Home
Unlabelled
jk, mubarak na migiro misri leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwanini kiti alichokalia Asha Rose ni tofauti na hivyo walivyokalia wanaume kikwete na mubaraka? Ni bahati mbaya au ndo itifaki.
ReplyDeleteIt very unfortunate that when it comes to issues of such nature yaani politics, issues which touch and impact in all our overall daily lives wadau dont have keen interest to comment. Anyways ndio hali halisi ya ulimwengu wa sasa, mambo muhimu hayapewi uzito wake. Michuzi mwanamama huyu mwanasheria mahiri, makini na wa aina yake ametoa tamko kali na kuwatafadhalisha 'madume' yote ya Africa to call a spade a spade, stand up and condenm the activities of veteran Bob Mugabe. Yanayoendelea Zim si ya kufanyiwa mzaha na kuoneana haya, nchi inaelekea katika machafuko makubwa ambayo Africa na madume yake viongozi, hawataweza kujibu lawama. Ni Odinga pekee waziri mkuu wa Kenya,aliyeweza kuunga mkono tamko hili na he went a step further kusema Africa si vema ikamtambua dictator mwehu huyu.Hivi huko kapokelewa vipi jamani? Africa my beloved continent, please wake up and stand for the truth at least kwa hili lililowazi kabisa. Haiitaji akil, macho au masikio ya kisayansi kutambua kinachoendelea Zim jamani. Dr. Asha Rose you are a woman and a half, keep up the spirits. Big uuupppp dada!
ReplyDeleteKwa maoni yangu Wamempa kiti tofauti sababu yeye ni mwanamke.Unyanyasaji wa kijinsia tu.
ReplyDeleteUkumbuke pia misri ni waislamu na waislamu wanaume hawapendi mwanamke akae pamoja na wanaume hadharani hivyo .Hivyo wamempa kiti cha tofauti ili aonekane tofauti kumnyanyasa kijinsia.
Mama Asha-ROSE usijali iko siku mfumo koko dume utatokomea tu.Hata wangekupa tofali ukalie wewe bado ni bosi wao tu kwenye umoja wa mataifa.
Katika mambo tunayosifiwa waafrika ni kupoteza muda. Je kweli hao walio kiti cha mbele Mubarak na Kikwete wanaweza kumfunga kamba Mugabe. Wao na vyama vyao ndio vinara wakulazimisha matokeo na kukandamiza upinzani. Hebu ona Mubat=rak livyowashughulikia Islamic Brotherhood. AU kama ilivyokuwa OAU bado wataendelea kukaa meza moja na viongozi watakaopindua nchi zao au kujinyakulia madaraka kwa nguvu kama alivyofanya Mugabe. Siku moja kabla ya uchaguzi wa Zimbabwe, Mugabe alitamba kuwa hakuna hata mmoja kati ya viongozi wa nchi za Kiafrika anayeweza kumnyoshea kidole. Ndipo nikakumbuka lile tangazo la Ukimwi yule dada alipokuwa akisema, " Unaponinyoshea mimi kidole, vidole vitatu vinaelekezwa kwako mwenyewe"
ReplyDeleteHata kile kinachojiita "Jumuia ya kimataifa aka The international community" wanashindwa kumbana Mugabe kutokana na ukweli maslahi binafsi ya nchi zao hutangulizwa mbele na si demokrasia. Mfano ni Musharaf, Mubarak , na Falme za ghuba ya Uarabu.
Kuna kazi kubwa kuletea demokrasia ya kweli Afrika na hususa katika vyama vya kisiasa.
hicho kikao cha AU kama hakitalaani yanayotekea Zimbabwe nitaamini viongozi wetu wa Kiafrika ni Wanafiki tu!
ReplyDeleteWadau hii inanikumbusha IDDI AMINI kwa ANGLE ya kitofauti ,lakini results ni zile zile ,na pia nikiwa "mzenji wa bara" pia inanikumbusha KARUME (baba mtu).kwa ufupi namuunga mkono wa Dhati mdau july 1 12.15 kwamba kila mtu kajichimbia ,maana anahofu VIDOLE VITATU, Wadau imagine KARUME WA SASA anamshutumu huyu MZEE si itakuwa noma ,maana WANZENJI WANAWEZA KUMSUTA!!!AU AINUKE MUBARAK, WAIJIPSHEN SI WATAMZOMEA? NA WENGINE KIBAO WANANOMA ZAO.HAO INTANESHNO KOMUNITE WAO NDIO BOM ZAIDI, MAANA BAADA YA NOMA RWANDA, HAWAJASOMA LOLOTE NDIO KWANZA WANAADHIRIKA TENA DAFUR, NA HUYO BUSH NAE USISEME ANA BALAA LAKE LA WANTANAMO BAY ANALIJUA MWENYEWE,(WAMAREKANI WANAGOMBANA WENYEWE KWA WENYEWE KUHUSU SUALA HILO)
ReplyDeleteSASA HAPO ATAKAINUKA NA KUJITOLEA KUMFUNGA PAKA KENGELE NANI?
WADAU TUSIWACHE KUIOMBEA AFRIKA, KUMBUKA WIMBO WETU WA TAIFA PIA UNASISITIZA
"MUNGU IBARIKI AFRIKA"
Picha kubwa: Viti vingine ni sawa na hicho cha Asha. Hakuna ubaguzi wa jinsia. Kiti cha Kikwete ni kwa ajili ya heshima ya Rais wa Afrika kwa kioindi hiki. Hicho cha Mubarak ni kwa ajili ya kuwa Rais wa mkutano huo!
ReplyDeleteHuyu binti mzuri kiakili na kimwili. Viva Migiro Viva
ReplyDeleteMbona katika picha hiyo Hosni Mubarak anaonekana kama anamnyooshea bastola Kikwete?
ReplyDelete