kesho julai 1, 2008 ni siku ya mabenki duniani ama kwa kinanihii 'bank holiday'. habari zinasema mabenki yote bongo yatafungwa hiyo kesho hivyo kama huna kadi ya atm na unataka mkwanja wako wahi leo ama sivyo ni hadi jumatano. hii imekaaje wadau?
Home
Unlabelled
siku ya mabenki duniani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Mdau umeashau kuwa kesho CRDB Bank mobile lililoko saba saba litakamua kama kawaida na pia Milimani city nayo itakuwa hewani?
ReplyDeleteInabidi hata ATM zifungwe ili angalau tupunguze matumizi.
ReplyDeleteNantombe
Moshi
Ni mara yangu ya kwanza kuisikia. Baadhi ya nchi kama USA 'bank holiday' humaanisha sikukuu yo yote ile ya kiserikali kama vile siku ya uhuru ambapo ofisi za serikali na mabenki yote hufungwa. Ziko zaidi ya siku kama tano hivi kama sikosei. Lakini ninafikiri huo ndio utamaduni mpya wa kiutandawazi. unawaunganisha watu wa profession moja duninani kote.
ReplyDeleteJuly 1st being Bank Holiday means all Commercial banks and financial institutions will remain CLOSED i.e. all front office operations ONLY are the ones which will be CLOSED in such a way that customers will access to front office operations. All banks’ operations will be done behind closed doors, thus all staff will be working as usual except for front office operations ONLY.
ReplyDeletenakubaliana na anony wa hapo juu manake hata UK bank holiday inamaanisha sikukuu ya kiserikali.maybe kwa bongo bank holiday ndo hiyo ya kufunga banks.mh, kazi kwelikweli kwa wasio na ATM cards.
ReplyDeleteNa mimi ndo kwaaaanzaaa naisikia hiyo siku hapa kwetu. Nachelea tusijekuwa tunachanganya na hiyo benki holidei za wenzetu. Tafadhali tunaomba maelezo zaidi...
ReplyDeleteA bank holiday is a public holiday in the United Kingdom and also in the Republic of Ireland not Tanzania. There is no right to time off on these days, although the majority of the population not employed in essential services (e.g. utilities, fire, ambulance, police, health-care workers) receive them as holidays; those employed in essential services usually receive extra pay for working on these days. Bank holidays are so called because they are days upon which banks are shut and therefore (traditionally) no other businesses could operate. Legislation allows certain payments to be deferred to the next working day.
ReplyDeleteMdau umenipata hapo?
Donald
Nyie wa USA na UK kwa nini sikukuu zenu za kitaifa zinafanyika Jumatatu?
ReplyDeleteUtapata jibu la Bank holiday
Aisee "Nantombee Mushi" hapo juu...kweli umenikumbusha mbali sana.
ReplyDeleteNkida mbee? Kwifo kuda ewe? Kukee Kwi mbee? Nakofo mbee!! Kulale nincha mbee! Wadikire woose pinyi wai!
Nyinyi Nkaaken!
Mdau Donald, we ni noma - unajua kucopy mwana. Kitu umekireproduce kama kilivyo kwenye wikipedia. You have got to acknowledge them before re-using the material.
ReplyDelete