CHAMA CHA MAPINDUZI
SHINA LA READING
MKUTANO WA TATU WA SHINA LA READING
CHAMA CHA MAPINDUZI- CCM READING
WANACHAMA WOTE –CCM READING
WAKEREKETWA WOTE-CCM READING
WAPENZI NA WANAMAPINDUZI WOTE WA READING
TAREHE; 05/07/08 SAA 6 MCHANA HADI SAA KUMI JIONI
MAHALI:
UKUMBI 79 LONDON ROAD {KIJIWENI}
READING RG 1 5BY
KADI ZIPO KWA WANACHAMA WAPYA KUMBUKA KUJA NA PICHA BEI YA KADI NI POUND TATU NA POUND KUMI NA MBILI ADA YA MWAKA MZIMA.
KWA MAELEZO ZAIDI TAFADHARI WASILIANA NA;
MAIRA MIGIRE- 07799212095
KATIBU WA SHINA LA READING
WOTE MNAKARIBISHWA – KUTAKUWA NA VINYWAJI, NYAMA CHOMA NA MUZIKI BAADA YA SHUGHULI ZOTE.
KIINGILIO BURE!!!!!!!!
MUHIMU: KATIBU WA T.A (TANZANIA ASSOCIATION UK) ATAKUWEPO KWENYE KIKAO.
Akhasante.
###########################################
TANGAZO KWA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA
KUTAKUWA NA SAFARI YA KWENDA KUTEMBELEA MJI WA PORTSMOUTH MUDA SAA TATU ASUBUHI HADI SAA MOJA JIONI TAREHE 09/08/2008
MCHANGO WA NAULI NI £10 KWA KILA MTU. TAFADHALI KABIDHI FEDHA YAKO KWA WATU WAFUATAO:-
JEFFER GADO- 07796923838
BONGO FLAVOUR- 07727636009
TULI NGONYA (MAMA MARIA) - 07919874182
OSANGO APOLO- 07810356096
MWISHO WA KUPOKEA FEDHA NI TAREHE 25/07/2008 SAA KUMI NA MBILI JIONI
LENGO NI KUWEZA KUJIFUNZA NA KUONA VIVUTIO MBALI MBALI VYA MJI WA PORTSMOUTH.
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA MAIRA MIGIRE SIMU NAMBA- 07799212095 AU WASILIANA NA PORTSMOUTH TOURIST INFORMATION CENTRE TEL: 02392826722.
AKHASANTE.
KUTAKUWA NA SAFARI YA KWENDA KUTEMBELEA MJI WA PORTSMOUTH MUDA SAA TATU ASUBUHI HADI SAA MOJA JIONI TAREHE 09/08/2008
MCHANGO WA NAULI NI £10 KWA KILA MTU. TAFADHALI KABIDHI FEDHA YAKO KWA WATU WAFUATAO:-
JEFFER GADO- 07796923838
BONGO FLAVOUR- 07727636009
TULI NGONYA (MAMA MARIA) - 07919874182
OSANGO APOLO- 07810356096
MWISHO WA KUPOKEA FEDHA NI TAREHE 25/07/2008 SAA KUMI NA MBILI JIONI
LENGO NI KUWEZA KUJIFUNZA NA KUONA VIVUTIO MBALI MBALI VYA MJI WA PORTSMOUTH.
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA MAIRA MIGIRE SIMU NAMBA- 07799212095 AU WASILIANA NA PORTSMOUTH TOURIST INFORMATION CENTRE TEL: 02392826722.
AKHASANTE.


KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
ReplyDeleteTUDOKEZEE DONDOO ZA KIKAO HATA TUCHEKE KIDOGO
ReplyDeleteWadau nisaidieni, hivi shughuli za kisiasa zinaruhusiwa ugenini? maana vyama vya upinzani visijekufanya hivyo ikawa matatizo!!
