

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa hivyo vijisenti vya kujenga majumba hayo ya anasa wanayapatia kutoka wapi?manaake mie mnyonge mtanzania hata tofali mmoja naona vigumu kujipatia!!!
ReplyDeleteakumbuka enzi za Stanley Mabesi "Ninja" na kina Charles Libondo wa Zambia wanapigana ndondi Gerezani
ReplyDeleteSASA BWANA MICHUZI NAOMBA UIFIKISHE HII MBELE KWA MBELE KWA WAHUSIKA WAKUU, KWA NINI HIZI SEHEMU MUHIMU ZA NCHI YETU WATU WANAZIKARABATI NA KUZIPA MAJINA YA KIINGEREZA???. KUTOKA RELWE GEREZANI MPAKA CITY GARDEN WAPI NA WAPI, HATA WAZUNGU WATATUSHANGAA JAMANI, HUWEZI KUBUNI JINA KAMA VILE, NDEVU ZA MBUZI, AU, STAREHE JELA, KWA SABABU NI GEREZANI. HEBU WAAMBIE HAO WAKUJA WAACHE USHAMBA.
ReplyDeleteKWA KIFUPI THE OLD RAILWAY GEREZANI CLUB, PALE KWA MZEE WA KIDEVU (SALVADOR), KISA CHA MPEMBA CHA KUTWANGA NA KUPEPETA, KISIKI CHA MPINGO NA KIPEPEO, NYUMBANI KWA SINGA SINGA CLUB........IS NOW NO MORE!!! EH MUNGU TUSAIDIE WANYONGE MAANA NEXT NI LEADERS CLUB.
ReplyDeletewanapata wapi pesa. benki zinafanya nini?? acha ushamba kama kwenu hakuna cha kuwekea rehani usifikiri kila mtu mwizi wa pesa za serikali. watu wanajua kucheza na mikopo ya benki bwana achane majungu ulizeni mfafanuliwe acheni hizooooooooooooo
ReplyDeleteHivi hapo si ndio mechi za netball zilikuwa zinafanyika au nimeconfuse!du Kasheshe
ReplyDeleteJamani hawa wasomali wa city garden na holiday inn resort wametubadilishia kiwanja chetu cha netball na sasa wameweka bwawa la kuogelea. kama Serikali yetu ingekuwa macho hasa wizara ya habari, utamaduni na michezo ingewapa masharti hawa wawekezaji, wawekeze lakini wasiubadili uwanja huu wa mpira wa pete, ila wameachiwa wafanye wanavyotaka. sasa viwanja vya netball vinapungua kweli tutafika?
ReplyDelete