mh. michuzi,
kuna hiki kilaji ambacho chupa ama kopo lake kimeandikwa castle lager. ila huwa nasikia watu wakipishana katika kukitamka wakati wa kutoa oda nanihii. naomba kujua matamshi sahihi ni yepi kati ya hayo matatu ninayosikiaga..
1. kesto
2. kestlo
3.kastlo
Ndimi mtiifu
mdau wa vilaji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 50 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2008

    Kwa kweli maswali mengine yanakatisha tamaa. Najua watu wanaweza kusema kama halikuhusu acha, lakini hii imezidi. We ita unavyoona sawa, Cha!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2008

    kilaji cha castle lager au milk stout hutamkwa keso laga wala sio kesto au kestlo
    nzehe

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2008

    Hicho kilaji jina lake ni la kiingereza "Castle" kwhy kwa kimatumbi chake naona itakuwa kaso au keso,sijui wadau wengine mnasemaje??

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2008

    majina yote uloyataja hapo juu si sahihi. Sahihi ni ~ KASO

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 04, 2008

    Mr michuzi, kabla ujapost baadhi ya vitu kwenye hii blog ungekuwa unaangalia faida kwa jamii, ili hii blog yako iendelee kuwa ya maana, Huyu jamaa ni mlevi kama anavyojiita mdau wa kilaji, sasa kujua usahihi wa vilevi awasiliane na watengenezaji. humu atufagilii ulevi, na michuzi kuwa makini na hilo

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 04, 2008

    Mimi si mlevi lakini nijuavyo mimi hayo maneno mawili yanatamkwa kassol laga where t is silent in the word castle na hiyo (l)ya neno kassol unaitaja kama vile hutaki isikike.
    Ila punguza ulevi loo! siunamuona Gaza shauri yako.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 04, 2008

    Yote siyo sawa inatamkwa
    Keso for English
    Kaso For Scotish

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 04, 2008

    Mhhh hapo kuna mashaka fulani swali lako zuri sana tena chemsha bongo lakini sasa mimi kama mimi ninavyofahamu ni kwamba katika hayo majina yako yote uliyoyaweka ambayo unasema lipi sahihi naona hakuna hata jina moja ambalo ni sahihi yote hayajatula au yote sio sawa kabisa,....

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 04, 2008

    astaghafirulahi !!haram ipo humu??

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 04, 2008

    mdau hiyo inatamkwa kama kasto laga(casle lager) kwa kikerewe.............Na si vinginevo kama ulivyo andika/uliza hapo juu

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 04, 2008

    unatakiwa useme kaso hayo yote yako wrong. ukiwasikia waingereza wenyewe wanavyosema newcastle united au sand castle ni tofauti kabisa na wabongo wengi wanavyotamka my hubby included

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 04, 2008

    hutamkwa "ka-sol" unavuta hiyo "a" kidogo

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 04, 2008

    ni vigumu kutoa matamshi yake kwani kitakochoonekana ni maandishi ambayo yanamananisha kitu kingine. Ushauri wangu acha hivyo hivyo japokuwa wenyewe wanatamka kama keso

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 04, 2008

    Hakuna hata moja uliloyataja inatamkwa kaso t unaimeza

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 04, 2008

    Kwa elimu yangu ya Ngumbaru, hapo hakuna hata moja sahihi, CASTLE wenyewe wanapotamka wanasema hilo neno lina "silent T" sasa sijui nitakuandikiaje matamshi unielewe..." kesel" matamshi yake yanafanana na hivyo ila bado sijardhika kwani naamini watu wengine watalisoma lisivyo, kwa bahati mbaya mimi si mjuzi wa computer ila ningeweza kuwaandikia phoenetic letters ndio mngeweza nielewa. Naomba kutoa hoja.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 04, 2008

    wewe tatizo lako nini. kuna anayeletewa safari au whisky. watu wamesoma uganda, Zimbabwe, ulaya. lazima watamke tofauti. hata "are" inatamkwa.... a, e , ar, kutoka na waliko toka

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 04, 2008

    HAKUNA HATA MOJA LILILO SAHIHI, LABDA CHAGUA KATI YA KASO NA KESO.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 04, 2008

    None of those...utamkaji wake ni Kasol... kuna silent T...

