mh. michuzi,
kuna hiki kilaji ambacho chupa ama kopo lake kimeandikwa castle lager. ila huwa nasikia watu wakipishana katika kukitamka wakati wa kutoa oda nanihii. naomba kujua matamshi sahihi ni yepi kati ya hayo matatu ninayosikiaga..
1. kesto
2. kestlo
3.kastlo
Ndimi mtiifu
mdau wa vilaji
Kwa kweli maswali mengine yanakatisha tamaa. Najua watu wanaweza kusema kama halikuhusu acha, lakini hii imezidi. We ita unavyoona sawa, Cha!
ReplyDeletekilaji cha castle lager au milk stout hutamkwa keso laga wala sio kesto au kestlo
ReplyDeletenzehe
Hicho kilaji jina lake ni la kiingereza "Castle" kwhy kwa kimatumbi chake naona itakuwa kaso au keso,sijui wadau wengine mnasemaje??
ReplyDeletemajina yote uloyataja hapo juu si sahihi. Sahihi ni ~ KASO
ReplyDeleteMr michuzi, kabla ujapost baadhi ya vitu kwenye hii blog ungekuwa unaangalia faida kwa jamii, ili hii blog yako iendelee kuwa ya maana, Huyu jamaa ni mlevi kama anavyojiita mdau wa kilaji, sasa kujua usahihi wa vilevi awasiliane na watengenezaji. humu atufagilii ulevi, na michuzi kuwa makini na hilo
ReplyDeleteMimi si mlevi lakini nijuavyo mimi hayo maneno mawili yanatamkwa kassol laga where t is silent in the word castle na hiyo (l)ya neno kassol unaitaja kama vile hutaki isikike.
ReplyDeleteIla punguza ulevi loo! siunamuona Gaza shauri yako.
Yote siyo sawa inatamkwa
ReplyDeleteKeso for English
Kaso For Scotish
Mhhh hapo kuna mashaka fulani swali lako zuri sana tena chemsha bongo lakini sasa mimi kama mimi ninavyofahamu ni kwamba katika hayo majina yako yote uliyoyaweka ambayo unasema lipi sahihi naona hakuna hata jina moja ambalo ni sahihi yote hayajatula au yote sio sawa kabisa,....
ReplyDeleteastaghafirulahi !!haram ipo humu??
ReplyDeletemdau hiyo inatamkwa kama kasto laga(casle lager) kwa kikerewe.............Na si vinginevo kama ulivyo andika/uliza hapo juu
ReplyDeleteunatakiwa useme kaso hayo yote yako wrong. ukiwasikia waingereza wenyewe wanavyosema newcastle united au sand castle ni tofauti kabisa na wabongo wengi wanavyotamka my hubby included
ReplyDeletehutamkwa "ka-sol" unavuta hiyo "a" kidogo
ReplyDeleteni vigumu kutoa matamshi yake kwani kitakochoonekana ni maandishi ambayo yanamananisha kitu kingine. Ushauri wangu acha hivyo hivyo japokuwa wenyewe wanatamka kama keso
ReplyDeleteHakuna hata moja uliloyataja inatamkwa kaso t unaimeza
ReplyDeleteKwa elimu yangu ya Ngumbaru, hapo hakuna hata moja sahihi, CASTLE wenyewe wanapotamka wanasema hilo neno lina "silent T" sasa sijui nitakuandikiaje matamshi unielewe..." kesel" matamshi yake yanafanana na hivyo ila bado sijardhika kwani naamini watu wengine watalisoma lisivyo, kwa bahati mbaya mimi si mjuzi wa computer ila ningeweza kuwaandikia phoenetic letters ndio mngeweza nielewa. Naomba kutoa hoja.
ReplyDeletewewe tatizo lako nini. kuna anayeletewa safari au whisky. watu wamesoma uganda, Zimbabwe, ulaya. lazima watamke tofauti. hata "are" inatamkwa.... a, e , ar, kutoka na waliko toka
ReplyDeleteHAKUNA HATA MOJA LILILO SAHIHI, LABDA CHAGUA KATI YA KASO NA KESO.
ReplyDeleteNone of those...utamkaji wake ni Kasol... kuna silent T...
