Home
Unlabelled
wageni wawasili tayari kwa mkutano wa sullivan
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wow, its nice to see JJ ndani ya Tanzania huwa ni mtetezi mkubwa wa haki za wamarekani weusi japokuwa kuna wakati anachemka, welcome to our motherland uje utumegee yaliyojiri!!!
ReplyDeleteNadhani Serikali au Taasisi husika zinahitaji kuajiri wakalimani wanaojua American slang.Watanzania tunaongea kiingereza ila slang ni ngumu japo hatukubali ya kwamba ni ngumu. Lugha ya hawa watu weusi ni ngumu na mara nyingi tunajidai tumeelewa huku hatujaelewa,tutabakia kusema i am like,you know what i am saying?guess what?Kujenga maneno,kuelewa maneno na kuyatafasiri vilivyo ni kazi kubwa sana.Nawasilisha mada kwa faida ya Watu ambao tunajihusisha na Taifa hili na Mataifa mengine .
ReplyDeleteWAO!! welcome jesse jackson i hope umekuja ma REV AL SHARPTON!! I LUV U GUYS!!!
ReplyDeleteJAMANI NAOMBA KUFAHAMISHWA. MIMI SIELEWI HUU MKUTANO WA SULLIVAN NI WA NINI. NA SULLIVAN NI NINI AU INAWAKILISHA NINI.?
ReplyDeleteEthiopian Air watakua wametangaza ile mbaya lakini hata kabla ya hapo hua wapo juu ile mbaya ila Air Tanzania ingewekwa diesel ya kutosha ingeenda kuwachukua hawa watu
ReplyDeletehata na mimi nataka kuelimishwa huu mkutano ni wa nini una lengo gani ni hufanyika kila muda gani, umeanzia wapi, kwa ufupi nielimisheni suali zima la sullivian ahsanteni
ReplyDeletejamani tunaomba mtusaidie wengine hatuju nini maana ya huo mkutano, mbona mpo kimya mnaoujua? tusaidiane please naungana na Anon. wa hapo juu, nipo Blind juu ya hilo, please assist
ReplyDeleteDada Mwanaidi najua kuuliza si ujinga but sometimes na huu ulimwengu wa technologia ya sasa kwa kweli ukiuliza vitu vingine unaonekana mjinga, kwani google ina kazi gani ? wewe nenda kaigoogle hiyo sullivan utapata information szote unazihitaji , usipende kutafuniwa tuu uje kumeza!
ReplyDeleteHuyu Anon hapojuu 6:51 AM na wasiwasi na elimu yako yaani kweli kwa karne hii unafikiria watu wakajifunze Slang inasaidia nini jamii badala ya kujua english as english elewa sio kila familia ni wahuni.au vipi nadhani labda familia yenu kingekuwa bomba kuwa mfano yaani baba mama na ndugu zako nyumbani kwenu muwemnongea You what Iam sayingg dude kweli kichekesho ulimbukeni mbaya sana
ReplyDeleteAbout the Summits:
ReplyDeleteThe Leon H. Sullivan Summits bring together the world’s political and business leaders, delegates representing national and international civil and multinational organizations, and members of academic institutions in order to focus attention and resources on Africa’s economic and social development. Their mission was inspired by Rev. Leon H. Sullivan’s belief that the development of Africa is a matter of global partnerships. It was particularly important to Rev. Sullivan that Africa’s Diaspora and Friends of Africa are active participants in Africa’s development.
The Sullivan Summits are organized by the Leon H. Sullivan Foundation and held biennially in an African nation to highlight key issues and best practices, stimulate discussion and define opportunities, promote private enterprise and foster high-level strategic partnerships. Creative and innovative initiatives emerge out of discussions and negotiations at the Summits, and new relationships are brokered in order to make those initiatives a reality. The Sullivan Summits are a bridge between America and Africa, serving as a forum for economic and cultural cooperation. Africa needs partners, who can bring skills, expertise and resources to the problems and challenges it faces and defines. It is through these partnerships that Africa can realize its full potential.