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 04, 2008

    Natamani Watanzania mngefunguka macho na kufahamu nini kinawafanya wenzetu waendelee. Ni kikubwa kimoja. Kuwa serious na KUJALI MUDA. Mwone Chris Tucker hapo, YUPO SERIOUS na tarehe ya kuondoka ikifika ANAONDOKA. MUDA NA UMAKINI. Ni kweli BLOG (Brainlessly Lacking Order and Guide) ni sehemu ya kuwakilisha mawazo yako ila si hata kitu ambacho kinapoteza tu muda kinawekwa. Sasa hiki ni kitu cha kukutoa ulipo kukupelewa ktk address ndeefuuu http://wwww.issamichuzi.blogspot.com kisha uanze kukaa na kutype na kutuma. Wengine Kaka Michu mnatupotezea muda tu, jalini muda jamani haswa huko Bongo kwetu. Nadiriki kusema hii si ishu ya kupresent kwetu, kumbuka tupo maelfu fikirini mnachoweka!
    Kuna mada kibao na nyingine nimetuma mimi sizioni hapa, zangu zote ni za fedha fedha ila kwa vile hamtaki kaeni hivyo hivyoo. Kwa vile unasifika kwa kubana unaonaje na hii ukiibana! ili upate mwanya wa kuleta hizo kestokastokestlo kitu ambacho hata mwanafunzi anaweza kukutamkia utakayemkuta ndani ya daladala ametoka english course!
    Inaboa sana mtuangu. Wasalimie Bongo.
    --Mchochole aka kapuku aka sinazo aka Hamnazo aka The Have Nots

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 04, 2008

    Katika English; herufi 'T' ikiwa katikati ya neno, inaweza kuwa ignores. So itakuwa inatamkwa; KASO. Mdau US

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 04, 2008

    inategemea uko wapi,kama uko bongo maneno yote hayo ukitaja "mhujumu" anakuelewa sorry mhudumu! but kwa ufasaha wa matamshi kwa kiswahili ni kesto

    mangi

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 04, 2008

    Sorry, Out of point kidogo: OBAMA......Yes we can.Its official.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 04, 2008

    Wewe uujiitaye THE HAVENOTS na kweli hauna yaani wewe kichwa chako ndiyo hakina akili kabisa bora ukaitwa hauna akili Michuzi akuanzisha blog hii kwa nyinyi mnaokaa ughaibuni pekee kwahiyo acha kujikweza ongea kitu kinachoeleweka huyu mtu kuuliza akukosea unaweza kukuta hata wewe ulikuwa hujui inatamkwa vipi kukaa ulaya sio ishu bro ndiyo nyinyi ambao mnahindwa kusave vijipens vyenu ili mrudi nyumbani kusalimia mnahindwa na kubaki kusema iam bise kazi nyingi rudini nyumbani

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 04, 2008

    jamani tusimlaumu michuzi kwa kuposti habari hii mimi naona blog hii pia inaelimisha jamii juu ya mambo mbali mbali likiwemo hili la lugha na matamsha au maana. Nilitembelea Swaziland kuna hotel inaitwa The Castle hotel. Tatizo lilikuja pale unapomuelekeza dereva taxi hakupeleke Hotel hiyo mimi nasema nipeleke ze kesto hotel dereva hajui ilipo mpaka tulipotumia lugha ya ishara kumuelekeza ilipo akasema ahaaaaaaaa ze kasel toka hapo shida ikaisha kwa hiyo mi naona the kesto no, the kestlo no, bali ze kasel laga poa. Asante michuzi kwa kutupa changamoto usichoke

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 04, 2008

    WEWE 7:44 AM JARIBU KUFIKIRI USIONE WENGINE NI WAJINGA, INAWEZEKANA LENGO LA MUULIZAJI HALIKUWA NENO HILO ILA JINGINE AMBALO YEYE HAKUTAKA KULITUMIA LAKINI AKAONA ATOE HILI ILI AJUE ANALOKUSUDIA LINATAMKWAJE. HATA HIVYO KAMA WEWE NI MSIKILIZAJI WA REDIO NA TV UTAKUBALIANA NAMI KUWA MANENO NA MAJINA MENGI SANA TUNAYAKOSEA IKIWA PAMOJA NA HILI LA LEON SULLIVAN, HUGHO, CAMPBELL, PILSNER, SELOUS NA MENGINE MENGI KISA HUWA HATUPENDI KUULIZA ILI TUJUE MATAMSHI SAHIHI. kwaheri

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 04, 2008

    Ni vigumu kuandika kwa ufahasa jinsi ya kuitamka. Kuiandika unahitaji herufi fulani (phonetic transcripts) ambazo hazipatikani kwenye kompyuta ya kawaida. Lakini hautokuwa mbali sana na ukweli ukiitamka KESO, kama unapenda Kiingereza cha Kimarekani au KASO kama unapenda cha Malkia (UK). Lakini si vibaya ukisema KESTO kwa kimatumbi chako, utaeleweka tu. Lakini km unaongea ng'eng'e halafu ukasema KESTO utachanganya watu.

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 04, 2008

    matamshi sahihi ni KASO kwahiyo hata wewe mwenyewe umetaka kuelimishwa maana yote matatu uliyoyataja siyo sahihi. Pole sana kaka.

