wakuu wa nchi za jumuiya ya ist afrika mashariki wakiwa katika mkutano wao wa faragha huko kigali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2008

    Naomba maana ya NENO FARAGHA!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2008

    Kama ni faragha uliwezaje piga picha?? Maana mtu akikwambia yupo faragha maana yake yupo sirini sasa mmh

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 28, 2008

    alienacho ataongezewa na asiekua nacho hata kile kidogo alichonacho atanyang'anywa.Nafikiri wadau mtakua mmenielewa kwa sana nina maana gani.Mdau london

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 28, 2008

    Wadau mmenikanganya zaidi. Ila nadhani tukitumia 'njia' ya Socrets tunaweza kupata jibu: Kuna tofauti gani kati ya FARAGHA na SIRI?

    Naunga mkono hoja "asilimia mia kwa mia" (stupid some MPs)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...