Home
Unlabelled
if jongwe were
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nje ya mada:
ReplyDeleteKuna yoyote anayekumbuka vema kesi ya Ali Maumba na wanafunzi wa kike?
...Perhaps it should read "If Mugabe were white and did not want to return to the land ot its rightful owners"?... To me this is a clear case of Mr Jongwe watching too much CNN and BBC...
ReplyDeleteFor Anon no. 1
ReplyDeletewewe!
Mwacheni Mugabe na Nchi yake.
ReplyDeleteAfter all kama kuacha nchi ndio kumuachia kibaraka tchangarai bora pasieleweke.
How come akimbilie ubalozi wa netherland? nchi ambayo wengi wa wazungu waliotimuliwandiko kwao?
why ni uingereza ndio inasumbuka kuhusu zimbabwe zaidi ya nchi zingine za ulaya ?
Hakuna kurudi wakoloni tena na pia hakuna nafasi kwa vibaraka wa wakoloni hao!!
Heri ya lawama kuliko fedheha!!!
Kama noma na iwe noma!!!
G7
UK
Mr. Cartoonist you dont know what you are talking about!!!
ReplyDeleteHebu nenda mchi yoyote ya ulaya, halafu uwaambie unataka kununua ardhi, kumbuka uwe mwafrika, mweusi fii, kudadake hawakuruhus ng'o. Ila wao wanapenda kuwafanyia wenzao, kweli mkuki mtamu kwa kunguruwe, kwa binadamu mchungu. Huyo Mr. Morgan anataka kutumiwa tuu, na laiti kama angekuwa anagombea kwa Wazimbabwe bila ukibaraka, sidhani kama Mh. Mugabe angekua na matatizo nae. Hatutaki vibaraka wa wazungu Africa. Mugabe oyee!!! Go! go!
ReplyDeleteTatizo la Africa ni moja...hakuna hata nchi moja ilikuwa tayari kupata uhuru. Unajua unapokaa mbali na kuangalia na kupiga kelele kuwa nafuu Mugabe ni rahisi sana! Nenda kaishi huko basi...kama unaona afadhali!Huyu anayesema ni vigumu kununua ardhi nchi ya ugenini...unajua kweli sheria za nchi za Africa? Unajua historia ya Zimbabwe? Watu wanapiga kelele tu huku hamjui chochote...pumbavu! Watu hata hamjui system ya ku-own land kwenye nchi yenu ndo mnataka kupigia kelele nchi za wengine? Conclusion ni kwamba nchi chache sana Africa zilikuwa tayari kujitegemea. watu wenye ujuzi wa kuongoza nchi walikuwa wachache sana...na ndio hao walichukua nchi na kutuletea matatizo tuliyonayo hivi leo katika nchi zetu. Alafu tuacheni kuabudu marais wa kwanza...ni binadamu na walifanya makosa mengi sana tu! We leo jaribu kumponda Nyerere uone utafanywa nini!
ReplyDeleteIdumu siasi ya mwenyekiti...
Mimi mwanzo nilifikiri nipo peke yangu katika kumtetea shujaa Mugabe kumbe tupo wengi. Kimsingi mimi sipingi demokrasia nchini zimbabwe ila kilichotokea na kinachotokea nchini Zimbabwe ni wazungu kutaka kulinda maslahi ya waingereza na katika hili wameamua kuwawekea vikwazo Mugabe na watu wengine wa chama chake (ZANU-PF)nanchi kwa ujumla na kumsaidia kibaraka Morgan ili atetee maslahi ya waingereza. Kwa kuwa nchi za magharibi zinafanya kazi kama timu ktk kulinda maslahi ya nchi zao ni jambo la kawaida kuona nchi hizo zilivyoenda Irak kumtoa Sadam kwa maslahi ya Amerika na sasa tunaona zinavyohangaika kuisaidia Uingereza zidi ya Mugabe. Hali hii siyo ya kwanza kutokea barani Afrika kwani viongozi wengi sana waliuwawa na waafrika wenzao ambao ni vibaraka wa nchi za magharibi. Nadhani waafrika tusome historia na tujiulize vifo vya Lumumba na wengineo na pia tuwaangalie madikteta kama Savimbi na wengine walikuwa wanatumika kwa maslahi ya waafrika au wazungu ili tufanye maamuzi sahihi na tusibaki kutekeleza misemo ya kwamba akupigae shavu la kulia, mgeuzie na la kushoto. Najua mnatishika na vurugu zinazotokea Zimbabwe lakini hili ni jambo la kawaida wakati wa uchaguzi na hutokea katika nchi nyingi duniani na pia ikumbukwe ya kwamba taarifa tunazozipata nyingi ni za upande 1 (magharibi,kutoka BBC au CNN)ambao unampinga Mugabe. Tukiwa wepesi wa kulaumu tutajiona wajinga baadae kama ilivyotoea baada ya vita vya Irak kwani watu wengi waliamini uongo wa BBC, CNN.. lakini baadae ikagulika kwamba Bush na Blaire walikuwa waongo. Lazima waafrika tufikiri kabla ya maamuzi na tusiwe watu wa kufuata tu kwa sababu tu wazungu hawampendi mtawala fulani kwani tukiruhusu hii hali hasa kwa kizazi cha sasa ni sawa na kurudi kipindi ukoloni kwani wakati huo watu waliona kila lifanywalo na lisemamwalo na mzungu ni sahihi. Kwa mtazamo wangu demokrasia nchi Zimbabwe ni muhimu lakini nafasi za vibaraka wa kulinda maslahi ya wazungu NO. MUGABE kaza buti.