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 04, 2008

    nauhakika jamaa kwa kusema nanihii amemaanisha breakpoint, maana mabishoo wa kihaya hapa wote wana matumizi ya hali yajuu nawasifia kwahilo lakini ENGLISH imewapitia mkono wa kushoto to say the least, mfano BENI MLOKOZI, na group yake hapa nawaona kila siku, wako smart na wanatumia kwa kwenda mbele. ila nadhani shule walikuwa wanaikimbia hawa. Lakini ndio hivyo tena wote tutakubaliana kwamba ELIMU SIO KUFANIKIWA MAISHANI.

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 04, 2008

    Msaada wangu kwako.

    TUMIA MUDA WAKO KUSIKILIZA MATANGAZO YAKE BIDHAA HIYO KWENYE TELEVISION YAKO - WANATAMKA VIZURI SANA SANA HOFU NI ULIMI WAKO UNA UWEZO WA KUTOA MATAMSHI HAYO VILIVYO???

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 04, 2008

    ushauri wangu tamka utakavyo kwani la msingi akuhudumiaye hicho kinywaji hapa Tanzania anakuelewa usijali.
    Ukienda nchi nyingine jaribu kwanza kutamka uwezavyo then akuhudumiae akilitamka vingine iga matamshi yake. sawa eeeh

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 04, 2008

    Hapa ndugu zangu mmeingizwa Mkenge!Aliyeleta Utumbo huu bila shaka ni Brand Promoter wa hiyo Bia sitaki hata kuitaja.Maana anatangaza Bia yake hapa kijanja na nina uhakika hata Mze wa Konoooooz hajaing'amua hiyo!Janja ya Nyani kula Hindi Bichi kwisa tambua!Lipieni matangazo jamani.Bia yenyewe Bei mbaya,mtama mtupu na ulezi!Phew!

    ReplyDelete
  32. sikia kaka wa vilaji,kama wengi walivyosema kuna silent "T" na bla bla,kinacho-matter ni english ya wapi unayotaka itamkwe,kwani neno Castel kwa english ya Amerika kesel, na english U-Kingdom ni kasel, kwa english ya T-bara ni
    kaso kama neno girl (gal) kwa T-bara ni gel,ukienda Ghana utakuta inatamkwa vyengine,kwa hiyo usijizonge,wewe cha muhimu zinyonye tu.
    Ras

    ReplyDelete
  33. AnonymousJune 04, 2008

    Cha muhimu katika kutoa Order ni kueleweka sasa kama utaagiza kinywaji hicho ukakiita chai, kangala, ulanzi, ulabu, ,mbege, kimpumu, pingu, mnazi, wanzuki ....ili mradi ukiletewa ulichotaka poa tu.....Call it what you like. Fanya kama paka vile, umwite nyau au pusi yote poa.

    ReplyDelete
  34. AnonymousJune 04, 2008

    NYIE WOTE AMJUI PIA NA WAS WAS NA ELIMU ZENU HIYO INATAMKWA KASHOLI KWA AMERICAN,NA KACHOLI LAGER KWA ENGLISH YA INDIAN NA KASOLI IN ENGLAND

    ReplyDelete
  35. AnonymousJune 04, 2008

    Wewe anonymous June 04, 2008 1:06 AM usituchanganye wala nini. Walevi pia ni wadau wa hii blog, na tunahaki ya kusikilizwa kama wengine wasiokunywa. Wewe kitu hakikuhusu achana nacho. Kwa nini tunyanyasike wakati tunakunywa kwa pesa yetu na raha zetu? Pregnant Cochroach!

    ReplyDelete
  36. AnonymousJune 04, 2008

    MICHUZI MPE SHOUTS OBAMA WEWE ACHA ZAKO.UNATUPA MAMBO YA KUTAMKA CASTLE HAPA KAMA TUKIAMUA KUFUATILIA MANENO AMBAYO TUNATAMKA TUNAVYOJISIKIA SISI ATUTAMALIZA LEO.YEYE MWENYEWE MDAU ALIULIZA HIVYO ALIKUWA MMOJA WAO WANAOKOSEA AU KWA VILE KAENDA MTONI SASA?matamshi yote sawa tu inadepend na location yako.

    ReplyDelete
  37. AnonymousJune 04, 2008

    None of the three. Huna mwalimu wako wa Kingereza ukamuuliza?

