Please check below and confirm the quality of your mobile phone (any make).
Would like to know if your mobile is original or not?
Press the following on your mobile *#06# and the-international mobile equipment identity number appears check the 7th and 8th numbers
IF the digit number Seven & Eight is 02 or 20 that mean it was assembled in the Emirates which is very Bad quality
IF the digit number Seven & Eight is 08 or 80 that means it was manufactured in Germany which is not bad
IF the digit number Seven & Eight is 01 or 10 that mean it's manufactured in Finland which is Good
IF the digit number Seven & Eight is 00 that means it was manufactured in original factory which is the best Mobile Quality ...
IF the digit number Seven & Eight is 13 that means it was assembled in Azerbaijan which is very poor quality and potentially very dangerous to your health!!! ,_
Nadhani hii ni kwa simu za Nokia tu
ReplyDeletekwani Motorola na nyinginezo hazina
hii fanksheni...
Mimi simu yangu nimepiga hizo number lakini haipo kwenye hizo namba zote ulizoziweka hapo kwa hiyo siku yangu ni babu kubwa ya bei ghali........
ReplyDeleteyap my last seven and eigth is 0 and 17 tell me is it oky?
ReplyDeleteNIMEJITOLEA KUANZIA LEO KUWA MWALIMU WA KIINGEREZA HUMU BLOGINI MAANA KISWAHILI INAONEKANA HAMKITAKI.
ReplyDeleteHAYA TUANZE:
if the digit number seven & eight
if the 7th and 8th Digits are ni common english..
That mean it's manufactured in Finland
That means it's....
Potentially inamaanisha (possibly au With a possibility of becoming actual) sasa kama unanionya NIACHANE NA HATARI HUWEZI NIAMBIA 'potentially very dangerous'
Kiwanda kipi hicho kinaitwa original factory?? (matumizi ya Original na Genuine na The hamna hapo)
ONYO WANABLOG Kuweni makini na ishu za utani ambazo zinaharibu majina ya biashara za watu. Kumbukeni Microsoft wameanza kudaka wanaonakili CD zao za software. (mmesikia juzijuzi hapo bongo) Kuna kampuni duniani ziatafuta (mudslinger au muckraker) yani wanaoharibu majina ya wenzao kibiashara/kisiasa n.k na kampuni hizo zinasimamia kesi, fidia utayotoa wao wanakula asilimia kadhaa. Kuweni makini mana nimeambiwa moja imeanza ufuatiliaji pale Brela! kumbuka wanaajiri wanasheria wakali na lengo lao ni fidia kuliko kukutupa jela.
Najua mtasema hana mpya huyo, sawaa!
---Mchochole, Masikini, Kapuku, Hamnazo The Have Nots
Hiyo ni IMEA number ambayo unahitaji kuijua hata kama utapoteza simu yako ni kitu muhimu kwa kuitambua maana hazifanani hata Polisi hutumia hiyo na makampuni ya simu unaporegister simu
ReplyDeleteAcheni kupoteza muda kwani simu zote zinazokuja Tz zinatoka China hata digit mnazosema ziweze, ili mradi zinafanya kazi inatosha
ReplyDeleteNOT TRUE, HANDSET YANGU INA 00(7TH &8TH DIGIT) LAKINI NI KIMEO INA MESEJI 2 FROM UNKNOWN,BLANK, HAZIFUTIKI(VIRUS?),NIKIZIFUTA INAPOTEZA NETWORK!.G-TIDE!!!
ReplyDeletemine is panasonic and the digits are 30 which is????
ReplyDeleteANONYMOUS WA KWANZA SIO KWELI!
ReplyDeletemimi simu yangu LG PRADA na hiyo *#06# imekubali!!! - na yes,my phone is original hamna hata mi 00 au mi 11.cha maana tusinunue simu za wamachinga
miss keys
the HAVENOTS and your point is? i can bet you i speak better english than you do,but i dont spend my time trying to be as snobby and ridicule as you are,i suggest you get a day job.
ReplyDeletewow mine was 00 means its the original one!