ReplyDeletePumbavu mwengine kaongea hapa juu. Kifupi kila nchi inasheria kuhusu ardhi na bora hizo sheria zifuatwe.
ReplyDeleteHao wazungu ambao unadhani wanahaki ya ardhi zimbabwe basi ujuwe nisawa na wale walioua babu zetu mwembe kinyonga wakachukua ardhi. hawakununua walipora so ni haki hurudisha wewe mtoto!!
Kuhusu hatukuwa tayari kupata uhuru huo ni umasikini wa mawazo yako naomba usiwaambukize watu wengine. unadhani lini ungekuwa tayari, ndio wale wanaosubiri baba zao wawatafutie wake wawajengee then ndio mudhani mumekuwa. tulikuwa tunaishi kabla ya wakoloni na tulikuwa na dira zetu, so hawa jamaa walituconfuse na hawakuwa na nia ya kutaka tuchange.. ndio maana waliweka class: babu yako wewe mjinga alikuwa class ya tatu baada ya wahindi .
so najuwa nchi za africa zinafanya vizuri sana kwani wanajuwa kwamba ardhi ya zimbabwe iliporwa na ilitakiwa kurudishwa baada ya uhuru. serikali ya uingereza iliwahadaa ikaomba kufanya hivyo baada ya muda, but wakajitoa wakidhani kinamugabe wamesahau. so unalaumu nini sasa????
BBC, CNN wote wanaongea kwaniaba ya nchi zao. ndio maana wote walihusika kusema sadam ana siraha na hadi leo hawana ushahidi, kifupi hawa-aminiki.
G7
UK
Jamani watu mnaotete Zimbabwe...mbona wazimbabwe wenyewe wanakimbia huko? Hamjiulizi hilo jamani? Hii kusema vurugu katika uchaguzi ni jambo la kawaida...kweli hiyo ni statement ya mtu anayesema kuwa hapingi demokrasia? Vurugu yeyote katika uchaguzi ni kutoelewa demokrasia. Alafu watu wanaosema BBC na CNN ziko upande mmoja sidhani kama wanaelewa kweli maana ya freedom of the press katika nchi zilizoendelea! Sikatai kwamba zaweza kuwa zinatoa habari za upande mmoja lakini pia lazima uangalie credibility yao! Wewe unadhani wanatoa habari tu elimradi kuzitoa? Mna ushahidi gani wa kuwa hivyo vyombo vya habari vinapindisha habari za mugabe? Alafu wanaomwita Tchangarai kibaraka naona mwisho mtadai kuwa Mandela naye ni kibaraka wa wazungu...hehehe. Msinichekeshe hapa bure. Mugabe jamani amepinda sana...waulizeni wazimbabwe tu muone! Nchi uchumi umeanguka, anatawala kwa nguvu sasa! Tatizo hawa wazee hawataki kuachia nchi. Na wanaouliza kwa nini ni uingereza inayosumbuka na Zimbabwe...kwanza mimi naona hata hawaangaiki nayo sana maana kuna njia nyingi za kumuondoa Mugabe kama kweli wangetaka. Na sababu yao kuongoza nchi nyingine katika kumkemea Mugabe ni kwa sababu Zim ilikuwa koloni lao. wao ndo walimpa Mugabe nchi...sasa kaboronga!
