balozi andrew young akiwasili dar miaka ya 80. hii ni miojawapo ya picha nyingi ambazo zimepamba banda la daily news na habari leo a-taun ambalo limewachengua sana wageni wa mkutano wa sullivan

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2008

    Huyo hapo kati ni Mkapa?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2008

    Hiyo suti ya salim ahmed salim asante sana! mkapa mbabe toka zamani cheki anavyotembea

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2008

    Angalia Salim Ahmed Salim alivyokuwa na alivyo sasa, angalia Andy Young alivyokuwa na sasa then angalia Che Nkapa.....

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2008

    hako ka jamaa ka tatu toko shoto nina usongo nacho sana! natamani niwe na bomu kiunoni nikajitoe mhanga nikimalize kesi yake nihamishie kwa mola.maana naona Kikwete anakigwaya.huyo ni BABA WA UFISADI TZ!Tukizomee,tukilaani,tufanye kila tuwezacho kwa wale wenye mapenzi mema na nnji hii kukifutilia mbali na mkewe

    by Mangi

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 04, 2008

    hifi... kale kambegushi kamkapa?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 04, 2008

    Kikwete enzi hiyo bado yupo sekondari! Wanoijua hii nchi kina Salim na Nkapa wanatesa si ajabu ni magwiji wa umombo. Nyerere umeibua hawa watu siku nyingi.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 04, 2008

    Hivi huko ndio kutembea kidiplomasia? angalia miguu yao walivyonyanyua kwa pamoja kama vile gwaride na yote ya kushoto. Hii nchi kuna wakt ilipendeza sana. wanatembea wakijiamnini sabb ya Nyerere. Wakt huo utarejea tena??? Huyu wa kulia kabisa ni Mwandosya?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 04, 2008

    Katika hao Wanne Mwanzo mmbele kutoka kulia ni 1.Mohammed Ally Foum 2. Benjamin Mkapa 3. Balozi Andrew Young 4. Salim Ahmed Salim.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 04, 2008

    Michuzi, hapo kweli ni Balozi Andrew Young! lakini siku hizi haitwi "balozi", kama sisi wa-Bongo tunavyopenda misifa = BALOZI NI BALOZI HATA KAMA NI WA MWAKA WA UHURU!

    Tumwite "aliyekuwa balozi" au "balozi wa zamani" (former ambassador) na kutaka aitwe kwa jina la wadhifa wake wa sasa! Kama hatuujui wadhifa wake basi tumwite tu Bwana Andrew Young.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 04, 2008

    Mh Mkapa Ninamkubali tangu enzi hizo namnukukuu"MSIYUMBE WALA KUPOTOSHWA KWA TAARIFA ZISIZOKUWA NA UKWELI"Asante Baba Umeitoa Mbali TZ.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 04, 2008

    Surali ya Mkapa imebana hadi mambo fulani yanaonekana, "ni suruali au ni yeye"

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 04, 2008

    Ndio maana Mkapa na Salim wanajua umombo kumbe wametoka mbali huyu Kikwete alisoma wapi?maana waliosoma zamani wanajua umombo kasoro Kikwete na Sumaye vilevile kwa lugha ya kiswahili Kikwete hamkuti Mkapa hata maramoja,hii yawezekana Kikwete alikuwa mweupe darasani

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 04, 2008

    Nkapa anavyoiangalia hiyo briefcase ni kama vile anajiuliza huko ndani hamna dola? (Si unajua tena ugumu wa dola enzi ya Nyerere?) Kisha anajisemea Salim asingekuwepo ningemuambia nimsaidie kubeba.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 05, 2008

    alipokuwepo baba ako suti la kimao alipokufa miradi kibao wewe maaa hapa wewe ngoja tu

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 05, 2008

    Anony 8:47pm umeongea ukweli ambao nilikuwa sijawahi kuufikiria hivi ulifikiria nini?Anony 2:56pm umenichekesha sana kwa hiyo statement yako endelea na udadisi wa mambo unakufaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...