ReplyDeleteNatamani Watanzania mngefunguka macho na kufahamu nini kinawafanya wenzetu waendelee. Ni kikubwa kimoja. Kuwa serious na KUJALI MUDA. Mwone Chris Tucker hapo, YUPO SERIOUS na tarehe ya kuondoka ikifika ANAONDOKA. MUDA NA UMAKINI. Ni kweli BLOG (Brainlessly Lacking Order and Guide) ni sehemu ya kuwakilisha mawazo yako ila si hata kitu ambacho kinapoteza tu muda kinawekwa. Sasa hiki ni kitu cha kukutoa ulipo kukupelewa ktk address ndeefuuu http://wwww.issamichuzi.blogspot.com kisha uanze kukaa na kutype na kutuma. Wengine Kaka Michu mnatupotezea muda tu, jalini muda jamani haswa huko Bongo kwetu. Nadiriki kusema hii si ishu ya kupresent kwetu, kumbuka tupo maelfu fikirini mnachoweka!
ReplyDeleteKuna mada kibao na nyingine nimetuma mimi sizioni hapa, zangu zote ni za fedha fedha ila kwa vile hamtaki kaeni hivyo hivyoo. Kwa vile unasifika kwa kubana unaonaje na hii ukiibana! ili upate mwanya wa kuleta hizo kestokastokestlo kitu ambacho hata mwanafunzi anaweza kukutamkia utakayemkuta ndani ya daladala ametoka english course!
Inaboa sana mtuangu. Wasalimie Bongo.
--Mchochole aka kapuku aka sinazo aka Hamnazo aka The Have Nots
Katika English; herufi 'T' ikiwa katikati ya neno, inaweza kuwa ignores. So itakuwa inatamkwa; KASO. Mdau US
ReplyDeleteinategemea uko wapi,kama uko bongo maneno yote hayo ukitaja "mhujumu" anakuelewa sorry mhudumu! but kwa ufasaha wa matamshi kwa kiswahili ni kesto
ReplyDeletemangi
Sorry, Out of point kidogo: OBAMA......Yes we can.Its official.
ReplyDeleteWewe uujiitaye THE HAVENOTS na kweli hauna yaani wewe kichwa chako ndiyo hakina akili kabisa bora ukaitwa hauna akili Michuzi akuanzisha blog hii kwa nyinyi mnaokaa ughaibuni pekee kwahiyo acha kujikweza ongea kitu kinachoeleweka huyu mtu kuuliza akukosea unaweza kukuta hata wewe ulikuwa hujui inatamkwa vipi kukaa ulaya sio ishu bro ndiyo nyinyi ambao mnahindwa kusave vijipens vyenu ili mrudi nyumbani kusalimia mnahindwa na kubaki kusema iam bise kazi nyingi rudini nyumbani
ReplyDeletejamani tusimlaumu michuzi kwa kuposti habari hii mimi naona blog hii pia inaelimisha jamii juu ya mambo mbali mbali likiwemo hili la lugha na matamsha au maana. Nilitembelea Swaziland kuna hotel inaitwa The Castle hotel. Tatizo lilikuja pale unapomuelekeza dereva taxi hakupeleke Hotel hiyo mimi nasema nipeleke ze kesto hotel dereva hajui ilipo mpaka tulipotumia lugha ya ishara kumuelekeza ilipo akasema ahaaaaaaaa ze kasel toka hapo shida ikaisha kwa hiyo mi naona the kesto no, the kestlo no, bali ze kasel laga poa. Asante michuzi kwa kutupa changamoto usichoke
ReplyDeleteWEWE 7:44 AM JARIBU KUFIKIRI USIONE WENGINE NI WAJINGA, INAWEZEKANA LENGO LA MUULIZAJI HALIKUWA NENO HILO ILA JINGINE AMBALO YEYE HAKUTAKA KULITUMIA LAKINI AKAONA ATOE HILI ILI AJUE ANALOKUSUDIA LINATAMKWAJE. HATA HIVYO KAMA WEWE NI MSIKILIZAJI WA REDIO NA TV UTAKUBALIANA NAMI KUWA MANENO NA MAJINA MENGI SANA TUNAYAKOSEA IKIWA PAMOJA NA HILI LA LEON SULLIVAN, HUGHO, CAMPBELL, PILSNER, SELOUS NA MENGINE MENGI KISA HUWA HATUPENDI KUULIZA ILI TUJUE MATAMSHI SAHIHI. kwaheri
ReplyDeleteNi vigumu kuandika kwa ufahasa jinsi ya kuitamka. Kuiandika unahitaji herufi fulani (phonetic transcripts) ambazo hazipatikani kwenye kompyuta ya kawaida. Lakini hautokuwa mbali sana na ukweli ukiitamka KESO, kama unapenda Kiingereza cha Kimarekani au KASO kama unapenda cha Malkia (UK). Lakini si vibaya ukisema KESTO kwa kimatumbi chako, utaeleweka tu. Lakini km unaongea ng'eng'e halafu ukasema KESTO utachanganya watu.