ReplyDeleteZEMARCOPOLO YOU DONT KNOW WHAT THE CATOONIST IS TAKING ABOUT. THAT IS HIS OWN GENEUSITY AND CREATIVITY
ReplyDeleteSo hapo umeongea nini kwamba zimbabwe ni koloni lao kwani kuwa koloni ni heshima or udhalilishaji? unasema walimpa mugabe nchi na malikia akamzawadia tuzo wakati huo hawakujua ni chizi kama unavyodhani? mbona hawakumlaumu mpaka pale alipowapora ardhi?
ReplyDeleteKama kukaa miaka mingi mbona hawasemi kuhusu uganda pia ambao kwakuwa wanatumiwa na marekani ndio kimya?
mtoto jua kwamba democrasia haitoki kwamungu ni mfumo ambao wameweka wazungu. look uingereza wanamalkia kwa kazi ipi?
pia inatakiwa ujuwe kwamba international politics sio ujinga kama unavyodhani wewe. ni mipango ya muda mrefu ya kunyanyasana... mfano kama umoja wa mataifa umekuwa unasema kila siku kuhusu marekani na ile jela yao kubya na haki za binadamu mbona bado ipo? mbona hao wazee wanaenda nchi za watu bila kibali cha umoja wa mataifa?
mbona IMF inazihujumu nchi changa kama bongo mpaka leo?
hivi vitu lazima uwe na upeo wa mbali ndio utakua what is happening.
Nimeishi na mzimbabwe hapa kwangu ukimuuliza kisa cha kumchukia mugabe, hana lolote kama wewe domo kaya. hana sababu mbali ya kusema uchumi umeshuka..ukimuulize umeshukaje? hajui kama wewe vile. Naomba kabla hujafungua bakuli lako kwanza soma sababu za uchumi wa zimbabwe kushuka!!!
well kuhusu BBC na CNN naomba uniambie kama hizo station zimeshasema sababu ya serikali yao kukataa kurudisha ardhi/pesa za ardhi kwa zimbabwe? why wasiweke wazi badala yake wanaongelea reaction ya mugabe??? pumbavu utapelekwa kama ling'ombe maisha.
G7
UK
Jamani wakati mwingine tuwe watafakari na tufikirie vitu kwa undani sana..., kwanza kabisa naweza kukubaliana na wengi kuwa kuna mabaya aliyoyafanya Mugabe..., ILA watanzania na waafrika wote tufikirie mtoto wako akikosa utampa jirani amuadhibu?, kama hapana basi waafrica huko ndiko tunapoelekea soon utasikia Mugabe kachukuliwa na Wamerekani amekwenda kushtakiwa huko...., (yale yale kama ya Charles Tylor.. ) tujaribu kutatua matizo yetu wenyewe sio kwa pressure za uingereza na Marekani tujitawale wenyewe...,
ReplyDeleteAnd you can't judge Mugabe kwa yanayotendeka sasa Zimbabwe the good and bads of Zimbabwe are in hands of Mugabe ....., mwacheni kama mkitoa ushirikiano kwake hivyo vikwazo havitafanya kazi yeyote na wazimbabwe watasonga mbele tu..., haiwezekani wazungu 400 tu walete matatizo mamkubwa namna hiyo na kuamua hatma ya mamilioni ya wazimbabwe
Jamani mnakumbuka lile JONGWE la kike lilivyovamia mkutano pale LONDON Baadhi ya watu mlikuwa mnamcheka sasa mnaona mambo yalivyo, yule alikuwa anataka Tanzania kama nchi mojawapo yenye amani iliangalie swala hili kwa makini lakini watu mlimcheka sasa mambo yamekuwa mabaya mnasemaje au amuoni?
ReplyDeleteMugabe oyeee!!!
ReplyDeleteMimi watu wanaonifurahisha kabisa ni wanaotoa support kwa Mugabe na kupigia kelele wazungu...alafu unakuta wote wanaishi nje! Kama unapenda uafrica wako...basi rudi uishi huku. Kutawaliwa tumetawaliwa...basi imekula kwetu. Lakini sio kutumia hiyo sababu kila wakati kusingizia uonevu na nchi kunyanyaswa. Hamuoni mafisadi mpk mpigie kelele nchi za nje na kudai uonevu. Yaliyotokea yameshatokea...sasa imebaki kujisaidia wenyewe. Na kwa jinsi inavyoonekana hatuwezi kujisaidia wenyewe. Kazi ya serikali ni nini hasa? Moja wapo sio kujenga uchumi wa nchi? Sasa kama uchumi umeshindikana ina maana serikali imeshidwa kufanya kazi yake.
