Habari yako Bro' Michuzi,
Naomba Unimwage Kwa Blog kuna rafiki zangu nawatafuta nili-school nao Tambaza Secondary School 1992-1995, Juma S. Mfumia, Honory Severin, Ramadhani Kassimu, Remmy Kibanga, Salehe Mahmoud (Kipengule) na wengineo wengi wanaonikumbuka...Naitwa Tikilo Bartholomew Mwelupungwi, E-mail yangu ni: tikilobarthy@yahoo.com
Shukrani Kaka!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2008

    Honory Severin yuko Makongo Juu. Mshikaji safi sana yule!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 30, 2008

    Hi Saleh mahmoud nenda kaulizie pale nyumbani kwao magomeni mwembechai nadhani unapajua pale kwenye mabasi yao sijui kama siku hizi yapo .Hata mimi nimemmiss dada yake kipengule nackia aliolewa sinza .

    mamuu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 30, 2008

    Remmy Kibanga anafanya kazi D-Link pale harbour View ulipokuwa mgahawa wa Nandozi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 30, 2008

    Tikilo, nitakutumia namba ya Honory kwa email.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 30, 2008

    Tikilo, nitakutumia namba ya Honory kwa email.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 30, 2008

    kutokana na maoni yalioyo tolewa hapo juu inaonyesha karibu watu wote unaowatafuta wako hapo dar, sasa sijui wewe uko wapi kwani inaonyesha kama uko dar vile vile, sasa kama wote mko dar halafu hamuwasiliani inawezekana wenzio wanakukwepa wewe, kwani umesha pata kazi? usikute wemzio wana kwempa kugongewa fegi

    Mbega

    ReplyDelete
  7. Mdau Tikilo hao jamaa siwafaham ila tu nakupa big up,umejieleza vizuri umeweka watu unaowatafuta na umeweka jina lako pia na contact.hii itasaidia kuwapata jamaa zako. kuna wadau huwa wanaweka tu majina ya watu wanaowatafuta na email zao tu lakini hawaelezi wao ni kina nani. Ulimwengu wa sasa mtu hawawezi kukueleza tu pamkumpata mtu bila kujua anayemtafuta.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 01, 2008

    Samahani, kwa mnaomjua Honory Severin, naomba kuuliza, kutokana na jina la mwiso la huyo ndugu, Je ana dada yake mwenye jina linaloanza na herufi F(sina hakika kama atapenda niandike jina lake kamili au la, nadhani mnanielewa)ni rafiki yangu tulisoma Zanaki miaka ya 90,Pia kuna mtu ametaja Makongo, na huyo rafiki yangu walikuwa wanaishi Makongo Juu,kabila ni Wachaga, tumepoteana tangu tumalize shule,kama kuna mtu anaweza anamfahamu,naomba taarifa zake ampatie Michuzi kwenye email yake na mimi ntazipata toka huko, Asanteni wote wenye moyo wa kusaidia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...