ReplyDeletematamshi sahihi ni KASO kwahiyo hata wewe mwenyewe umetaka kuelimishwa maana yote matatu uliyoyataja siyo sahihi. Pole sana kaka.
ReplyDeletenauhakika jamaa kwa kusema nanihii amemaanisha breakpoint, maana mabishoo wa kihaya hapa wote wana matumizi ya hali yajuu nawasifia kwahilo lakini ENGLISH imewapitia mkono wa kushoto to say the least, mfano BENI MLOKOZI, na group yake hapa nawaona kila siku, wako smart na wanatumia kwa kwenda mbele. ila nadhani shule walikuwa wanaikimbia hawa. Lakini ndio hivyo tena wote tutakubaliana kwamba ELIMU SIO KUFANIKIWA MAISHANI.
ReplyDeleteMsaada wangu kwako.
ReplyDeleteTUMIA MUDA WAKO KUSIKILIZA MATANGAZO YAKE BIDHAA HIYO KWENYE TELEVISION YAKO - WANATAMKA VIZURI SANA SANA HOFU NI ULIMI WAKO UNA UWEZO WA KUTOA MATAMSHI HAYO VILIVYO???
ushauri wangu tamka utakavyo kwani la msingi akuhudumiaye hicho kinywaji hapa Tanzania anakuelewa usijali.
ReplyDeleteUkienda nchi nyingine jaribu kwanza kutamka uwezavyo then akuhudumiae akilitamka vingine iga matamshi yake. sawa eeeh
Hapa ndugu zangu mmeingizwa Mkenge!Aliyeleta Utumbo huu bila shaka ni Brand Promoter wa hiyo Bia sitaki hata kuitaja.Maana anatangaza Bia yake hapa kijanja na nina uhakika hata Mze wa Konoooooz hajaing'amua hiyo!Janja ya Nyani kula Hindi Bichi kwisa tambua!Lipieni matangazo jamani.Bia yenyewe Bei mbaya,mtama mtupu na ulezi!Phew!
ReplyDeletesikia kaka wa vilaji,kama wengi walivyosema kuna silent "T" na bla bla,kinacho-matter ni english ya wapi unayotaka itamkwe,kwani neno Castel kwa english ya Amerika kesel, na english U-Kingdom ni kasel, kwa english ya T-bara ni
ReplyDeletekaso kama neno girl (gal) kwa T-bara ni gel,ukienda Ghana utakuta inatamkwa vyengine,kwa hiyo usijizonge,wewe cha muhimu zinyonye tu.
Ras
Cha muhimu katika kutoa Order ni kueleweka sasa kama utaagiza kinywaji hicho ukakiita chai, kangala, ulanzi, ulabu, ,mbege, kimpumu, pingu, mnazi, wanzuki ....ili mradi ukiletewa ulichotaka poa tu.....Call it what you like. Fanya kama paka vile, umwite nyau au pusi yote poa.
ReplyDeleteNYIE WOTE AMJUI PIA NA WAS WAS NA ELIMU ZENU HIYO INATAMKWA KASHOLI KWA AMERICAN,NA KACHOLI LAGER KWA ENGLISH YA INDIAN NA KASOLI IN ENGLAND
ReplyDeleteWewe anonymous June 04, 2008 1:06 AM usituchanganye wala nini. Walevi pia ni wadau wa hii blog, na tunahaki ya kusikilizwa kama wengine wasiokunywa. Wewe kitu hakikuhusu achana nacho. Kwa nini tunyanyasike wakati tunakunywa kwa pesa yetu na raha zetu? Pregnant Cochroach!
ReplyDeleteMICHUZI MPE SHOUTS OBAMA WEWE ACHA ZAKO.UNATUPA MAMBO YA KUTAMKA CASTLE HAPA KAMA TUKIAMUA KUFUATILIA MANENO AMBAYO TUNATAMKA TUNAVYOJISIKIA SISI ATUTAMALIZA LEO.YEYE MWENYEWE MDAU ALIULIZA HIVYO ALIKUWA MMOJA WAO WANAOKOSEA AU KWA VILE KAENDA MTONI SASA?matamshi yote sawa tu inadepend na location yako.
ReplyDeleteNone of the three. Huna mwalimu wako wa Kingereza ukamuuliza?
