mdau john kitime anafurahia jinsi kanumba anavyopapasa kinanda, akisema endapo kazi ya kucheza sinema itaota mbawa atajimwaga kwenye bolingo
nikiwa na selebriti ray (shoto) na kanumba msasani club kwenye njenje wikiendi ilopita
waziri ally akiduarika na ray na kanumba wikiendi hii. ngoma inogile msasani club ambapo wadau kibao hujazana kila jumamosi usiku kunjenjeruka


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 14, 2008

    Sasa Ray wewe si ulitangaza kuokoka? inakuaje tena mkononi umekamata hiyo mvinyo? au ulikua unatafuta umaarufu kwa mgongo wa Dini? angalia mambo yako ya mzaha katika Neno sio fresh utapata matatizo, thats all!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2008

    Ray Mkorogo umemkubali!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 14, 2008

    Duuh wewe Ray wewe mzaire siku hizi maana huo Mkorogo usoni noma ,Kanumba Uko Dop na hiyo black beauty yako.....

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 14, 2008

    sasa kaka zetu mnabore, mikorogo gani hiyo, au ndo mnashindana na wakongo? punguzeni hasa wewe Ray!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 14, 2008

    hahahahahaaaaaa kulikuwa hakuna watu ukumbini? maana hapo wanaonekana watu wa3 tu,

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 14, 2008

    michuzi tafazari sana njoo arusha tukupe tishet naomba sana kwani niechoka kuona hiyo t-shirt mkuu.
    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 14, 2008

    jamani ray mbona unakuwa mrembo sasa???

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 14, 2008

    Kanumba anabadilika kuwa mwarabu... Ray anakua 'mzungu'! Zamani walikua handsome black men.. inaelekea the more famous you become, una-undergo transformation ya hali ya juu.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 14, 2008

    Hata huyo Kanumba mkorogo unaonekana.Wazaire wamewaharibu

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 14, 2008

    Kanumba hendisomi jamani!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 14, 2008

    SASA TUACHE KUMCHEKA MICHAEL JACKSON.. MAANA NADHANI IMEKUBALIKA KWAMBA THE MORE YOU BECOME FAMOUS, NA MABADILIKO YANAKUJA.. ESPECIALLY KWENYE SUALA ZIMA LA MUONEKANO..a.k.a. MKOROGO....

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 14, 2008

    Na kweli,mkorogo wa nini?Siri ni kwamba nyie wote mu hansome tu hata bila kubadilisha rangi zenu!Siri kubwa ni kuendelea kujiamini tu.Wanawake wengi sasa hata wameota ndevu kwa mikorogo hii,angalieni sijui nyinyi mtaota nini cha zaidi.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 14, 2008

    hawa jamaa (Ray & Kanumba) ni vema pia kutumia vijisenti vyao kwa walimu wa mazoezi ya viungo na wataalamu wa lishe bora, vinginevyo watafuga maradhi yatokananyo na unene.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 15, 2008

    Jamani inasikitisha sana,kwani ukiwa unataka kucheza filamu lazima upige mkorogo? kama hivyo ndivyo count me out please!!!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 15, 2008

    Kuna usemi unasema "fuata nyuki ule asali na fuata nzi ule mavi." ila tahadhari unaweza ukafuata nyuki zikakuuma pia, sasa ndugu zetu hawa tangu wamepata marafiki wacheza filamu wenzao waliokuja kipindi kile wamejifunza vitu vingi pamoja na kujikoboa.Kitendo hicho cha Kujikoboa kwa mtoto wa kiume kiasi hicho haileti tafsiri nzuri sana hapa bongo ohooo!!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 15, 2008

    Hee mbona Ray ameanza kufanana na Defao sasa? aangalie sana mwisho ataanza kuota matako na maziwa, na kuanza kuvaa mawingi. simuombei mabaya ila aache mkorogo, mona wanaume weusi wa kiafrika ni wazur tu jamani?? na sisi kina dada ndio tunawapenda haohao weusi.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 15, 2008

    ulimbukeni tu hamna kingine!! vijana wazuri wameshajiharibu. Inasikitisha kwa kweli.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 15, 2008

    Jamanı thıs ıs very serıous! yanı ımekuwaje hawa watu kujıkoboa namna hıı!! WEWE ULIESEMA KANUMBA BLACK ANA TOFAUTI GANI NA RAY HAPO? WOTE WAMEJICHUBUA HOVYO NA KISHA KANUMBA ILO CARYLIKITI KICHWANI HATA SIJIUI NISEME NINI JAMANI!!! MANA WOTE NA NYWELE ZIMEPIKWA BUT ZA KANUMBA! OMG!KWAIYO WANALALIA KOFIA KAMA WANAWAKE? WAS IT VERY NECESSARY TO CHANGE URSELF SO MUCH LIKE THAT??? WHUUU!

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 15, 2008

    MM mnamuonea wivu mwenzenu ray kapendeza sana na hiyo ni moja ya kuwaonyesha kuwa maisha ameyaona na kila unapopata kipato kizuri ni lazima uonyeshe mabadiliko unataka mwenzenu aonekane kama zamani kwa sababu gani RAY keep it up ma boy wana wivu hao FOLLOW YOUR HEART BROTHER... LIFE IS TOO SHORT.Ila weight hiyo be careful

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 17, 2008

    wanaweza wakaota nanihii kama ya wanawake shauri yao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...