ReplyDeleteNa wanaodai kuwa demokrasia sio mfumo mzuri wa kujitawala...basi toa wa kwako tuujaribu.
Maoni ni kujielimishana
de poblem wis Mugabe iz dat he iz ze last afrikan lider standing aloni, wis no sapoti fromu ene aza afrikan lider and ze only afrikan lider wis ze balls and gutz of seying NO to neo-koloniolizim. But Africas Diplomatic Relations is being more like Africas Hypocritical Relations, its such a shame that most african leaders are politically plying it dirty and leaving very little limited room for criticism especially from those honorables called 'diplomati delegates'. I personally admire his courage "LIVING ONE DAY LIKE A LION AND NOT A HUNDRED YEARS LIKE A SHEEP", BHAH! BHAH! BHAH!
ReplyDelete+255773997887
We anon wa June 28, 2008 2:52 PM usiniite mtoto maana we hunijui! Tulia kwanza...unaleta hasira za nini...wewe ongea point ueleweke alafu tubadilishane mawazo. Kama tumekosea sio kuita wenzako watoto...kha...uwe na adabu...sijui hukufunzwa.
ReplyDeleteHaya kwenye point:
Uingereza ina malkia kutokana na tradition yao..sio kingine! bunge la uingereza lina uwezo wa kumfuta malkia muda wowote. Ukisoma mfumo wa Separation of Power utaelewa zaidi!Sihitaji kutoa somo hapa.
Pili
Kipimo cha serikali ni uwezo wake wa kuwapa wananchi maisha bora. Sasa kama huko Zimbabwe watu wanashidwa hata kupata 'basic' needs kweli utasema serikali imefanya kazi yake! Sasa katika kipimo hicho nadhani Mugabe amedunda hapo.
Sikatai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa nchi zetu kuwa controlled by western countries and organisation. Juzi bunge la marekani kwa jina lingine wanaliita Senate limetaka kupitisha sheria ambayo itawapa marekani uwezo wa kushitaki Opec kwa kupunguza uchimbaji wa mafuta. Kwenda Iraq bila uthibitisho wowote ni lingine na sawa kuna mengine mengi. Ukumbuke kuwa the powerful will always rule! Na ni sababu hii ndo maana kuna mfumo wa demokrasia. Mimi sijautaja kuwa ni wa Mungu na sijui umetoa wapi hilo! Nakubaliana na huyu wa juu yangu...kama una mwingine utoao maoni ya wengi tafadhali uutangaze ujaribiwe tuone kama utafanya kazi!
Mimi sioni swala la ardhi linaingiaje humu kwenye hii discussion. Lakini twende mbele tutalizungumzia tu. Sikatai kuwa ardhi ni ya Wazimbabwe. Ukumbuke huyu mzungu naye anajiita mzimbabwe. Kwa iyo yeye aona ni ardhi yake. Pagumu hapo. Mimi siku moja nilimwita mzungu wa South Africa sio mwaafrika akapandisha sana. Ili ndo nchi waliozaliwa na hawawezi kukimbilia pengine popote. Kubali ukatae...ndo ivyo tena! Mimi binafsi naamini kuna system nyingi za kuweza ku-share iyo ardhi. Mugabe alichagua itakayoweza kumsaidia politically wakati ule. Ukumbuke alikuwa ana face uchaguzi. Kama unataka support ya haraka haraka wape watu ardhi...hasa waafrika walio wengi hivyo ni asilimia kubwa ya wapigao kura! Mimi nionavyo bwana...Mugabe ame-feli economically. mtapigia kelele sanctions na nini ndo kisababichasho...lakini ndo ivyo tena! Whether he's a great leader or not...i'll leave history to judge him na hao wazimbabwe wako!
Mtoto aliyesoma zaidi yako anon wa June 28, 2008 2:52 PM awasilisha
Hahahahaahaa Interesting kusikia mtoto aliyesoma sana. sidhani kama kuna kusoma sana duniani, coz hata hao maprofesors nikwamba wamespecialize in one thing. maana huenda kasoma kimoja na sio kingine..
ReplyDeletewell mtoto sasa ndio umesema nini kwani naona unarudi pale pale kwamba foreign/international politics ni business na kama wewe hujuwi basi ukikuwa utajuwa zaidi.
Kuhusu monarch ya UK fuatilia report ya UN human right utajuwa sasa dunia inasemaje kuhusu hayo unayodhani ni point.
