mapicha kibao ya enzi zao yawachengua mchungaji jesse jackson na balozi andrew young banda la maonesho ya daily news na habari leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2008

    Ni vizuri Tanzania iongeze wigo wa kutoa uraia kwa watu wa nchi nyingine zilizoendelea kama Marekani badala ya kujaza raia wa India na Uarabuni tu.Waarabu na wahindi hawajabadilisha maisha ya waafrika weusi Tanzania pamoja na kuweko miaka mingi nchini.

    Marekani ni nchi ambayo inajulikana kama "A country of Many nations" ambapo raia wake wenye akili na uwezo wanatoka karibu kila nchi duniani.Marekani ni benki ya dunia ya watu wenye akili wanaohamia kutoka kila taifa duniani kutafuta uraia kule.

    Tanzania iruhusu uraia wa nchi mbili haraka na tutafute haraka jinsi ya kuvutia waamerika weusi wenye uwezo wa akili na mitaji kuja kuwa raia wa Tanzania.Wazungu wengi wa marekani hudharau sana Afrika hivyo tuanzie waafrika wenzetu walioko marekani.

    Mchungaji Jesse Jackson kasema ana walimu kibao kwenye shirika lake.Tumwombe alete walimu wa masomo ya sayansi kuanzia sekondari hadi vyuo vikuu wakija tuangalie namna ya kuwabembeleza wachukue uraia na tuwashawishi wafungue mashule na vyuo vikuu binafsi kama wawekezaji wabakie nchini.

    Ni aibu kuwa Tanzania haina chuo kikuu hata kimoja kinachomilikiwa na watu binafsi au kampuni binafsi zaidi ya vile vya serikali na mashirika ya dini.Ni aibu.Tuwalete waanzishe vyuo vikuu binafsi ni wazoefu sana kwenye hilo.

    Koloboi@yahoo.com

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2008

    Kibatari pointi yako inakubalika!Afro Americans kuja huku kwetu kwenye mazingira duni ni Wagumu kwelikweli from my experience.Tubadilishe mifumo tulegeze masharti na tuwafungulie milango hawa ndugu zetu Afro-Americans waje kutusaidia katika fani mbalimbali zikiwemo za elimu,tiba,karakana,kilimo,ufundi nk.Hakuna lisilo wezekana.Let them come in plenty.Kuweko kwetu katika pwani hii ya bahari ya hindi kumetuumiza sana ndugu zangu watanzania.Ndiyo maana wenzetu walioko katika pwani ya bahari ya atlantic(awaay from the indian ocean)wao ni wajanja zaidi na attitude yao ni imara,hawayumbishwi kirahisi kwa vipipi vya machungwa!Tutafanyaje ndiyo matokeo ya historia hayo.Lazima tujifunze na tuzoee kuishi nayo.Lakini tukubali kubadilika.Sullivan could help us achieve that despite the odds!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2008

    Hawa ni Wazee wa Kazi na iwapo Obama atakuwa Mmarekani wa kwanza mweusi kuwa Rais ajaye wa Marekani basi itakuwa Kazi zaidi!Heshima Wakuu!Thanx for coming to Tanzania at this material time coinciding with the primary victory for Obama as the next Presidential Hopefull from the Democratic Party in the US!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2008

    Koloboi umenifurahisha kwa hoja yako.

    Nadhani tatizo liko kwa maprofesa wastaafu wa nchi hii sielewi wana matatizo gani kwenye vichwa vyao.

    Maprofesa Wengi wastaafu wangeweza kuungana kuanzisha vyuo vikuu lakini unakuta wanaanzisha miradi kama ya baa na vidaladala au kukaa tu wakiiishi kwa pensheni bila kufanya chochote.

    Ndio maana watu wanadharau Elimu sana nchi hii sababu hata profesa akistaafu anakuwa bwege tu kama mtu ambaye hakusoma shule kabisa.

    Tanzania nadhani wasomi wana matatizo makubwa kuliko wasiosoma.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 04, 2008

    wamarekani weusi kuja kuishi tz ni kitendawili, wanaogopa magonjwa ya africa kuliko hata wazungu. Wengi weusi wa US hawapendi adventures, hata kwenda state ingine wakiwa US ni shughuli, iwe africa. haaaaaaaaa.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 04, 2008

    Nakubaliana na wachangiaji ila wakija kuwekeza kwenye vyuo wawekeze kwenye fani za Sayansi,Technolojia na Tiba fani ambazo zina soko kubwa dunia nzima.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 04, 2008

    anon 3:38 MSAADA KWENYE TUTA PLEASE

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 05, 2008

    ni kweli weusi waoga, wanaishi state moja na kufia state hiyo hiyo, hawajawahi kupanda hata ndege wengi wao!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 05, 2008

    anonymous wa 5.46pm habari ndio hiyo, ukikuta wamarekani weusi wenye akili wanakuwa nazo kweli, na ukiwakuta wasio nazo ni zero, wanashangaa hata mambo ya kawaida tu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 05, 2008

    tubelight ya mafuta umewaza vema sana.tatizo lilopo ni nani atawapa hilo wazo hao kina Jesse na wengineo.maana hata wenzetu walokwenda mule ndani ya kibanda hafikirii kabisa hicho kitu.
    anonn wa 1:25.ni ukweli usiopingika kwamba maprof wetu choka mbaya kwenye kusoma alama za nyakati.hivyo wanajikuta wanaishi kwa kutegemea pensheni tu.kitu ambacho kingekua bora kwao ni kuanzisha some colleges/universities ili waendeleze taaluma zao kwa kuwa rithisha watanzania wenzao.
    kikubwa kilochopo vichwani mwao ni kukimbilia kwenye siasa na kwenda kuilaum sirikali kua elimu inashuka,haina mwelekeo na blah blah nyiiingi.
    bora waje hao ili tubadilike.

    **KISODA**

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 05, 2008

    Hapo Jesse na Andy wanacheki picha zao za zamani na kuambizana "duh mshikaji tumeshazeeka, Andy kibanda chako (afro) kilikuwa kimekucha kishenzi"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...