mla vichwa maarufu wa saluni ya bitebo kule maagomeni lango la , hassan, akiweka mambo sawa kwa mechi za leo. pamoja na kudizaini nywele bitebo huonesha mechi zote muhimu kupitia skrini kubwa ya kitambaa kupitia chalei zote za michezo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2008

    BOLLOCKS!

    kwanini anachanganya ruga mbili?

    anasema ugiriki vs sweden angesema greece vs sweden au ugiriki vs uswidi

    na hispania vs russia angesema spain vs russia au hispania vs urusi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2008

    We anon wa 5:55 unajua kukosoa... haya.. na wewe sio RUGA ni LUGHA

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 11, 2008

    we anon wa kwanza kazi ipo,lugha yako mwenyewe inakushinda.wabongo ujanja mwingi mdomoni.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 11, 2008

    hahaha nimecheka aiseee!! eti ruga.. we mrugaruga kweli!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...