The late Leon H. Sullivan (1922-2001)was Pastor, Social Reformer and Human Rights Activist
He is a great Man in the history of Negros civil rights advocation.But he recently has dissapointed every single nigga in the US.He was the first high profile nigga to publicly critisize barack's ability to put up with the most powerful job on planet.then iam sure He's gonna be too sarcastic to talk about black empowerment in our country.Michuzi some times it is a waste of time and energy too to talk about devpts in Africa cos the white man is always too clever!!
ReplyDeleteHii Tenda ya kuwachukua hawa WASHUA nasikia ilikuwa ya Kenya Airways lakini wabongo wakawabania kuogopa wasije wakawazidi akili kwenye 'Matangazo'.
ReplyDeleteWa Kenya si mnawajua walivyo shapu?
Kajifanya kwenda kumwobea Clinton yaliyompata na kimwana wake hapo Ikulu! Kumbe naye alikuwa na kimwana wa pembeni! What a scandalous person! Chone kumcheka paka kwa uchafu!
ReplyDeleteBaadi ya weusi wenzetu wa Amerika wanapenda sana kulakiwa, kana kwamba wao pia ni "marais, wafikapo kwetu na kukutana na marais wetu, na kuingia Ikulu zetu, hata bila hodi!
Hawa jamaa bwana mi sidhani they care about us ila wanakuja kujenga platform kwa makampuni ya wazungu kuwekeza kwetu na kunyonya kama kawaida yao ila this time around wemeona watuletee watu tulifanana nao ili kutupiga changa la macho.
ReplyDeleteUjinga wa watu kama huyu anaejiita sina makosa, yaani wanaona ni maendeleo na kuwa hard core wanapojidhalilisha wao na wenziwao kwa kutumia neno nigger (sijali kana linaandikwa vyengine au kutamkwa vyengine kama wanavyojidai hao wanao litumia neno hili) bado lina maana ile ile. kumbuka waridi kwa jina lolote lile lina harufu ile ile. kuwa mstaarabu na heshimu rangi yako!
ReplyDeleteandrew young and jesse jackson don't forget to match in zimbabwe as you did before in alabama. the country is under siege of talking head president!
ReplyDeleteWageni wazidi kuwasili .. wakiwemo machangudoa wote wa Dar . nasikia wamemiminika Arusha kuja kzisomba dola za hao wamatumbi
ReplyDeleteKongamano la Sullivan lilipata msukumo wake wa kwanza kama jitihada zilizo asisiwa na Sullivan mwenyewe za kutoa shinikizo kwa Mashirika na Makampuni Makubwa ya Marekani ili yaweze kuubana zaidi utawala wa Makaburu wa Afrika Ya Kusini ile ya Ubaguzi wa Rangi ili uweze kulegeza masharti na hatimaye uweze kumwachilia huru Mzee Nelson Mandela wakati huo akiwa bado gerezani Robben Island.Kwa Ushirikiano mkubwa wa Kimataifa jitihada hizo ziliweza kuzaa matunda na hatimaye Mzee Nelson Mandela aliweza kuachiwa na Utawala wa Makaburu na kuwa huru.Shinikizo hizo zilifanyika kupitia nyanja mbalimbali ikiwemo migomo makazini na migodini nk.na kususia biashara na Makaburu na mengineyo.Baada ya Mandela kuachiwa huru,dhamira ya Sullivan ilipevuka zaidi na kulifanya wazo la kuwa na Kongamano la aina hiyo kila mwaka lifanyike barani afrika kwa malengo mapana zaidi.Yakiwemo yale ya:ukombozi wa bara la afrika;kutokomeza umaskini barani afrika;uwezeshaji kiuchumi wa waafrika;kujenga na kuimarisha ushirikiano zaidi wa kiuchumi na kibiashara baina ya bara la afrika na mataifa mengine ulimwenguni hususan bara la Amerika;kuwekeza katika maendeleo na viwanda;kukuza utalii na utamaduni wa afrika;kufufua na kuimarisha zaidi mahusiano ya kihistoria baina ya wamarekani weusi na waafrika;yote hayo yakiwa ni baadhi tu ya madhumuni ya kuendelezwa kwa Makongamano hayo ya Sullivan ya kila mwaka;emancipation of africans from all types of bondage;economic empowerment of the african diaspora;fight against extreme poverty and lack of economic opportunities among africans;give africa a voice;make africa be felt and respected in the international fora;creation and promotion of global partnerships;creation of good governance and respect for human rights;democracy and development;improved trade ties among nations especially among the african continent and afroamericans;etc etc.Hayo ni baadhi tu ya madhumuni na malengo ya Makongamano ya Sullivan.'To Open Up the Eyez of Africans and Realise their Destiny in this divided world For a Better Future'.tonny.