ReplyDeleteWote juu mmekosea. matamshi yake ni haya:
ReplyDeleteName: Castle
Phonetic Pronunciation: KASS-ull
Audio Pronunciation: (link)http://inogolo.com/audio/Castle_3100.mp3
Copy link hiyo weka kwenye browser yako na utasikia matamshi yake
Huu ni upambavu kabisa, mtu mzima unaleta topic ya kijinga hivi, inasaidia nini sasa hiyo, halafu na watu wameunga mkono ujinga wa huyu jamaa, macomments mengiii! kama huyu jamaa angekuwa ameenda shule, hili neno lisingekuwa issue kutamka, lakini sasa inaonyesha shule ndogo, na inawezekana kabisa kuna maneno mengi tu ya kiingereza hajui kuyatamka, ila kwa vile ubongo wake umejaa kilevi ndo maana ameona la maana kuuliza ni castle lager.
ReplyDeleteBig Sam
kassul????? wewe anon jun 4 4:27 ni KASO
ReplyDeletemiss keys
We mshkaji unayejiita Mhavenots ndo mbwiga wa kutupwa! Unalaumu swali la jamaa linapoteza muda lakini unasahau a.k.a ulizoweka wewe mara Hamnazo mara Mchochole mara fala gani sijui sasa kama unamind muda huo utitiri wa majina hapo wa nini? Huna mpango kapige box manake hueleweki...
ReplyDeleteOyaaa...
ReplyDeletehii blog haipo kwa ajili ya kuongelea politic na matatizo tu, saa nyingine tunahitaji kudiscuss vitu vya kawaida vinavyotokea uswaz, sielewi kwa nini umponde msela kwa kuuliza castle inavyotamkwa ni wazi kuwa wabongo wengi pronounciation inatupiga chenga.
USHAURI WA BURE:
kama unaona habari nyingine zinakukera usitoe maoni, toa kwenye hizo zinazokuhusu.Huwezi kuwafanya watu watu wafikirie au wapende kitu cha aina moja kila mtu ana hobby yake na hata hao wazungu mnaowashobokea wana tastes tofauti katika maisha.
Geoff.
wote maojadili pombe ni wana wa shetani
ReplyDeleteNone......Ukijua kingereza ndiyo utaweza kutamka.
ReplyDeleteMdau T-Dot
We mzee wa kass-ull mmmmmh! mwenzetu umezidi ila kama umekusudia kuchekesha nipo na wewe lakini kwa jinsi ulivyo iandika inaonyesha uko serious oooh!
ReplyDeletePamoja baadhi ya wadau wanasema tamka utakavyo, nafikiri sivyo, lugha ya kiinglish si yetu ni muhimu kujua vipi tuna tamka maneno ya watu? shida inakuja ukisha safiri kwenye nchi za watu, unajikuta miaka yote ulikua unasoma kiingereza kumbe sivyo, wengine wanaona ni upuuzi, ukweli ni kwamba kuna baaadhi wame elimika na hilo la kutamka, ukiwa hujui kukitamka kitu noma mbele za watu kufungua hata mdomo kwa kujishuku.
wewe June 04, 2008 6:47 PM, Geoff na wengine! Kweli hampendi vya bure pia, si muende blogger mkafungue blog yenu, iiiiizeeee! mi nachangia mada sichangii maoni km nyie mliokuja kuchangia maoni ya maoni, ina maana ukiwa wa kwanza utatoa maoni gani!
ReplyDeleteBoxi sibebi mimi sina muda na boxi, mi mtu wa stolowei (stowaway) sina time na kazi za kimasikini
--Mchochole, Masikini, Kapuku, Hamnazo The Have Nots
castle ina tamkwa-UCHENI ULEVI.
ReplyDeleteWenzako wanazungumzia Yohana Mtembezi,wewe unazungumzia Mtama huo!Pole kaka.Unataka spellings au Sauti?Mbona sikuelewi kaka,unalitarajia swali hilo mtihani wa FormFour nini?Wabongo kwa kujifanya wanazo bwana!Togwa la Ulezi kwa kimombo linaitwaje?Tit for Tat!
ReplyDeletejamani mie huwa nikilewa ndo kizungu kinapanda,ila kwakuwa nipo sobber naita kesso ila nikiwaka na kizungu kikapanda naitaga kasso
ReplyDeleteHiyo inatamkwa 'kaso' huitamki 't'. Na kwa kuongezea tu hiyo ambayo bongo inatamkwa henken wenyewe wadachi wanaiita 'hainiken', or just 'haini'.
ReplyDelete