    ReplyDelete
  38. AnonymousJune 04, 2008

    Wote juu mmekosea. matamshi yake ni haya:

    Name: Castle

    Phonetic Pronunciation: KASS-ull

    Audio Pronunciation: (link)http://inogolo.com/audio/Castle_3100.mp3
    Copy link hiyo weka kwenye browser yako na utasikia matamshi yake

    ReplyDelete
  39. AnonymousJune 04, 2008

    Huu ni upambavu kabisa, mtu mzima unaleta topic ya kijinga hivi, inasaidia nini sasa hiyo, halafu na watu wameunga mkono ujinga wa huyu jamaa, macomments mengiii! kama huyu jamaa angekuwa ameenda shule, hili neno lisingekuwa issue kutamka, lakini sasa inaonyesha shule ndogo, na inawezekana kabisa kuna maneno mengi tu ya kiingereza hajui kuyatamka, ila kwa vile ubongo wake umejaa kilevi ndo maana ameona la maana kuuliza ni castle lager.

    Big Sam

    ReplyDelete
  40. AnonymousJune 04, 2008

    kassul????? wewe anon jun 4 4:27 ni KASO

    miss keys

    ReplyDelete
  41. AnonymousJune 04, 2008

    We mshkaji unayejiita Mhavenots ndo mbwiga wa kutupwa! Unalaumu swali la jamaa linapoteza muda lakini unasahau a.k.a ulizoweka wewe mara Hamnazo mara Mchochole mara fala gani sijui sasa kama unamind muda huo utitiri wa majina hapo wa nini? Huna mpango kapige box manake hueleweki...

    ReplyDelete
  42. AnonymousJune 04, 2008

    Oyaaa...
    hii blog haipo kwa ajili ya kuongelea politic na matatizo tu, saa nyingine tunahitaji kudiscuss vitu vya kawaida vinavyotokea uswaz, sielewi kwa nini umponde msela kwa kuuliza castle inavyotamkwa ni wazi kuwa wabongo wengi pronounciation inatupiga chenga.

    USHAURI WA BURE:
    kama unaona habari nyingine zinakukera usitoe maoni, toa kwenye hizo zinazokuhusu.Huwezi kuwafanya watu watu wafikirie au wapende kitu cha aina moja kila mtu ana hobby yake na hata hao wazungu mnaowashobokea wana tastes tofauti katika maisha.
    Geoff.

    ReplyDelete
  43. AnonymousJune 04, 2008

    wote maojadili pombe ni wana wa shetani

    ReplyDelete
  44. AnonymousJune 05, 2008

    None......Ukijua kingereza ndiyo utaweza kutamka.
    Mdau T-Dot

    ReplyDelete
  45. AnonymousJune 05, 2008

    We mzee wa kass-ull mmmmmh! mwenzetu umezidi ila kama umekusudia kuchekesha nipo na wewe lakini kwa jinsi ulivyo iandika inaonyesha uko serious oooh!
    Pamoja baadhi ya wadau wanasema tamka utakavyo, nafikiri sivyo, lugha ya kiinglish si yetu ni muhimu kujua vipi tuna tamka maneno ya watu? shida inakuja ukisha safiri kwenye nchi za watu, unajikuta miaka yote ulikua unasoma kiingereza kumbe sivyo, wengine wanaona ni upuuzi, ukweli ni kwamba kuna baaadhi wame elimika na hilo la kutamka, ukiwa hujui kukitamka kitu noma mbele za watu kufungua hata mdomo kwa kujishuku.

    ReplyDelete
  46. AnonymousJune 05, 2008

    wewe June 04, 2008 6:47 PM, Geoff na wengine! Kweli hampendi vya bure pia, si muende blogger mkafungue blog yenu, iiiiizeeee! mi nachangia mada sichangii maoni km nyie mliokuja kuchangia maoni ya maoni, ina maana ukiwa wa kwanza utatoa maoni gani!

    Boxi sibebi mimi sina muda na boxi, mi mtu wa stolowei (stowaway) sina time na kazi za kimasikini

    --Mchochole, Masikini, Kapuku, Hamnazo The Have Nots

    ReplyDelete
  47. AnonymousJune 05, 2008

    castle ina tamkwa-UCHENI ULEVI.

    ReplyDelete
  48. AnonymousJune 05, 2008

    Wenzako wanazungumzia Yohana Mtembezi,wewe unazungumzia Mtama huo!Pole kaka.Unataka spellings au Sauti?Mbona sikuelewi kaka,unalitarajia swali hilo mtihani wa FormFour nini?Wabongo kwa kujifanya wanazo bwana!Togwa la Ulezi kwa kimombo linaitwaje?Tit for Tat!

    ReplyDelete
  49. AnonymousJune 05, 2008

    jamani mie huwa nikilewa ndo kizungu kinapanda,ila kwakuwa nipo sobber naita kesso ila nikiwaka na kizungu kikapanda naitaga kasso

    ReplyDelete
  50. AnonymousJune 05, 2008

    Hiyo inatamkwa 'kaso' huitamki 't'. Na kwa kuongezea tu hiyo ambayo bongo inatamkwa henken wenyewe wadachi wanaiita 'hainiken', or just 'haini'.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...