usiku wa kuamkia leo pale ukumbi wa tcc club chang'ombe twanga pepeta wamemtambulisha dogo mohamed, kifaa kipya cha safu ya kughani walichokiopoa mwanza. jamaa anaimba si mchezo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2008

    Yes Twanga, endelezeni kukuza vipaji vya wanamuziki wetu!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 30, 2008

    Hii!Ongereni Sana wazawa wa Twanga na kupepeta,kifaa hiko mkitunze,wala msiwape watu mwanya
    wa kuja kuanza kumtafuna masikio,kwa ahadi za zawadi mara gari,mara kimwana .
    Mama Asha Baraka tunakuamini kifaa hiko!!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 01, 2008

    Ebwana Michu, Mbona msela kajikakamua sana.....

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2008

    Yeap jamani ni kweli hicho kfaa ni jana tuu nimekisikia pale maisha club, si cha mchezo, hakuna cha Choki, muumin wala Banza. Huyu mtoto anaonekana kuwafunika vibaya kama Twanga watampa nafasi ya kuonekana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...