ukumbi wa aicc unavyoonekana kwenye mkutano wa sullivan

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2008

    ukumbi mzuri sana kwakweli.
    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2008

    WAMEJITAHIDI IMEKAA FRESH AS A P..

    MISS KEYS

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2008

    wamejitahidi kwakweli,ukumbi luks fresh as a p..

    miss keys

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2008

    kweli ukumbi ni mzuri sana na unavutia ila mazao yake sasa baada mkutano yanafanana na ukumbi? nini faida zake kwa wawezeshaji wanaokaa humo? au ni wakati wa posho na kusinzia tu? hicho ndio cha msingi kwa wadau kuangalia,faida zinazofanyika humo ndani ziendane na huo uziri wa ukumbi

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 05, 2008

    Yes,sasa kweli Ukumbi una hadhi ya Kimataifa,hongera sana Wakuu!Polepole tutafika tu.Tupiganie sasa World Trade Centre waje wafanyie Mkutano wa Mwaka Hapo AICC SIMBA HALL,mambo yatajipa au siyo?na kabla Kikwete hajaachia ngazi ya Uenyekiti wa Afrika afanye chini juu Mkutano wa Wakuu wa Nchi zote za Afrika unafanyikia hapo Arusha.Kwa hiyo Wazee wa Arusha chomeni ubani kwa wingi na kaeni mkao wa kula!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...