ReplyDeletejirani mdaku
tatizo la wabongo ndio hilo, mnapofundishwa shukuruni.asa the havenots katoa msaada kumfundisha yule maimuna, wewe yakhe wa 5:44PM unabwabwaja upupu hapo. kwani kakwambia mnashindana? we mwenyewe lazima umeenda kuuliza ndo ukaandika hapo. tatizo lenu huwa mnaweka bifu na wanaojua english..mi nakwambia watz wana hali mbaya sana linapokuja swala la lugha! si mmeona vijana wa idols walivotuwakilisha na vipande vya lugha? sasa fikiria hii blog inapitiwa na watu wangapi? mtu anajimwagia tu broken yake hapo...kwa upendo mkuu mtu wa kumwelimisha yupo afu hamuoni kuwa ni bahati? afu mkiambiwa na wageni huko kuwa watz mko hooi kiingilishi mnabisha!ifike mahali watu mkubaliane na ukweli tuone vipi tunatatua tatizo!
ReplyDeleteViwanda vyote vimehamishiwa China siku nyingi kutafuta cheap labour, vitu vingi siku hizi made in China, mtatafuta made in Europe, sijui UK sijui US mtaliwa bure, maana hata huko US wananunua kutoka China acheni kutapeleiana na kudanganyana humu. Lama yako ni Prada ya 10,000 usd na ya mwenzio ni prada ya 100 usd, mlio na msikilizano ni ule ule hakuna hata mmoja ambaye simu yake inaweza kunyanyuka ikamfanyia kazi au kumfanyia vitu extraordinary zaidi ya mawasiliano. Jamani ukiwaona wazungu ambavyo hawana time na hizo simu mradi mawasiliano utawashangaa waafrika mtu hana biashara ya kumuingizia mamilioni hana uwezo wa kuwa na internet kwenye simu anavyohangaika na blackberry mradi tu naye awe nayo.
ReplyDeleteEnough of that scaremongering! Here are some facts:
ReplyDeleteThe old IMEI format
The format aabbbb-cc-dddddd-e was in use until April 1st 2004. Its meaning is:
aabbbb is the Type Approval Code (TAC). The first two digits (aa) represent the country code.
The second group of numbers (cc) is the Final Assembly Code (FAC). This identifies the device manufacturer or where the device was assembled:
01,02 = AEG
10,20 = Nokia
30 = Ericsson
07,40 = Motorola
40,41,44 = Siemens
50 = Bosch
51 = Sony, Siemens, Ericsson
60 = Alcatel
61 = Ericsson
65 = AEG
70 = Sagem
75 = Dancall
80 = Philips
85 = Panasonic
dddddd represents the device serial number (SNR)
the last single digit (e) is an check digit (usually set to 0).
The new IMEI format
The new format xxxxxxxx-dddddd-e is used since 1st April 2004. The FAC value has disappeared and the Type Approval Code has been be replaced by a Type Allocation Code (TAC in both cases):
xxxxxxxx is a eight digit number: the Type Allocation Code.
dddddd and e have the same meaning as in the old format.
Some of the final assemble codes for countries:
07, 08 = Germany
10 = Finland
19, 40 = UK
30 = Korea
60 = ?
67 = USA
80 = China
More detailed...
06 = made in Flensburg, Germany (flare)
07 = made in Flensburg, Germany
08 = made in Flensburg, Germany
31 = ?
40 = made in Easterinch, Scotland (UK)
41 = made in Easterinch, Scotland (UK)
47 = Also a very popular fake IMEI. There are thousands of phones out there with IMEI=00000047000000 !
49 = Was found on a 8700 from China with Fake IMEI
67 = made in Illinois, USA (most prototypes)
80 = made in Tianjin, China
81 = made in Tianjin, China
92 = made in China by EASTCOM in Hangzhou
93 = made in China by EASTCOM in Hangzhou
Sorry if some digits are missing... this is the all the info i have. Others are welcome to contribute the rest!
Machu
Labda motorola yako peko yako inaweza kuwa kimeo hiyo mbona za wenzako zinakubali,yaani watu wanapenda ligi hata mnapoambiwa mambo ya maana kwa manufaa yenu yenyewe bado mnatoa comment mbovu,sasa mnataka msaidiweje nyie msiobebeka,ACHENI UJINGA ZINAPOTOLEWA MADA ZA MAANA
ReplyDeleteMachu bravo brother,mchango wako unatosha kabisa kutufumbua macho,achana hawa wanaoponda na mambo ya msingi.
ReplyDelete