadhungu siyo wengi.TRUE OR FALSE?
ReplyDelete