ReplyDeleteNAONA SASA WABONGO MMESAHAU SHIDA NA NJAAA ZA JAMAA ZENU HUKO BONGO. KWELI VIPOFU WANAONGOZANA WENYEWE SIKU HIZI. HESHIMA MNGEZIPATA KAMA HUO MCHANGO WA POUND KUMI KUMI MNGEUWASILISHA KTK KITENGO KIMOJA WAPO CHA KUSAIDIA WATOTO YATIMA KULE BONGO, ACHENI KUVAA VIATU VISIVYOWATOSHA MPO UGENINI, HATA BONGO KUNA BAHARI NA SEHEMU NZURI TU ZA KUTALII.
ReplyDeleteKusema kweli Michuzi naamini tukiamia kwenye new blog utaacha na habari hizi za politics.
ReplyDeleteI get so board ninapo ona hizi habari, i feel ashame sababu hakuna cha maana CCM wanachokifanya. I know huwezi kuiweka hii kwenye msg, lakini i want you to be aware of this. Utapoteza watu ambao hawana imani na siasa especial CCM.
I hope you will eveluate your strategy, and then look at the one that will give you a competitive advantage. Remember your not entitled to this, so use your mind set evaluate one need to done at the best inorder to beat down your rivals. One of the thing is CCMlization need to STOP.
Again huu ni ushauri wa bure.
Mdau wa US
watanzania wahuku ughaibuni mimi wananishangaza sana bro MICHUZI vile vitu vya kijinga na vya kipumbavu ndio wanaviona vinaumuhimu sana lakini hata siku moja sijasikia wakijadili mambo ya maendeleo ya kimaisha.ndio maana siku zote tuko chinina tutaendelea kua chini hadi mwisho wa dunia.ahsante mm MDAU
ReplyDeletewote hao wanaon'gan'gania chama cha mafisadi na kukipigia debe ni miwani ya mbao..toeni vibanzi vya mbao machoni mwenu..mafisadi wamepitwa na wakati,chama cha mizembe na mimbumbubu wadanganyika..mpaka ulaya mnahangaika na minguo yenye rangi ya kijani na mijano..ovyooooo..wapi mmeona nyumba imepakwa rangi ya kijani na manjano..uko uk?mabwegeeeeee...20010..inakuja..dont be surprised..tutaiga mfano wa kenya ...time is over now
ReplyDeletemsema kweli
WATU WENGINE BWANA SISI TUNAFAIDIKA NA CCM SASA MLITAKA TUKIUNGE MKONO CHAMA AMBACHO HATUFAIDIKI NACHO? KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
ReplyDeleteSafari za makundi nani anazitaka,nikitaka kwenda mahali sinajiendea tu..sasa nitoe pound kumi za nini?
ReplyDeletekweli usemavyo wewe unafaidika na ccm..kwa kuiba na kufisadi ndio lazima uchangamkie wizi na ujammbazi....kwani mtoto wa mwizi ni mwizi.kwa lugha nyingine unafurahikia hujuma za nchi,..poa..endeleza libeneke na utafaidika sana na ccm.majambazi nyie..
ReplyDeletesio mbaya kuwa katika c.c.m
ReplyDeletemimi nawachukia sana mafisadi lakini nampenda sana mwalimu nyerere mwanzirishi wa chama hicho
kidumu chama cha mapinduzi!!
zidumu fikra za mwenyekiti wa chama
na adumu RAIS JK ninamaana KIKWETE
kwani yeye ni jk kama nyerere yaani JK kambarage ninamatumaini atakuwa na busara kama mwalimu
mimi sifaidiki na c.c.m ila amani na upendo nimuhimu ktk nchi si wote
tutafaidi matunda ya nchi ila amani tu pia ni muhimu
JAMANI MNAJUWA HAWA WALIFIKAJE HUKO UGHAIBUNI? ASILIMIA KUBWA UNAWEZA KUKUTA NI WATOTO WA WALEWALE!!!!!!
ReplyDeletemdau wa USA ni vyema ungeandika kwa kiswahili maana lugha ya wenyewe huiwezi!sasa board una maana bored?