Umejiunga na mtoto mwenzako hapo juu ambaye anauliza Y kama watu wanachukua wazungu mbona wapo nje? anafurahisha lakini ni utoto tu. watu wapo nje wanasoma or wanamake one day wanarudi kwao. fuatilia report utaambiwa siku hizi watu wengi wanarudi zaidi ya kwenda nje.. waliobaki ni wale ambao wanaasili ya utumwa... come on!!!
Nakushangaa kusema suala la ardhi linakujaje? sasa wewe utaongeaje suala la zimbabwe na democrasia ya huko bila kutaja source ya problem?? huyu mtoto hakulelewa na wazazi nini? lazima ujuwe tatizo kwanza kabla hujahukumu. well tuendelee.. unasema wanajiita wazimbabwe good. haijalishi kikubwa ni je hiyo ardhi wasemayo yao wamepata baada ya kuzaliwa or wamerithi mali ya wizi?? kuhusu wasouth africa wazungu haaa.. nilikutana nao netherland na tulikaa pamoja na wote wanajuwa kule sio kwao na ndio maana hawakimbilii bongo wakifukuzwa.. coz kwao wanajuwa kabisa, waingereza huenda huko na waholanzi huenda kwao pia.. sawa na wewe ukitimuliwa utarudi magomeni kwenu pia..
Hongera mtoto kwakusoma saaana but juwa that MUGABE yupo pale, kibaraka wenu akijitahidi ataingizwa kuwa waziri kama hataki basi. mwenzie raila kapoa kenya.
G7
UK (mimi nitarudi kwetu shule ikiisha)
Report za Human Right zipo nyingi baba. Toa reference freshi. As far as my sources show na ukitaka kujua historia ya uingereza na falme ya uingereza anzisha tu topic my friend. Kwanzia Norman Conquest mpk glorious revolution. Kwanza unajua ufalme wa uingereza ulifutwa kwa muda na bunge? Alafu wakaona nafuu waurudishe with limited powers. Kazi ya malkia ni ku-sign bills in acts. Na hata hivyo akileta unanga atafutiwa na hiyo pia...of course kuna nyingine lakini sio very important. To understand things lazima usome historia bwana...sio kelele tu. Haya back to the zim issue...
ReplyDeleteAs far as i look into these elections sijasikia swala la ardhi ndo maana na mimi nimelikalia kimya. Hizi elections (za March maana hizi za June sizihesabu) zimeonyesha kuwa Wazimbabwe (weusi) nao wamechoka na Mugabe. Sasa wewe unakataa sauti ya wengi? Au na wewe unapenda ubabe tu? Tulia mazee...ubabe utakupeleka pabaya. Mugabe ame-fail kuisaidia nchi kiuchumi. Kama utasema kuwa ni nchi zilizoendelea zimefanya ivyo basi point yako yaonyesha jinsi nchi yenyewe isivyoweza kujimudu peke yake. Na kama upigavyo kelele na hiyo international politics na business yako kila wakati...ndo sasa uitumie kuchanganua vitu. nafikiri huu usemi utaupata...No country is an island. U have to find ways to trade and exist with others. Kama wanakupiga bao...find ur strength and play ur part. Ndo maana unachaguliwa kuwa rais. Ukishindwa na nchi yako ikaliwa kiuchumi...kaa pembeni mwingine ajaribu. Simple...sometimes u look to hard into simple things bwana!
Alafu mie sijawahi kusema kuwa hiyo ardhi ni yao. Soma vizuri sio unatoa lawama tu! Kuna njia nyingi za kuweza kutambua iyo ni ardhi ya nani. Na Mugabe angeweza kufanya ivyo. Labda alifanya...mimi sijui. Lakini pia lazima ufikirie ile kuwatoa watu wenye uwezo wa kufanya ile kazi na kugeuza shamba la heka 1000 katika heka 50-50. Kweli hiyo inaleta maana kiuchumi. ukumbuke uchumi uko supported na hayo mashamba hapo. Ndo maana bwana nimekwambia kuna njia nyingi angeweza kutumia katika hii issue ya ardhi lakini tena yeye aliweka short term interests zake badala ya long-term interests of the country.
P.S: Kila mbabe ana mjanja wake
Alafu G7 before i go...umenifurahisha na closure yako..."(mimi nitarudi kwetu shule ikiisha)" alafu u were just saying shule haina mwisho. Thought i shld bring that to ur attention! I wont be surprised if u never return home maana shule haiishi...hehehe!
