ma Dj mzigoni wakikupa kila aina ya flava
waratibu wakuu wa bonanza la MJ viwanja vya soweto kila jumapili
masebene ya nguvu pia yapo

mchezo wa sketi za magurudumu upo pia
Radio ambayo inafanya vizuri sana mjini Arusha (Mambo Jambo FM a.k.a. MJ FM 93.0) imeanzisha Bonanza ya nguvu ya michezo na muziki katika viwanja vya Soweto jijini a-taun. msemaji wa redio hiyo kaiambia globu ya jamii kwamba Bonanza hili litakuwa kila jumapili katika viwanja hivyo vya Soweto. hongera sana Mambo Jambo 93.0 FM kwa kuendeleza libeneke. nadhani machalii watakuja kwa wingi kila jumapili



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2008

    Kazi nzuri MJ FM 93.0,Naona mmeingia kwa nguvu A-Town mji utachangamka sasa.Hongera sana kaka Makiri kwa kazi nzuri

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2008

    MJ mko juu sana na vipindi vyenu vimesimama nawatakia kila na heri,nitakuwepo Bonanza.
    Mdau,
    ROSE-Arusha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...