ReplyDeletekuhusu safari za vikundi ni nzuri tu pamoja na kufahamiana inakupa wasaa wa kujua na kujionea maana mbalimbali badala ya kubeba box kila siku.
vilevile wadau ni vyema tuelewe CCM imebadilika na hao jamaa wa ughaibuni nao tunawaomba watuletee mawazo mapya na utendaji au uendeshaji mzuri wa nchi na chama.sitaungana na wadau wengine kutaka kujua waliendaje huko au ni watoto wa wakubwa kwani hiyo si hoja na watu hatuwezi kulingana
nzehe
Jamani haya mambo naona sasa yamezidi mlishaona wapi chama kikafungulia nje ya nchi maana nauliza sijaona TAWI LA DEMO au REP VYA USA nje ya nchi AU CHAMA CHOCHOTE CHA NCHI YOYOTE DINIA KILICHO FUNGULIWA BONGO sasa nashangaa kuona haya mambo ya CCM sasa yame zidi kama mmnataka nendene mkawasaidie kufanya ufisada kule kule bongo kama manaipenda sana ccm mbona mnafungilia matawi nje tu.
ReplyDeleteWewe Mdau wa US kwa kweli umenimaliza na lugha yako hata sijui hiyo ni lugha ghani sana sana kizaramo.
ReplyDeleteI get so "board" ninapo ona hizi habari.
Utapoteza watu ambao hawana imani na siasa "especial" CCM.
Remember "your not" entitled to this.
Rudi tu nyumbani CCM ikupe elimu ya bure na michuzi hapa afanyii mashindano kama unataka kuondoka wewe anza tu. Msaada kwenye tuta ni bure wewe leta tu.
Safi sana Wanaccm. Tujitume halafu mtuletee huo ujuzi mlio nao huko na nchi itaongozwa vema. Wenye wifi wachinyonge sasa. CCM Oheeeeeeeeeeeeeee. Wapnzani chiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMimi mwanamapinduzi halisi.
Aisee watu wengine bwana! Michuzi una haki kufichanri kwenye nyanja zote za kijamii mradi usivunje sheria. Wenye kupenda politics na waseme wasiopenda basi waache kusome taarifu hiyo. Pili kumbukeni kuwa CCM kama chama haki shida. Wewe unayesema ccm mbaya ndio mbaya kwani hata wewe ukipewa uongozi nafikiri utakuwa mfisadi wa kulipwa. Acheni bwana. Michuzi dumisha uhusiano wa kijamii popote duniani na ktk nyanja zote
ReplyDeletewatu tupo ccm kwa kuvutiwa na sera zake na katika sera hizo hakuna kipengere kinachohamasisha ufisadi,sasa kama kuna wafisadi ni baadhi ya watu na sio sera ya chama hicho,kijijini kwangu asilimia tisini na tano ni wanaccm na hakuna fisadi hata mmoja wanasaidiana kwa hali na mali.jamani siku nyingine watanzania tuamke tuwe positive.
ReplyDeleteCool Maaan!The only thang these Numskullz have ever been taught and known in their entire life is worshipping CCM the godfather!Hakuna anaye ona aibu kwa nini Tanzania haitajwi kabisa katika soko la hisa za kimataifa na hakuna anaye hangaika kuitaja thamani ya shilingi yetu katika soko la kimataifa HATA INAPOKUJA katika kuzidurusu nchi za Afrika peke yake!Sarafu za nchi zote zinazo tuzunguka zimesha ipiku thamani ya shilingi yetu,ukianzia Burundi,Rwanda,Zambia,Malawi,Msumbiji,Kenya na hata Uganda!Thibitisha hilo katika mitandao,katika habari za biashara kupitia TV Channels za Kimataifa,na katika Forums mbalimbali za Kimataifa.Tanzania tutalazimika tuanze upya kwa Vijana wetu!shamefull indeed!
ReplyDeleteanonymous july 02,2008 11:24 inaonesha baba yako ccm watu wankufu na njaa una sera sera gani hizo wa2 wanalinda mpaka wazungu wanawatoa nishai huko UK kwa ficha pesa nyingi na mapka leo wanalinda hawataki kuwakamata wa2 tuambie hiyo ya mwizi kuridisha pesa ndio waangalie kumfungulia mashata na mwizi wa kuku au bata anahukumiwa bla hata kuambiwa arudishe hivyo vitu kwanza hizo ni siasa za uongo hizo.
ReplyDelete