ReplyDeleteMtoto aliyeenda shule na hajali kukosolewa...maana ndo shule yenyewe!
well mtoto nadhani ni binti kama sikosei, unaongea kama bint but samahani kama nakosea.
ReplyDeletenikweli kila mjanja anambabe na Tchangarai na walowezi na kila kibaraka wa zimbabwe mbabe wake MUGABE the one and ONLY.
http://www.prisonplanet.com/articles/may2007/090507monarchy.htm hiyo link itakupa insight ya Monarchy issues. kuhusu report soma http://www.monstersandcritics.com/news/uk/news/article_1410988.php/UNs_monarchy_abolishment_advice ingawa najuwa wameilainisha but kiasi utagundua kwamba UN haiioni monarchy kama kitu cha maana kama wewe unavyodhani.
Najuwa kuhusu nchi kutrade na nchi zingine but nakuambia ikifikia business yenyewe niyawatu fulani kuenjoy wakati watoto wako wanakufa na njaa then haina maana. nadhani binti wewe unafanana na wale waliosifiwa kwa utandawazi na free market na wakapewa urais wa globalisation (MKP) kumbe kazi yao ni kuwabinafsishia jamaa migodi na kila kitu kwamikataba upuuzi. nakama kusoma kwako ndio huko pumbavu hautusaidii ndani ya africa. hivi unadhani mbeki na watu wote wapuuzi wakae kimya tu??? juwa kuna kitu pale ndio maana wanataka mugabe ampatie cheo fulani wapinzani na sio ang'olewe. that is the only thing kibaraka wenu atapata.
Mtoto (binti) wait siku nikiwa rais wenu bongo niwavunjie mikataba ushenzi.. Naomba kura yako.!!!
G7
UK
G7 naona unauchungu sana,kuwaachia watu wote hao wafe na kuwa injured iz not RIGHT,u tokn ol abt ulaya hw cme ths hw cme tht n u yet u there..i don thnk we as Africa wud be PURELY independent anytym soon...bt we are tryn very hard bt it daznt hav to be the way mugabe anavyofanya coz for ths anyhw waingereza waingilia thnkn tht we are INCAPABLE of helping ourselves
ReplyDeleteHaha G7...wat makes u think am a binti?...hahaha! I'll accept the apology only if it wasnt a sarcastic one. kama unanitukana...mabinti nao ni wanadamu pia. At least hujaniita mnyama!
ReplyDeleteMimi nilijua unanipa report ya hasa kutoka UN-Human Right...kumbe ni blogs tu...huku watu wanatoa maoni!
I beg to differ with one of them...King Edward VIII haku-abdicate kwa sababu ya kum-support Hitler. Hiyo inaonyeshwa kuwa imeandikwa na nanga. Ujue kuwa a british monarchy haruhusiwi kuoa mkatoliki na hasa divorcee. Ukitaka kujua why...uliza tu majibu ninayo! Pili ukumbuke the queen acts in advice of the prime minister! Ndo maana nakwambia hana nguvu yeyote. She's the head of state and the PM is the head of government. Hapo lazima ujue theory ya separation of power kuelewa haya mambo. Its not a straight forward thing!
Wewe unaongelea kuuzwa kwa nchi sasa! Naona twahama kutoka kwa mzee mzima Mugabe...aka Mbabe!
Anyway...Why do people do business? To gain a benefit. Wewe huwezi kuja ku-run a company katika nchi ya mtu mwingine kama huna faida yeyote. But hiyo faida has to be reasonable! U have to find a balance between attracting investments and selling the country. Nakubaliana na wewe kuwa kweli nchi imeuzwa sana. Sasa wewe katika mpango wako...ungefanyaje? Angalia usije ukawa kama Mzee wenu Nyerere mumuabudie lakini alichemsha kwenye economy na Mugabe kuamkia na kufukuza watu tu! Mimi sijali ukiniita fisadi au mtoto wa fisadi because i knw wat i am...and only God can judge me (does that sound like Mugabe?...hehehe).
Alafu next time ukitoa reference...sio utoe katika magazeti au vi-blogs watu wanayosoma na kuandika. Toa za uhakika bwana. Unakuwa kama hujafanya Masters (au ya kununua?)
Having read wat u sent...umeona maoni ya mmojawao..." I want to keep the queen can you imagine what it would be like if we had someone like blair as president, or even mugabe."
recommendation: next time u post something...make sure it supports ur argument. Maana u dont look clever kama unaweka vitu ambavyo hata havina support.
mtoto aliyeenda shule
P.S...kura siwezi kupiga maana bado mtoto