ReplyDeleteWamarekani weusi, US they dont like us, waafrica wa africa. wana chuki na sisi wanadai tuliwauza utumwani, so they hate us, pia they think waafrica wakija US wanakuja kuchukua kazi zao! wapo wenye akili zote na wachapa kazi, ila majority wao hawataki kazi wanapenda mdundiko na kucheza bao za kihuku though!
ReplyDeletesay wat say wat saaay waaaat
ReplyDeleteJAMANI HUMU NDANI KUNA IDIOTS
ReplyDeleteNIMEONA IDIOTS WAWILI KWENYE THIS TOPIC NAO NI 'ANON 6:51 NA SINA MAKOSA'
WHAT ON EARTH ARE YOU TALKING ABOUT>???
NIKIANZA NA WEWE WA 6:51 UNATAKA TUFUNDISHE NCHI 'SLANG' UNA AKILI TIMAMU WEWE?WHAT IS SLANG?HAMNA LUGHA IITWAYO SLANG,WHAT PEOPLE NEED TO KNOW IS ENGLISH,HIYO SLANG INAPIGWA VITA AT THE MOMENT FOR YOUTH AND PEOPLE USING IT HUKO MAREKANI,WEWE NDIO UNATAKA TUIFUNDISHE,WHATS WRONG WITH YOUR BRAIN???? BADALA YA KUONGEA ENGLISH ILLITERACY,ETI WEWE UNASEMA TUJIFUNZE SLANG,WHAT NONSENSE
NA WEWE SINA MAKOSA,NENO 'NIGA','NIGGER','NIG' SILO LA KULITUMIA. NI TUSI!! TAFUTA MAANA YAKE KWENYE KAMUSI,INAMAANISHA 'MTU ASIE NA HADHI' KWAHIYO NDIVY UNAVYOJIITA??
THINK BEFORE POSTING PEOPLE.
sasa wewe anon 5:28 say wat say wat ya nini hapo?nyie ndio malumbukeni
ReplyDeletewewe anon 8@09 unajifanya una akili sana,mbona sentensi yako tata?look at this crap you wrote
ReplyDelete'BADALA YA KUONGEA ENGLISH ILLITERACY,ETI WEWE UNASEMA TUJIFUNZE SLANG,WHAT NONSENSE'
tujifunze ENGLISH ILLITERACY..unajua maana ya ILLITERACY wewe??wewe ndio wa kusoma KAMUSI
say wat say wat??? ACHENI KUJIFANYA WAMAREKANI BAADA YA KUKAA MIEZI 6 TU HUKO
ReplyDeleteneni nigger,negro au nigga kama linavyotumiwa kwa wingi kwa nyakati hizi lina maana tofauti.kwa mzungu kulitumia neno nigga ni tusi baya linalohesabiwa kama ubaguzi wa rangi lakini mitaa ya weusi ukimwita mtu nigga una maana kaka,swahiba au kwa wepesi rafiki.
ReplyDeletenzehe